Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania aliyewaroga bado anaishi.Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Panya road ana alama?Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Panya road ana alama?
Albino wanalindwa sana. Hawako huru.
Wizi wa mabenki hujasikia ile ya mbagala jambazi akiwa mwanamke?
Amka dogo acha kutumika kama kondomu ya kike
Huo ndo ukweli niliouweka hapo, kama umekutachi wee acha ila wajua usalama na amani imeongezeka!Panya road ana alama?
Albino wanalindwa sana. Hawako huru.
Wizi wa mabenki hujasikia ile ya mbagala jambazi akiwa mwanamke?
Amka dogo acha kutumika kama kondomu ya kike
Hili ni tatizo la kushikiwa akili, akikwambia kamanda wa anga au wazungu basi unaacha kufanya tafiti wewe mwenyewe uliye eneo la tukio unamwacha mzungu aliyezuiwa kuchukua mchanga akulishe maneno, unategemea nini hapo??Duh! Inchi inaongoza kwa watu wake kutokuwa na Furaha, sijui Amani mnaipataje, ni somo kubwa sana hili. Palipo na amani hapakosi upendo. Tusijidanganye

Rushwa kwa matraffic imezidiToka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Wewe ndo utakuwa umeshikiwa akili!Hili ni tatizo la kushikiwa akili, akikwambia kamanda wa anga au wazungu basi unaacha kufanya tafiti wewe mwenyewe uliye eneo la tukio unamwacha mzungu aliyezuiwa kuchukua mchanga akulishe maneno, unategemea nini hapo??
Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo
Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .
Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Una kila dalili za ugonjwa wa akiliTangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo
Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .
Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Kwa mtazamo wako hivo vitu vinne ndio 'amani'?? Bado sana kumbe...Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Atakuwa wa uvinza huyu, sasa sijui kama hata anajua maana ya panya roadPanya roads hujawasikia?
Tuanzie hapa kwanza ,ww unaishi wapi?
Siku nyingi hajasema AOMBEWEUnadhani kwa nini anatuambia tumwombee?
Rushwa hadi leo inadaiwa,na inatolewa.Acheni Tanzania iko vizuri na ina muelekeo mzuri tu.
Mnataka ufisadi uachiwe tena kama miaka ya nyuma?
Mnafurahi wahindi wakimiliki TRA?
Mnaona raha kutoa rushwa ili kupata huduma hata za serikali?
Mnachukia kuletewa barabara za kisasa?
Mnafurahi wavuta bangi wakimtukana rais?
Na hili suala la vyeti nani aliewahi kuonyesha vyeti vyake kwenye mtandao? Hata hao walioachishwa kazi kwa vyeti feki vyeti vyao vilionyeshwa kweny facebook?
Acheni ukuda hapa, Alaa!