Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Inauma sana lakini ukweli mchungu
Huu utawala sasa ndo unaelekea kaburini
Kila mtu anaona
Dalili za mvua ni mawingu
Tena rashasha zimeanza
Angalieni uchumi ulivyo
Angalieni huu utawala unavyopingwa isivyo kawaida
Angalia unavyotizamwa nje ya Tanzania
Angalia wanaccm wenyewe walivyokasirika juu huu utawala
Nawaambia na amina na iwe hivyo
Natamani hata ile expactation ya mange ya 2017-2020
Au yale maono ya lema maana nishaanza kuhisi kitu
Wachache wanaiponza nchi yetu kila kitu wachache wanalindwa, wanapendelewa, wanaachwa, wanatetewa kwa uovu wao, wanaachwa wanaconduct uovu tz nzima
Amini usiamini haitafika 2018 aaaaa/ naapa. kama utawala huu haujaenda kaburini

Kwenda kaburini si mtu aliekufa anasindikizwa na wazikaji sasa hapo unaaanisha nini hapo penye hapo?
 
Haya yote yanatokea kwa sababu tumemkabidhi uongozi wa nchi mtu aliyepenyezwa kimkakati na Kigali ili aisambaratishe nchi hii kwa maslahi ya Kigali.

Eneo pekee lilokuwa limebaki walau salama kwe eneo hili la kiuno cha Africa ni Tanzania,Congo ya Kabila ilishasambaratika.

Yote yanayotokea ni planned,hayatokei kwa bahati mbaya
 
FB_IMG_1491623843180.jpg
 
ohoo Tanzania naona kwa kipndi hiki cha miaka miwili watu wamejikita zaidi kwenye siasa sio mtoto sio mkubwa sio shule sio mtaan,sio watumishi wa mungu sio wasanii kila sehemu TZ n siasa sijui tunaelekea wapi sasa.

Tuache bhana tusahau siasa mpaka 2020.Naipenda nchi yangu ila sipendi yanayoendelea nchini.mtazamo tu jamani
 
ohoo Tanzania naona kwa kipndi hiki cha miaka miwili watu wamejikita zaidi kwenye siasa sio mtoto sio mkubwa sio shule sio mtaan,sio watumishi wa mungu sio wasanii kila sehemu TZ n siasa sijui tunaelekea wapi sasa.Tuache bhana tusahau siasa mpaka 2020.Naipenda nchi yangu ila sipendi yanayoendelea nchini.mtazamo tu jamani
Tatizo lako huelewi maana ya siasa, ambayo wewe na watu wako mnaifanya kila siku katika ngazi ya familia.
 
Tatizo lako huelewi maana ya siasa, ambayo wewe na watu wako mnaifanya kila siku katika ngazi ya familia.
Hapana si lazima tuinyambue kufikia huko, ameeleweka vyema. Haya makitu ni ujinga kuyasimamia. Kwanza inaonesha hatuijui haswa hatuujui huu mfumo wa vyama vingi na demokrasia yake.

Uchaguzi ni vyama au watu kuuza sera zao kuomba ridhaa, akishachaguliwa na wengi wote ni kubaki tu kimya atekeleze aliyowaahidi wapiga kura wake. Atafanya hivyo kwa njia na mikakati yake, akishindwa, uchaguzi ndo njia yake.

Tumeuingia mfumo kwa mbele hata hatuujui. Kuna mengi sana ya msingi ya kujadiliwa, daily wanasiasa na siasa. Hata wataalamu hawajadiliani kuhusiana na field zao siasa tu, BIG NO.
 
Wanakera sana! Mbaya zaidi wanatufanya sote tufanane nao. Huna utakaloongea lisihusishwe na vyama vyao... Inaboa sana. Aksante kwa kuliona Mkuu.
Pamoja na kukukera lakin 75% ya maisha yako humu ni siasa hivyo haikwepeki.
 
Tatizo lako huelewi maana ya siasa, ambayo wewe na watu wako mnaifanya kila siku katika ngazi ya familia.
Aksante kwa uelewa wa fasta! Tusiwape vichwa hawa watu. Kuna mengi ya kujadilika kitaifa, mfano mvua zinanyesha now, maji yapotea, hakuna wenye uwezo kwa gharama nafuu kutoa mbinu ya kuyazuia kwa kilimo cha bustani au ufugaji wa samaki. Najua wapo. Mengi sana.
 
Wanakera sana! Mbaya zaidi wanatufanya sote tufanane nao. Huna utakaloongea lisihusishwe na vyama vyao... Inaboa sana. Aksante kwa kuliona Mkuu.
hapa wewe umeongea siasa, sema wewe hujitambui kama ni siasa
 
Pamoja na kukukera lakin 75% ya maisha yako humu ni siasa hivyo haikwepeki.
Tumsubiri Mungu atuletee malaika au nabii aje atujuze kwamba muda na akili zetu tunavipoteza kijinga? Hapana, ni sisi wenyewe. Kwanza lituingie kichwani hili, Tanzania nzuri inanitegemea mimi na familia yangu nyumbani.
 
ohoo Tanzania naona kwa kipndi hiki cha miaka miwili watu wamejikita zaidi kwenye siasa sio mtoto sio mkubwa sio shule sio mtaan,sio watumishi wa mungu sio wasanii kila sehemu TZ n siasa sijui tunaelekea wapi sasa.Tuache bhana tusahau siasa mpaka 2020.Naipenda nchi yangu ila sipendi yanayoendelea nchini.mtazamo tu jamani
Kiongozi wa nchi naye anapiga siasa kila mara badala ya kufanya kazi
 
Wewe Donald ,

Pamoja na hawa wenzako Ard67 na Ally10 . . , aidha ni vilaza wa ccm , au ni mambumbumbu tuu wa kawaida . .

Siasa haiwezekani kutengwa na maisha yetu ya kila siku. .
Siasa ni mfumo na aina kamili kabisa ya maisha ambayo jamii inayafuata, au imeamua kuyaishi . .

Ujamaa ni siasa, ukomunisti ni siasa, ubepari vilevile . .
Siasa ni mfumo kamili wa mwanadamu ktk kuchagua viongozi wao, ktk kuchagua mtindo wao wa kutafuta HAKI, UCHUMI, nk . .

Wanasiasa uchwara (professional liers) ndio wanaodanganya wananchi eti wasijiingize kwenye siasa . . , wakiwaaminisha kuwa siasa ni uongo, siasa ni vita, siasa ni uadui, au siasa ni safi kwa wao tuu wenye madaraka . . , ambao kwa ajabu hata wao wamepewa madaraka ya kuongoza nchi kwa siasa hiyo hiyo . . !

Waache watanzania wajadili, waulizane, na wawakemee matapeli wa kisiasa . . , USITUPANGIE CHA KUZUNGUMZA . . !

Labda nawe hujatuelewa Mkuu! Tumesema tusilinyambue hilo neno hapa, mtoa mada ameshaeleweka nini amemaanisha labda wewe ndo hukumuelewa. Haya unavyoikosoa serikali kipindi hiki ili iweje? We ndo chama uliyeitengeneza Ilani aliyoiahidi kuitekeleza?

Unajua mipango yao juu ya utekelezaji huo? Hivi hamjui wenyewe ktk ngazi zote kuanzia kata hadi wilaya hukutana na kujadiliana juu ya utekelezaji wa ilani yao? We kipi kinakuhusu hata siku zote ukeshe na kuwajadili?

Kama siasa ni mfumo full wa maisha, kwa kipindi hiki tufanye siasa kilimo kukuza uchumi nk.
Tulishasema, hamtoacha kuhusisha na vyama. Kila siku nawaambia, huwa mnajidanganya sana kudhani asiyekuwa ccm ni cdm au chochote cha upinzani, kosa kubwa hilo. Kuna watanzania hawana hizo itikadi ya vyama kabisa tena ndo wengi.

Kudhani kwenu huko hata uwafanya msiwatageti ktk mikakati yenu daily mnaangukia pua na kuleta visingizio lukuki. Asiye na chama huwezi kuipata kura yake kwa kuikosoa ccm bali kumthibitishia kwamba wewe ni tofauti na ccm. Hamfanyi, mmewapoteza wengi.
 
tunajua kwamba siasa ni part ya maisha yakila siku ila unatakiwa tu ujue siasa zinatofautiana kuna siasa ambazo hazina tija na msingi wowote kwenye maisha hususani hizi zinazoendelea kwasasa ila kuna siasa zenye manufaa kwa jamii kwamfano siasa zinazoenda sawa na utendaji vilevile siasa za kukosoa panakua wrong kwa serikali ili mambo yaende sawa lakin hizi za kila siku mara hich mara kile nop kwasasa haziitajiki mfano waamerika walimpinga Trump kabla ya uchaguzi na hata baada ya matokeo wakaandamana kumpinga lakin leo hii wameungana na wanamuunga mkono Trump na maisha ya siasa zisizo na tija zmepita.lakin n mtazamo tu
 
Hapana si lazima tuinyambue kufikia huko, ameeleweka vyema. Haya makitu ni ujinga kuyasimamia. Kwanza inaonesha hatuijui haswa hatuujui huu mfumo wa vyama vingi na demokrasia yake.

Uchaguzi ni vyama au watu kuuza sera zao kuomba ridhaa, akishachaguliwa na wengi wote ni kubaki tu kimya atekeleze aliyowaahidi wapiga kura wake. Atafanya hivyo kwa njia na mikakati yake, akishindwa, uchaguzi ndo njia yake.

Tumeuingia mfumo kwa mbele hata hatuujui. Kuna mengi sana ya msingi ya kujadiliwa, daily wanasiasa na siasa. Hata wataalamu hawajadiliani kuhusiana na field zao siasa tu, BIG NO.
unachotakiwa kujua siasa imegawanyika katika makundi tofautitofauti mm nnachopinga ni aina ya siasa inayoendelea kwasasa sio wasomi sio wanafunzi sio mtaani sio viongozi sio wasanii yan n siasa.Nop embu tuwaige marekani hata ghana na baadhi ya nchi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom