Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
unachotakiwa kujua siasa imegawanyika katika makundi tofautitofauti mm nnachopinga ni aina ya siasa inayoendelea kwasasa sio wasomi sio wanafunzi sio mtaani sio viongozi sio wasanii yan n siasa.Nop embu tuwaige marekani hata ghana na baadhi ya nchi
Si tumelivamii treni kwa mbele, hatukua tayari kimaandalizi kuingia kwenye siasa ya vyama vingi. Ukifanya sensa ya kuwajua wanachama na mashabiki hivi vyama wavijua vyama vyao kisera, kiitikadi sidhani kama hata asilimia 5 itafika ya wavijuavyo. Ni shida.
 
Acha ujinga unataka tukae kimya tu hatakama mambo yanaenda kombo eti kisa uchaguzi ulishapita.

Yaani tuone vijana walio graduate wanatabika mtaani kwakutopewa ajira ilihari mtawala na genge lake wanagawiana tu vyeo na wanajilipa mamilioni kwa kazi za kisiasa alafu tunyamaze tu.

Kwanza kwanini Makufuli anawazuia wenzake wasifanye siasa ya kujitangaza na kueneza vyama vyao ilihari yeye anajitangaza na kujihimarisha kisiasa tena kwakutumia pesa ya kodi yetu. Shida yake nini, wapinzani waendelee kutofahamika kwa wananchi ili yeye atawale maisha?

Mtu anashindwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya kundesha nchi amekazania tu kutuongezea kodi huoni bidhaa zinazidi kupanda bei na biashara za watu zina firisika ajila zinapotea?

Wanasisa ndio wanaotupangia maisha yetu ya kila siku kuanzia sheria kandamizi na hata bei ya bidhaa tunazonunua kila siku hivyo lazima tuwafuatilie kwakila wanyacho kwaniaba yetu
 
Nafikiri Mh. Magufuli hakuwa na sifa za kuwa rais wa jamhuri ya Tanzania sababu hana uwezo na fikra bora na hekima za uongozi kama wa urais. Hii imejidhihirisha toka aingie madarakani kutokana na maneno yake na baadhi ya maamuzi anayofanya. Ingawaje kuna mazuri mengi anafanya lakini pia ni rais ambaye anawagawanya sana watu. Mh. Magufuli cheo cha juu kabisa ambacho kingemfaa ni kuwa waziri mkuu. Tena angefaa na angeweza labda kumkaribia hata marehemu Edward Sokoine. Angeweza kusimamia kazi zote ambazo waziri mkuu anapaswa kuzifanya bila kujitafutia matatizo mengi kama ambayo anayatengeneza kwa sasa. Ili hata akikosea mtu wa juu awe ni Rais ambaye atakuwa na kauli ya mwisho ya maamuzi dhidi yake.

Kutokana na vitisho, ubabe, kukurupuka na kauli zake mbalimbali anazofanya dhidi ya watanzania wasio wanachama wa chama chochote, wapinzani, na hata CCM wenzake wenyewe. Inaonyesha viashiria kabisa vya kifalme na ki-dikteta. Kiburi chake cha kutotaka ushauri au kujiona yeye ndiyo yeye, hii inaonekana dhahiri kwamba hana sifa ya kuwa rais kwenye nchi iliyo na katiba ya demokrasia kama hii. Kwa mfano, hotuba yake aliyowahi kutoa kule Zanzibar utajua jinsi gani rais huyu anavyoweza kupandikiza chuki badala kutatua matatizo ya wazanzibar. Na haya anayafanya Tanzania bara pia dhidi ya upinzani. Alitumia dakika nyingi kumshambulia Seif kitu ambacho hata Dkt Shein hatoweza kusema kwa mpinzani wake. Upinzani kwa Magufuli yeye tafsiri yake ni Chuki, Uadui na Uhasama! Badala ya kuona upinzani changamoto na kichocheo cha serikali kufanya vizuri kwenye ajenda yake.
 
Hahahhaa Tutavuka daraja tutakapolifikia ila barabara hii Mh. Raisi anatudanganya.....
 
Na wewe aliyekufaa zaidi ni fisadi Lowasa au Mbowe?
 
Bavicha mnayo matatizo makubwa sana....sasa nani angetufaa 2015? Mbona hujapendekeza?
 
Wewe Abudist acha upumbavu na wenda wazimu, wewe ni kati ya wafaidika wa ufisadi, madawa ya kulevya au basi ni CDM AU CUF, KATIKA MARAIS ambao tanzania imepata wazuri na wazalendo ni Mh.Magufuli. kuna mengi ambayo amefanya makubwa tu, angalia shirika la ndege, angalia huduma za afya, elimu na maji zilivyo boreshwa kiupatikanaji, na bado anaendelea kuzuia wizi bandarini na kwenye madini yetu, halafu wewe unakuja na hoja zako za kipuuzi kabisa. Mimi ni muajiriwa serikalini na declare interest kuwa this is the best president ambae hata mataifa mengine wanatamani awe wa kwao.ZUNGUKA africa nzima hakuna rais mzalendo kama mh.magufuli. Angalia africa kusini,na nchi nyingine rushwa imekithiri, huyu rais wetu najua wauza unga, CDM, mna mbeza kwasababu ya upuuzi wenu wa kuangalia maslahi yenu, ila kiukweli Mh.MAGUFULI kaja mda muafaka, huyu ndiye rais tanzania ina mtaka, haiwezekan tuna madini, bandari, n etc halafu nchi yetu inakuwa masikini. Kwa hiyo wewe Abudist nakwambia wewe ni mpuuzi, huna nia njema na taifa hili.

mwisho nimalizie,huyu rais ni Rais na kiongozi mwenye busara sana na ana uchungu na nchi yetu, ila watanzania wachache hasa mafisadi na wauza unga, na wapinzani fikra zenu ni za ajabu mno hamfikirii tanzania ya sasa na kesho ila mnafikiri matumbo yenu tu.
 
Acha ujinga wewe nafikiri elimu ya muono ni ndogo. Unajua maana ya demokrasia ni nini? Au unakurupuka tu kwa mapenzi ya binafsi. Umesoma vizuri kitu gani nimeandika na ukweli ni upi? Yeye mwenye Rais Magufuli ataelewa nilichoandika kuliko wewe bendera kufata upepo.
 
Wewe Abudist acha upumbavu na wenda wazimu, wewe ni kati ya wafaidika wa ufisadi, madawa ya kulevya au basi ni CDM AU CUF, KATIKA MARAIS ambao tanzania imepata wazuri na wazalendo ni Mh.Magufuli. kuna mengi ambayo amefanya makubwa tu, angalia shirika la ndege, angalia huduma za afya, elimu na maji zilivyo boreshwa kiupatikanaji, na bado anaendelea kuzuia wizi bandarini na kwenye madini yetu, halafu wewe unakuja na hoja zako za kipuuzi kabisa. Mimi ni muajiriwa serikalini na declare interest kuwa this is the best president ambae hata mataifa mengine wanatamani awe wa kwao.ZUNGUKA africa nzima hakuna rais mzalendo kama mh.magufuli. Angalia africa kusini,na nchi nyingine rushwa imekithiri, huyu rais wetu najua wauza unga, CDM, mna mbeza kwasababu ya upuuzi wenu wa kuangalia maslahi yenu, ila kiukweli Mh.MAGUFULI kaja mda muafaka, huyu ndiye rais tanzania ina mtaka, haiwezekan tuna madini, bandari, n etc halafu nchi yetu inakuwa masikini. Kwa hiyo wewe Abudist nakwambia wewe ni mpuuzi, huna nia njema na taifa hili.
mwisho nimalizie,huyu rais ni Rais na kiongozi mwenye busara sana na ana uchungu na nchi yetu, ila watanzania wachache hasa mafisadi na wauza unga, na wapinzani fikra zenu ni za ajabu mno hamfikirii tanzania ya sasa na kesho ila mnafikiri matumbo yenu tu.
 
wewe unajua maana ya demokrasia? political scientists hawana definition moja ya democracy, na kiukweli demcrasia haina maana ya kuruhusu kiholela mihadhara ya kisiasa, hata USA sasa hivi serikali iliyoko madarakanindo inafanya kazi, uhuru wa habari sijaona ulipo binywa kwasababu tv, magazeti, etc yako huru kuripoti taarifa zenye maslahi mapana kwa taifa, kwahiyo Abudist continue to be stupid and selfis at the expense of our nation.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom