Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
ukweli watanzania hatuna haja na ndege kivile zilikuwa kiki tu ila upi mpango msdhubuti wa kuondoa uduni huu wa maisha kwa mtanzania ,walisema ml 50 kila kijiji badala yake wamekopa mpaka trl 60 deni la taifa sasa huyu mwananchi atakuelewa kweli ,pia walikuwa wanakusanya madeni ya zamani wanadanganya wamevuka target duh ... hii serikali full magizo
 
Go to hell mother***cker saa yy Ndio comnder in chief, yy Ndio tumempa dhamana ya kutuongoza?, yy Ndio anakusanya kodi zetu!?, Au unafikir kwa kutumia makalio!? Pumbafu wahed
Mmh mkuu,waungwana daima hudhibiti ulimi wao,umeleta mada kubali michango vinginevyo utaonekana unamatatizo binafsi,usilazimishe watu kukubali hoja na hapo huwaoni! Ungewaona si ungefanya kitu kisichoandikika?
 
Mi nadhan mazuri walofanya yapo tena mengi tu kusema ukweli ila na yanayokera waliyoyafanya yapo.
 
Inauma sana lakini ukweli mchungu
Huu utawala sasa ndo unaelekea kaburini
Kila mtu anaona
Dalili za mvua ni mawingu
Tena rashasha zimeanza
Angalieni uchumi ulivyo
Angalieni huu utawala unavyopingwa isivyo kawaida
Angalia unavyotizamwa nje ya Tanzania
Angalia wanaccm wenyewe walivyokasirika juu huu utawala
Nawaambia na amina na iwe hivyo
Natamani hata ile expactation ya mange ya 2017-2020
Au yale maono ya lema maana nishaanza kuhisi kitu
Wachache wanaiponza nchi yetu kila kitu wachache wanalindwa, wanapendelewa, wanaachwa, wanatetewa kwa uovu wao, wanaachwa wanaconduct uovu tz nzima
Amini usiamini haitafika 2018 aaaaa/ naapa. kama utawala huu haujaenda kaburini
 
Uchochezi
 
kifo cha ccm si kwa sababu ya jmp pekee ni mwendelezo toka mwinyi-mkapa- kikwete-itamalizikia kwa ********
 
Huku watanzania wakiendelea kuzisubiri mil. 50 kwa kila kijiji, leo tunapata taarifa kwamba huenda vikao vya Bunge la bajeti vikashindwa kuendelea kutokana na ukata unaoikabili serikali.
 
Utawala huu unalindwa na bunduki na si uzalendo wa wananchi. Na ninaomba Mungu yasitokee ya kutulazimisha kuonyesha au kutumia uzalendo wetu, kwani tutaanguka vibaya kwa sababu uzalendo uliopo ni wa mashaka .
 
Kuna ramli zingine zinatisha! Kuna maono mengine yanatisha! Kuna hisia zingine zinatisha! Hii ni kwa sababu mahasidi siku zote wanafikiria kichwani na mioyoni (heart, soul, spirit ) mwao, mambo mabaya - always negative perceptions! Mizani yao na vipimo vyao vimechezewa lakini bado wanavitumia kwa, ama makusudi au kwa kutokujua! Poleni sana!
Ingependeza kama ufafanuzi wa hoja hii ungefanywa:
- Kwani uchumi umekuwaje?;
- Nje Tanzania inatazamwaje?,
- Rasharasha zipi?;
- Utawala unapingwa na nani?
 
Tukisema tunaitwa wachochezi ila mungu ndiye anayejua jinsi watanzania wanavyoteswa na kuumizwa utawala wa CCM
 
Maisha magumu sana hasa ukiwa mvivu wa kufikiria na kujifunza.Alikuwepo Kambona akapita,akaja Siti akapita,akachomoza Lugangira,Macghee na wenzake wakaondoka,chama lipo tu.Tukapigana vita ya Kagera tukashinda,tukatangaziwa kufunga mkanda mpaka leo sijasikia tukiambiwa tuuregeze,na chama ndiyo kwanza linadunda tu.Jamani maisha ni yako binafsi ukisubiri kufurahishwa utakufa bila kufurahi.
 
Nathani ungetuletea jinsi tawala nyingine zilivyo ingia kaburini kama vile (kanu huko kenya)ndio uje utuhabarishe kuhusu huu utawala ambao wewe unavyo ona bila kutumia mitazamo ya (wana ccm au Mange kimambe au Lema ) kama ndio mizani ya kupima serikali inayodondoka ngalizo MIMI SIO MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE. ila ni mfuasi wa siasa ya ujamaa na kujitegemea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom