cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
naunga mkono hoja, ni kwel kabisa kwa sasa aman imetoweka kabisa, kinachoskitisha ni kwamba, sis watu wachin kabisa ambao hatuna sehemu ya kusemea ndio tunajaribu kupiga kelele tu mitandaon, wakati wapo watu ambao wana nafas kubwa ya kukemea huu upuuzi unaoendelea ndan ya nchi lakin wamekaa kimya! wapo viongoz waandamiz, wapo pia viongozi wa din, hao wote wana nafas lakin cha kushangaza wapo kimya tu! au na wao wanafurahishwa na aya mambo yanayoendelea ndan ya nchi hii?