VIWANDA
Nilitegemea maandalizi hayo ya kilimo hapo juu yangeenda sambamba na Ujenzi wa viwanda ambavyo vingenunua mazao hayo kutoka kila kona ya nchi na kutengeneza final products zenye ubora wa ku compete sokoni na zingine kuuzwa nchi za nje
umenena vyema mkuu. kwa akili ya yule bwana wa maganda ya korosho. hayo maono hana yuko bize tundu lisu asigombee TLSNilidhani kwa ukubwa wa nchi yetu na utajiri tulio nao hadi sasa yafuatayo yangekua yameanza kufanyima
1.Mifumo ya umwagiliaji wa kisasa wa mashamba makubwa (Irrigation system)ambao wakulima hawatategemea mvua za msimu
2.Miundo mbinu muhimu ie《inayoelekea maeneo yote muhimu ya uwekezaji wa kilimo hiki cha kisasa na umwagiliaji wa uhakika
3.Wataalamu wa kilimo cha kisasa chenye uzalishaji mkubwa wa mazao bora wakipewa training ili wasambae sehemu zote zenye tija ya kilimo kuwapa mafuzo wakulima.
4.Maandalizi ya uhakika wa soko la mazao haya ambayo hayana unyonyaji wowote kwa mkulima na bei bora bila mwingiliano wowote wa madalari.
5. MIKOPO yenye riba nafuu kwa wakulima hao ambao kwa maandalizi tajwa hapo juu mikopo hiyo italipika kwani hawatategemea mvua tuu na watakua na uhakika wa soko
6.Uwekezaji kwenye utafiti wa kilimo
7. Ruzuku ya pembejeo za kilimo, na usafirishaji wa mazao hadi kwenye masoko makubwa.
Niilitegemea haya mambo muhimu yanayo onekana kwa macho kila unapo pita mikoani yangeonekana.
VIWANDA
Nilitegemea maandalizi hayo ya kilimo hapo juu yangeenda sambamba na Ujenzi wa viwanda ambavyo vingenunua mazao hayo kutoka kila kona ya nchi na kutengeneza final products zenye ubora wa ku compete sokoni na zingine kuuzwa nchi za nje.
So hii LINK kati kilimo na viwanda ingetengeneza uhakika wa ajira nyiiiingi na endelezi
Ningeyaona haya kila sehemu ninapo safiri toka Mbeya hadi Arusha
Kigoma hadi Dar
Sasa ningetangaza rasmi kwamba naiona TANZANIA MPYA YENYE NEEMA INAKUJA NA NAAMINI BAADA YA MIAKA MITANO MAISHA YA MTANZANIA YANAENDA KUBADILIKA SANA
Natamani sana haya maandalizi yaanze
La sivyo Miaka mitano ni michache sana kudhani kwamba BILA HAYA KUFANYIKA
kwenye orodha ya viwanda tutakuta hadi biashara za wamachinga nazo zinahesabiwa kama viwanda ili mradi kuongeza namba ya viwanda.
duh! mkuu inaonekana ushakata tamaa kabisa!Ugonjwa haujagundulika bado na tiba ndio kabisaa mgonjwa yuko mahututi
Hapana natafakari tu mkuu je tutatokaje hapa?duh! mkuu inaonekana ushakata tamaa kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa najiuliza the same questionHivi Kuna watu wanapata huo Muda wa kumuombea?!!
Lakini hiyo si ndiyo ile maana mliyotuambia ya kubana matumizi?Kwa kweli ofisi za umma zinatia huruma kabisa.ofisi inakosa mpaka karatasi za photokopi,hotuba na taarifa zinaandikwa kwa mkono