halafu alivyo mnafiki anakwambia tudumishe amani wakati yeye ndiye wa kwanza kuvunja hiyo amaninaunga mkono hoja, ni kwel kabisa kwa sasa aman imetoweka kabisa, kinachoskitisha ni kwamba, sis watu wachin kabisa ambao hatuna sehemu ya kusemea ndio tunajaribu kupiga kelele tu mitandaon, wakati wapo watu ambao wana nafas kubwa ya kukemea huu upuuzi unaoendelea ndan ya nchi lakin wamekaa kimya! wapo viongoz waandamiz, wapo pia viongozi wa din, hao wote wana nafas lakin cha kushangaza wapo kimya tu! au na wao wanafurahishwa na aya mambo yanayoendelea ndan ya nchi hii?
Panya roads hujawasikia?Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Ni kweli mengi mazuri amefanya ila arekebishe haya mabaya machache ili awe kiongozi boraToka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Naishi Dar tena mahali ambapo zilipokuwaga moja ya kambi zao!Panya roads hujawasikia?
Tuanzie hapa kwanza ,ww unaishi wapi?
Mengi yapi hayo?Ni kweli mengi mazuri amefanya ila arekebishe haya mabaya machache ili awe kiongozi bora
Panya road wamejaa kila kona na mbaya zaidi siku hizi wanaua kabisa hawaishii kukuibia tuNaishi Dar tena mahali ambapo zilipokuwaga moja ya kambi zao!
Huwezi linganisha na mida fulani, labda huko kwenu wapo wa kuvizia!
Panya road ni makonda ujaona cloudsToka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Anajifanya hajuwi matukio yanayotokea wakati hata tukio la kutekwa kwa roma bado bichi kabisaPanya road ni makonda ujaona clouds
Acha upumbavu wewe amani imetoweka kuna vita ukilinganisha utawala uliopita ambapo mauaji ya watu yalitawala kwa magufuli nani kauawa?? Na wafuatao wameuawa na kutekwa kipindi cha utawala uliopita waliokufa kwa uchache tu ni:-Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo
Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .
Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Nchi inaongozwa kwa mkono wa damu
Mkuu Tanzania ya awamu hii amani imetoweka kwa kiasi kikubwaTanzania siku zote hakuna amani bali muna uvumilivu tu
We Kaa na uendelee kupiga Kampeni humu kwenye mtandao ukidhani mtashinda urais 2020.Kuna Watu hawajui Hata mtandao ni nini.Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo
Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .
Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Tukio la waziri kuoneshewa bastola mbele ya umati wa watu nalo unaliona ni la kawaida?Acha upumbavu wewe amani imetoweka kuna vita ukilinganisha utawala uliopita ambapo mauaji ya watu yalitawala kwa magufuli nani kauawa?? Na wafuatao wameuawa na kutekwa kipindi cha utawala uliopita waliokufa kwa uchache tu ni:-
1. Marehemu Dk Mvungi (Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi)
2. Alphonce Mawazo mwenyekiti CHADEMA MKOA -GEITA
3. Mchungaji aliyechinjwa Katoro
WALIOTEKWA BILA KUUAWA
1. Dr. Ulimboka
2. Absalom Kibanda
3. Mwandishi habari wa BBC toka Zanzibar
Je, wakati haya yote yanafanyika Magufuli alikuwa Rais Acheni unafiki wenu semeni ukweli hamuwezi kufa