Alisema tutaishi kama mashetan1.Rais kukosa busara mbele za wananchi badala yake kuhubiri chuki,ubaguzi na vitisho
2.Nchi kuongozwa kwa matamko yasiyo na ticha kwa maendeleo na ustawi wa taifa e.g bila cheti cha kuzaliwa hakuna kuoa,mtu mmoja kuwatisha wengine kuwafukuza mkoani kwake ilikhali naye yu ugenini
3.Serikali kustisha ajira kwa miaka mpya kwa miaka miwili bila ya kuwa na mbadala ingawa bado kuna upungufu wa wataalamu katika jamii m.f.n sekta ya afya,elimu..
4.Nchi kuendesha kwa vitisho na visasi vinavyopelekea kuiweka rehani amani na demokrasia yetu iliyokuwa imeanza kuzaa matunda kwa kuvutia wawekezaji
5.Tumbua tumbua za watumishi wa umma bila ya kufuata sheria hivyo serikali kujiongezea mziko wa watumishi wanaoendelea kulipwa mishahara pasipo kuwa na kazi hivyo kuongeza mzingo kwa taifa
6.Serikali kuendesha nchi bila ya kuwa na dira thabiti wamebaki kudakia kila lionekanalo mbele ya viongozi.tunashindwa kuelewa ni nchi ya viwanda au vi wonder na kiku za shelawadu
7.kuzuia bunge mubashara kwa kile kinachodhaniwa kuwakomoa wapinzani na kurusha mubashara sherehe binafsi katika tv ya taifa bila kujali kodi za walala hoi zinazoteketea bula faida
8.Kuendeshwa kwa chuki za wazi kwa wapinzani kwa kuwaweka rumande kwa kile wasemacho uchochezi.imekuwa nchi ya kidikteta asemalo MTUKUFU linakuwa sheria
9.Kudolola kwa huduma muhimu za jamii huku serikali ikitoa matamko yanayokatisha tamaa m.f.n ni ukosefu wa dawa kwenye hospitali za umma,upungufu wa chakula uliosababishwa na ukame,wanafunzi kusomea chini ya miti kwa kutekeleza sera ya mwendokasi
10.Kukosekana kwa pesa za mikopo kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kwenda kinyume na moja ya sera zake katika uchaguzi[emoji22][emoji22][emoji22]
HIVYO NI MUDA KWA KIJANA WA KITANZANIA KUTAFAKARI MUSTAKABALI WA WANAE SASA
USIRUDIE KOSA 2020
R.I.P ZAMA ZA MAWE JEMBE NA NYUNDO
Na watu wote wakasema "Amina. Na iwe hivyo. Lihimidiwe jina la Mungu wetu. Amina"Haki ya Mungu alo fikiria kumuweka huyu jamaa kuwa mgombea wa CCM, alaaniwe yeye na kizazi chake chote.
Ni hayo tu.
Kwa mtazamo wangu serikali ikitaka ifanikiwe kutengeneza mazingira ya watu wake kujiletea maendeleo basi ijitahidi kuwakumbusha raia wake umuhimu kuwa na familia ndogo na imara.
Napita huko mitaani naona jinsi watu wasivyokuwa na mipango yoyote kwa familia wananzoanzisha na kuziongoza. Wazazi wala hawajui hatima ya watoto wao, miaka mitano mbele, miaka kumi mbele.
Kuuza vocha sio ajira!!? THINK BIGBora wewe unaajira wengine wanasota mwaka wa pili na hakuna matumaini unakuta mtu kasina afya mtaani anasajili line na kuyoa huduma za m pesa
Dude, JF ni asilimia si zaidi ya 6 ya watanzania, msiwe mnawehuka na mihemko ya humu jf kana kwamba ndo nchi nzima wako huku, mi kwa kweli nashangaa mnavyolia humu mambo magumu na ni shaghala baghala wakati mitaani kuko sawa. Watanzania sio wajinga, pigeni kelele za uongo ila watanzania hawata wapa kura zao kwa mtimdo huu wa kudanganya na kudandia matukio.1.Rais kukosa busara mbele za wananchi badala yake kuhubiri chuki,ubaguzi na vitisho
2.Nchi kuongozwa kwa matamko yasiyo na ticha kwa maendeleo na ustawi wa taifa e.g bila cheti cha kuzaliwa hakuna kuoa,mtu mmoja kuwatisha wengine kuwafukuza mkoani kwake ilikhali naye yu ugenini
3.Serikali kustisha ajira kwa miaka mpya kwa miaka miwili bila ya kuwa na mbadala ingawa bado kuna upungufu wa wataalamu katika jamii m.f.n sekta ya afya,elimu..
4.Nchi kuendesha kwa vitisho na visasi vinavyopelekea kuiweka rehani amani na demokrasia yetu iliyokuwa imeanza kuzaa matunda kwa kuvutia wawekezaji
5.Tumbua tumbua za watumishi wa umma bila ya kufuata sheria hivyo serikali kujiongezea mziko wa watumishi wanaoendelea kulipwa mishahara pasipo kuwa na kazi hivyo kuongeza mzingo kwa taifa
6.Serikali kuendesha nchi bila ya kuwa na dira thabiti wamebaki kudakia kila lionekanalo mbele ya viongozi.tunashindwa kuelewa ni nchi ya viwanda au vi wonder na kiku za shelawadu
7.kuzuia bunge mubashara kwa kile kinachodhaniwa kuwakomoa wapinzani na kurusha mubashara sherehe binafsi katika tv ya taifa bila kujali kodi za walala hoi zinazoteketea bula faida
8.Kuendeshwa kwa chuki za wazi kwa wapinzani kwa kuwaweka rumande kwa kile wasemacho uchochezi.imekuwa nchi ya kidikteta asemalo MTUKUFU linakuwa sheria
9.Kudolola kwa huduma muhimu za jamii huku serikali ikitoa matamko yanayokatisha tamaa m.f.n ni ukosefu wa dawa kwenye hospitali za umma,upungufu wa chakula uliosababishwa na ukame,wanafunzi kusomea chini ya miti kwa kutekeleza sera ya mwendokasi
10.Kukosekana kwa pesa za mikopo kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kwenda kinyume na moja ya sera zake katika uchaguzi[emoji22][emoji22][emoji22]
HIVYO NI MUDA KWA KIJANA WA KITANZANIA KUTAFAKARI MUSTAKABALI WA WANAE SASA
USIRUDIE KOSA 2020
R.I.P ZAMA ZA MAWE JEMBE NA NYUNDO
I LUV MY COUNTRY..1.Rais kukosa busara mbele za wananchi badala yake kuhubiri chuki,ubaguzi na vitisho
2.Nchi kuongozwa kwa matamko yasiyo na ticha kwa maendeleo na ustawi wa taifa e.g bila cheti cha kuzaliwa hakuna kuoa,mtu mmoja kuwatisha wengine kuwafukuza mkoani kwake ilikhali naye yu ugenini
3.Serikali kustisha ajira kwa miaka mpya kwa miaka miwili bila ya kuwa na mbadala ingawa bado kuna upungufu wa wataalamu katika jamii m.f.n sekta ya afya,elimu..
4.Nchi kuendesha kwa vitisho na visasi vinavyopelekea kuiweka rehani amani na demokrasia yetu iliyokuwa imeanza kuzaa matunda kwa kuvutia wawekezaji
5.Tumbua tumbua za watumishi wa umma bila ya kufuata sheria hivyo serikali kujiongezea mziko wa watumishi wanaoendelea kulipwa mishahara pasipo kuwa na kazi hivyo kuongeza mzingo kwa taifa
6.Serikali kuendesha nchi biCORRECTEDkuwa na dira thabiti wamebaki kudakia kila lionekanalo mbele ya viongozi.tunashindwa kuelewa ni nchi ya viwanda au vi wonder na kiku za shelawadu
7.kuzuia bunge mubashara kwa kile kinachodhaniwa kuwakomoa wapinzani na kurusha mubashara sherehe binafsi katika tv ya taifa bila kujali kodi za walala hoi zinazoteketea bula faida
8.Kuendeshwa kwa chuki za wazi kwa wapinzani kwa kuwaweka rumande kwa kile wasemacho uchochezi.imekuwa nchi ya kidikteta asemalo MTUKUFU linakuwa sheria
9.Kudolola kwa huduma muhimu za jamii huku serikali ikitoa matamko yanayokatisha tamaa m.f.n ni ukosefu wa dawa kwenye hospitali za umma,upungufu wa chakula uliosababishwa na ukame,wanafunzi kusomea chini ya miti kwa kutekeleza sera ya mwendokasi
10.Kukosekana kwa pesa za mikopo kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kwenda kinyume na moja ya sera zake katika uchaguzi[emoji22][emoji22][emoji22]
HIVYO NI MUDA KWA KIJANA WA KITANZANIA KUTAFAKARI MUSTAKABALI WA WANAE SASA
USIRUDIE KOSA 2020
R.I.P ZAMA ZA MAWE JEMBE NA NYUNDO
Ameen!Na watu wote wakasema "Amina. Na iwe hivyo. Lihimidiwe jina la Mungu wetu. Amina"