Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kila jambo huwa na matokeo yake... Tumekuwa chini ya usimamizi wa serikali ya ccm mpk sasa ni awamu ya tano,takribani miaka 50+ sasa na ktk hiyo miaka kuna matarajio yaliyokuwepo ambayo ndio huleta matokeo ya sasa.. Je,mpaka sasa hivi tulivyo ndio yalikuwa mategemeo yetu/mategemeo ya serikali..? Kama jibu ni ndio basi hakuna shaka na serikali lkn kama jibu ni hapana shaka lzm iwepo..lkn jibu utalipata kutokana na kuchagizwa na mazingira yaliyopo kwa kuangalia mambo yalivyo sasa maana ndio matokeo ya kile kilichopandwa zamani.
Kama mambo yakienda koro ktk familia wazazi ndio walaumiwa na ndio wanaotakiwa waweke ushwari ili mambo yawe sawa..yanayoibuka sasa yamelelewa zamani! na hapa ndipo ninapouona ubaya tena wa mtu kujitekenya na kucheka yeye mwenyewe!
nchi sio dini kuhubiri neno moja miaka nenda rudi!,sifa kubwa ya kiongozi ni kuongoza watu wafikie malengo yao sasa kama mahubiri ni yaleyale it means Loading...
Tatizo sio kuugundua ugonjwa tatizo ni kuutibu ugonjwa tubadilike.
Anatupeleka kwenye nchi ya NEEMA.
 
Kwa watanzania wenye akili timamu. Hali ya uchumi ni mbaya. Usalama wetu upo mashakani.

Sasa, tushirikiane tutumbue jipu
 
Mkuu amani ni zaidi ya kutokuwa na vita! Na kama hamna vita haimaanishi kuwa kuna amani, hata hili la makonda kumtukana mtumishi wa uma (kichaa) na udhalilishaji mwingine, inaondoa amani kwa jamii" kauli za huyu bwana anapohutubia zinajenga hofu kubwa ktk jamii mf ( badala ya kukemea uvamizi wa clouds, alimuelekeza mvamizi aendelee kuchapa kazi!) Je kesho ni zamu ya nani kuvamiwa!?
Hakuna amani mkuu, kinyume chake kuna ombwe kubwa la sononi na hofu mioyoni mwa raia wa nchi hii!
Sijui kama unakumbu kuwa tz. Ipo ktk nchi ambazo raia wake wanaongoza kwa kutokuwa na furaha, hizi kauli za kichochezi\ kutishia raia kutoka kwa mkulu na mafisi wenzake zinaondoa kbs hata raha ya kujisikia fahari kuwa mtz!
Mkuu nilitegemea utaje vitu vyenye mashiko vinavyo fanya ujisikie mwenyewe kutokuwa na amani. Kwa ulivyo taja ni dhahiri kwamba hauna. Na kinachoendelea ni kutaka kuishi kwa kumtia hatiani makonda ili lengo lenu lifanikiwe. Nia yenu ni kumtoa makonda tu.Eti amani ya nchi imevurugika semeni tu amani ya mkoa wa Dar basi sio kukuza mambo. Kuna kpindi watu mnalishwa maneno hadi mnatia huruma. Uzuri Rais ameshawashitukia na akifanya jambo saivi ujue ni kwa utashi wake sio mnavyowaza nyinyi, Amani ya nchi haiwezi vurugwa na mtu mmoja hilo sahau. Amani ya nchi huvurugwa na wanachi wenyewe.
 
Kila jambo huwa na matokeo yake... Tumekuwa chini ya usimamizi wa serikali ya ccm mpk sasa ni awamu ya tano,takribani miaka 50+ sasa na ktk hiyo miaka kuna matarajio yaliyokuwepo ambayo ndio huleta matokeo ya sasa.. Je,mpaka sasa hivi tulivyo ndio yalikuwa mategemeo yetu/mategemeo ya serikali..? Kama jibu ni ndio basi hakuna shaka na serikali lkn kama jibu ni hapana shaka lzm iwepo..lkn jibu utalipata kutokana na kuchagizwa na mazingira yaliyopo kwa kuangalia mambo yalivyo sasa maana ndio matokeo ya kile kilichopandwa zamani.
Kama mambo yakienda koro ktk familia wazazi ndio walaumiwa na ndio wanaotakiwa waweke ushwari ili mambo yawe sawa..yanayoibuka sasa yamelelewa zamani! na hapa ndipo ninapouona ubaya tena wa mtu kujitekenya na kucheka yeye mwenyewe!
nchi sio dini kuhubiri neno moja miaka nenda rudi!,sifa kubwa ya kiongozi ni kuongoza watu wafikie malengo yao sasa kama mahubiri ni yaleyale it means Loading...
Tatizo sio kuugundua ugonjwa tatizo ni kuutibu ugonjwa tubadilike.
Sio tumepotea sema umepotea
 
Sijawahi ona nchi yoyote Duniani iliyokuwa kiviwanda katika kipindi cha mwaka mmoja kama wengi wanavyotaka kutuaminisha hapa. Jambo lingine ambalo naliona waliowengi wanasahau kama kuna wizara za kisekta zinazohusika kwa kila sekta, mbona hawahijiwi kama wenye dhamana na sekta zao? macho yote kwa Rais? hivi inawezekana Rais akafanya kila kitu? au ni negative attitude inayojengwa dhidi ya Rais ili tu aonekane hafai? tuwe wakweli wa TZ
 
Halafu muache kufuata mkumbo. Mtu anashona viatu pia anapiga kelele Magufuli kabana hela akishanywea pombe visenti vyake.
Kumbe kimsingi anapata pesa zaidi hivi sasa kwa sababu wanunuaji viatu vipya wamepungua wanaoshona viatu vyao vibovu wamekuwa wengi.
Muuza mkaa pia analia na Magufuli wakati mkaa umepanda bei.
 
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Hasira za nini?
 
naskia malalamiko teleee juu ya serikali ya magufuli watu wanataka kikwete arudi wakati kwenye box walizuga wanapigia babu lowassa Iv hata wagombea wengine kama hashimu rungwe na fahm dovutwa hawafai kupewa kula ispokuwa ccm na chadema...dah

[HASHTAG]#najiskia[/HASHTAG] kujiteka

Humu jf namkubali sana ONTARIO jamaa saf ambae halalamikii DAUDI BASHITE kama sisi af wakuu wa mikoa mingine wana nn!?

[HASHTAG]#wala[/HASHTAG] vibaragasha

ukinidhania me Niko kinyume chako bas we mla vibaragasha

[HASHTAG]#usifanye[/HASHTAG] kosa 2020

stori inogile baada ya kupiga ban viroba sasa ni mkeka bet af ujiambie sbet tena hata iweje kesho best ako aje na bonus ya mkeka bet.

[HASHTAG]#ulimosimo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#serikali[/HASHTAG] ya vi-wonder
vi-wonder kutoka kwa wapigakura watiifu walioasi

MSINIHUKUMU
 
Sijawahi ona nchi yoyote Duniani iliyokuwa kiviwanda katika kipindi cha mwaka mmoja kama wengi wanavyotaka kutuaminisha hapa. Jambo lingine ambalo naliona waliowengi wanasahau kama kuna wizara za kisekta zinazohusika kwa kila sekta, mbona hawahijiwi kama wenye dhamana na sekta zao? macho yote kwa Rais? hivi inawezekana Rais akafanya kila kitu? au ni negative attitude inayojengwa dhidi ya Rais ili tu aonekane hafai? tuwe wakweli wa TZ

Ndugu yangu, mawazo yako ni mazuri sana na siku zote tabia ya mtu mvivu ni kulalamika. WaTz sisi ni wavivu kwisha. We fikiria ni kipindi gani cha urais ambacho watu hawakulalamika?
Yaani nguvu watu wanayotumia kulalamika humu wangeitumia kuchapa kazi na kulipa kodi vizuri, mbona tungeendelea sana! Halafu ni nchi gani iliyoendelea kwa mwaka mmoja? Sisi ni watu wa ajabu sana aisee. Hata kufikiri tu tumekuwa wavivu, dah!
 
Aseee mpaka Magu atoke Madarakan tutakuwa tumeisoma number vya kutoxhaa duuuh
Life ni Gumu kila kona.
 
Aseee mpaka Magu atoke Madarakan tutakuwa tumeisoma number vya kutoxhaa duuuh
Life ni Gumu kila kona.
Wewe ulikuwa na shughuli gani ya kukuingizia mapato kabla Magufuli hajaingia madarakani.Kama ulikuwa mla rushwa,mkwepa kodi,jambazi,mpiga dili,ulitumia vyeti feki,ulikuwa mfanyakazi hewa,ulikuwa mwanafunzi hewa nk imekula kwako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom