Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengne mnaushabik wa kisenge kweli, hvi hata graduate waliokaa mtaani mwaka wa 2 bila ajira na bila matumain wanaposema imani yako ni wapiga dili au wauza unga? Yaan nyumbu kama nyny ndo mwafanya watanzania tuonekane akna Bashite wote!Wabwia unga kazi mnayo....mlizoea vya kunyo ga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wabwia unga kazi mnayo....mlizoea vya kunyo ga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani unakula matamko??Wanajukwaa.
Habari za usiku,naweka mezani juu ya hoja yangu,kua je rais wa nchi yetu huyu wa awamu ya 5 je ni rais wa wanaCCM pekee au ni rais wa WATANZANIA wote?
Huyu ni baba wa familia asiejua alifanyalo au nini tatzo,anzia matamshi yake hayasadifu kutamkwa na mkuu wa nchi,mbaguzi na pengne hajui alitendalo,binafsi sikutarajia rais huyu kua hivi,naichukia October 25 km taifa tumebebeshwa mzigo wa tope.
Na wewe ni mbeba mikoba ya chatu wa chato mdomo mchafu asiejua manaa ya utawala?Kwani unakula matamko??
Shame on you mbeba ngada za mwenyekiti
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi naomba hata hizo siku zilizobaki asizimalize, litokee la kutokea tufanye uchaguzi mpya, tumelichoka
[emoji23]upo kama mimiMimi naomba hata hizo siku zilizobaki asizimalize, litokee la kutokea tufanye uchaguzi mpya, tumelichoka
mwanzo alikuwa anatuzuga rti kazi hii ngumu sana kumbe anatamani awe president wa muyaya.Kama akukubali kumaliza lakini
Ha ha haMimi naomba hata hizo siku zilizobaki asizimalize, litokee la kutokea tufanye uchaguzi mpya, tumelichoka