Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kwa mtazamo wangu serikali ikitaka ifanikiwe kutengeneza mazingira ya watu wake kujiletea maendeleo basi ijitahidi kuwakumbusha raia wake umuhimu kuwa na familia ndogo na imara.

Napita huko mitaani naona jinsi watu wasivyokuwa na mipango yoyote kwa familia wananzoanzisha na kuziongoza. Wazazi wala hawajui hatima ya watoto wao, miaka mitano mbele, miaka kumi mbele.
 
1.Rais kukosa busara mbele za wananchi badala yake kuhubiri chuki,ubaguzi na vitisho
2.Nchi kuongozwa kwa matamko yasiyo na ticha kwa maendeleo na ustawi wa taifa e.g bila cheti cha kuzaliwa hakuna kuoa,mtu mmoja kuwatisha wengine kuwafukuza mkoani kwake ilikhali naye yu ugenini
3.Serikali kustisha ajira kwa miaka mpya kwa miaka miwili bila ya kuwa na mbadala ingawa bado kuna upungufu wa wataalamu katika jamii m.f.n sekta ya afya,elimu..
4.Nchi kuendesha kwa vitisho na visasi vinavyopelekea kuiweka rehani amani na demokrasia yetu iliyokuwa imeanza kuzaa matunda kwa kuvutia wawekezaji
5.Tumbua tumbua za watumishi wa umma bila ya kufuata sheria hivyo serikali kujiongezea mziko wa watumishi wanaoendelea kulipwa mishahara pasipo kuwa na kazi hivyo kuongeza mzingo kwa taifa
6.Serikali kuendesha nchi bila ya kuwa na dira thabiti wamebaki kudakia kila lionekanalo mbele ya viongozi.tunashindwa kuelewa ni nchi ya viwanda au vi wonder na kiku za shelawadu
7.kuzuia bunge mubashara kwa kile kinachodhaniwa kuwakomoa wapinzani na kurusha mubashara sherehe binafsi katika tv ya taifa bila kujali kodi za walala hoi zinazoteketea bula faida
8.Kuendeshwa kwa chuki za wazi kwa wapinzani kwa kuwaweka rumande kwa kile wasemacho uchochezi.imekuwa nchi ya kidikteta asemalo MTUKUFU linakuwa sheria
9.Kudolola kwa huduma muhimu za jamii huku serikali ikitoa matamko yanayokatisha tamaa m.f.n ni ukosefu wa dawa kwenye hospitali za umma,upungufu wa chakula uliosababishwa na ukame,wanafunzi kusomea chini ya miti kwa kutekeleza sera ya mwendokasi
10.Kukosekana kwa pesa za mikopo kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kwenda kinyume na moja ya sera zake katika uchaguzi[emoji22][emoji22][emoji22]

HIVYO NI MUDA KWA KIJANA WA KITANZANIA KUTAFAKARI MUSTAKABALI WA WANAE SASA

USIRUDIE KOSA 2020

R.I.P ZAMA ZA MAWE JEMBE NA NYUNDO
Alisema tutaishi kama mashetan
 
Wakati wa kampeni alikuwa kama Zecomedy akiambiwa kilaza piga push up. Basi anafanya kilaza ruka ruka kilaza kula kwa mamantilie, alikuwa mwehu wa nguvu sema sasa kawa mtemi yeye.

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mlimlaani hivyo kila kiongozi aliyepita....

Tunajiuliza hivi leo hii itokee kuwa tumewapa hii nchi ni nani kati yenu anweza shika usinga huu?
 
Kwa mtazamo wangu serikali ikitaka ifanikiwe kutengeneza mazingira ya watu wake kujiletea maendeleo basi ijitahidi kuwakumbusha raia wake umuhimu kuwa na familia ndogo na imara.

Napita huko mitaani naona jinsi watu wasivyokuwa na mipango yoyote kwa familia wananzoanzisha na kuziongoza. Wazazi wala hawajui hatima ya watoto wao, miaka mitano mbele, miaka kumi mbele.

Mukulu alisema watotoe
 
Mnawaza 2020 badala ya kutoa ushauri panapokosewa, nyie wenyewe demokrasia hamna na mpaka sasa mgombea wenu anafahamika.
 
Leo ndio mnamkumbuka vema zile push-up matokeo yake ndio haya, msitegemee embe kudondosha nazi
 
Wewe usiichafue biblia kwa kuisoma kama gazeti la udaku ni Mungu yupi aliuweka utawala wa IDD Amin, Hitler hata ule unaousifia wa czonje? Mautawala ya kishetani mnamsingia Mungu mautawala mnayoyasif yakiboronga nyambaf! Mkikosa hoja mnadai Mungu ameuweka! Mbona hamuelezei majukumu ya kishetan ya utawala? Mnaogopa nini? Sasa kwakua Mungu hatokei geita atauadhibu utawala huu kila uchao! Koma kumsingizia Mungu kwenye ya kipuuz hasa yale tawala za kishetan nyambaf
 
1.Rais kukosa busara mbele za wananchi badala yake kuhubiri chuki,ubaguzi na vitisho
2.Nchi kuongozwa kwa matamko yasiyo na ticha kwa maendeleo na ustawi wa taifa e.g bila cheti cha kuzaliwa hakuna kuoa,mtu mmoja kuwatisha wengine kuwafukuza mkoani kwake ilikhali naye yu ugenini
3.Serikali kustisha ajira kwa miaka mpya kwa miaka miwili bila ya kuwa na mbadala ingawa bado kuna upungufu wa wataalamu katika jamii m.f.n sekta ya afya,elimu..
4.Nchi kuendesha kwa vitisho na visasi vinavyopelekea kuiweka rehani amani na demokrasia yetu iliyokuwa imeanza kuzaa matunda kwa kuvutia wawekezaji
5.Tumbua tumbua za watumishi wa umma bila ya kufuata sheria hivyo serikali kujiongezea mziko wa watumishi wanaoendelea kulipwa mishahara pasipo kuwa na kazi hivyo kuongeza mzingo kwa taifa
6.Serikali kuendesha nchi bila ya kuwa na dira thabiti wamebaki kudakia kila lionekanalo mbele ya viongozi.tunashindwa kuelewa ni nchi ya viwanda au vi wonder na kiku za shelawadu
7.kuzuia bunge mubashara kwa kile kinachodhaniwa kuwakomoa wapinzani na kurusha mubashara sherehe binafsi katika tv ya taifa bila kujali kodi za walala hoi zinazoteketea bula faida
8.Kuendeshwa kwa chuki za wazi kwa wapinzani kwa kuwaweka rumande kwa kile wasemacho uchochezi.imekuwa nchi ya kidikteta asemalo MTUKUFU linakuwa sheria
9.Kudolola kwa huduma muhimu za jamii huku serikali ikitoa matamko yanayokatisha tamaa m.f.n ni ukosefu wa dawa kwenye hospitali za umma,upungufu wa chakula uliosababishwa na ukame,wanafunzi kusomea chini ya miti kwa kutekeleza sera ya mwendokasi
10.Kukosekana kwa pesa za mikopo kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kwenda kinyume na moja ya sera zake katika uchaguzi[emoji22][emoji22][emoji22]

HIVYO NI MUDA KWA KIJANA WA KITANZANIA KUTAFAKARI MUSTAKABALI WA WANAE SASA

USIRUDIE KOSA 2020

R.I.P ZAMA ZA MAWE JEMBE NA NYUNDO
Dude, JF ni asilimia si zaidi ya 6 ya watanzania, msiwe mnawehuka na mihemko ya humu jf kana kwamba ndo nchi nzima wako huku, mi kwa kweli nashangaa mnavyolia humu mambo magumu na ni shaghala baghala wakati mitaani kuko sawa. Watanzania sio wajinga, pigeni kelele za uongo ila watanzania hawata wapa kura zao kwa mtimdo huu wa kudanganya na kudandia matukio.
 
1.Rais kukosa busara mbele za wananchi badala yake kuhubiri chuki,ubaguzi na vitisho
2.Nchi kuongozwa kwa matamko yasiyo na ticha kwa maendeleo na ustawi wa taifa e.g bila cheti cha kuzaliwa hakuna kuoa,mtu mmoja kuwatisha wengine kuwafukuza mkoani kwake ilikhali naye yu ugenini
3.Serikali kustisha ajira kwa miaka mpya kwa miaka miwili bila ya kuwa na mbadala ingawa bado kuna upungufu wa wataalamu katika jamii m.f.n sekta ya afya,elimu..
4.Nchi kuendesha kwa vitisho na visasi vinavyopelekea kuiweka rehani amani na demokrasia yetu iliyokuwa imeanza kuzaa matunda kwa kuvutia wawekezaji
5.Tumbua tumbua za watumishi wa umma bila ya kufuata sheria hivyo serikali kujiongezea mziko wa watumishi wanaoendelea kulipwa mishahara pasipo kuwa na kazi hivyo kuongeza mzingo kwa taifa
6.Serikali kuendesha nchi biCORRECTEDkuwa na dira thabiti wamebaki kudakia kila lionekanalo mbele ya viongozi.tunashindwa kuelewa ni nchi ya viwanda au vi wonder na kiku za shelawadu
7.kuzuia bunge mubashara kwa kile kinachodhaniwa kuwakomoa wapinzani na kurusha mubashara sherehe binafsi katika tv ya taifa bila kujali kodi za walala hoi zinazoteketea bula faida
8.Kuendeshwa kwa chuki za wazi kwa wapinzani kwa kuwaweka rumande kwa kile wasemacho uchochezi.imekuwa nchi ya kidikteta asemalo MTUKUFU linakuwa sheria
9.Kudolola kwa huduma muhimu za jamii huku serikali ikitoa matamko yanayokatisha tamaa m.f.n ni ukosefu wa dawa kwenye hospitali za umma,upungufu wa chakula uliosababishwa na ukame,wanafunzi kusomea chini ya miti kwa kutekeleza sera ya mwendokasi
10.Kukosekana kwa pesa za mikopo kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kwenda kinyume na moja ya sera zake katika uchaguzi[emoji22][emoji22][emoji22]

HIVYO NI MUDA KWA KIJANA WA KITANZANIA KUTAFAKARI MUSTAKABALI WA WANAE SASA

USIRUDIE KOSA 2020

R.I.P ZAMA ZA MAWE JEMBE NA NYUNDO
I LUV MY COUNTRY..
Mengi kati ya haya uliyoyasema naona kama unapotosha jamii, kwa kutolea mfano wa machache tu, unaposema nchi inaongozwa bila kua na muelekeo na jamaa wanapiga kelee kila siku wanafwata ilani yao ya uchaguzi unakua unadhani wanamaanisha nini!!?
Maelezo wanayo yatoa ya kuhusu ajira na kiajiri unakua unaelewa nini kwamfano waliposema wameajiri waalimu wa masomo ya science ili kupunguza upungufu mkubwa wa waalimu wa masomo hayo!!?
Unayoyaita matamko yataendelea kuwepo kwasababu ni njia mojawapo ya kutoa taarifa kwa uma, lamsingi ni usahihi wake na faida kwajamii kwa wakati uliopo.. kwamfano swala la kuoa bila cheti cha kuzaliwa ni swala la msingi sana ila kama alivyosema JPM kwasasa litaonekana nilakibaguzi coz 20% ya wa TZ hatuna hivyo vyeti na upatikanaji wake sio rafiki kama inavyopaswa kua.
Kwasasa naomba niishie hapo kwanza
I STAND TO BE CORREC
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom