comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Inauma sana lakini ukweli mchungu
Huu utawala sasa ndo unaelekea kaburini
Kila mtu anaona
Dalili za mvua ni mawingu
Tena rashasha zimeanza
Angalieni uchumi ulivyo
Angalieni huu utawala unavyopingwa isivyo kawaida
Angalia unavyotizamwa nje ya Tanzania
Angalia wanaccm wenyewe walivyokasirika juu huu utawala
Nawaambia na amina na iwe hivyo
Natamani hata ile expactation ya mange ya 2017-2020
Au yale maono ya lema maana nishaanza kuhisi kitu
Wachache wanaiponza nchi yetu kila kitu wachache wanalindwa, wanapendelewa, wanaachwa, wanatetewa kwa uovu wao, wanaachwa wanaconduct uovu tz nzima
Amini usiamini haitafika 2018 aaaaa/ naapa. kama utawala huu haujaenda kaburini
Kwenda kaburini si mtu aliekufa anasindikizwa na wazikaji sasa hapo unaaanisha nini hapo penye hapo?