Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
1. Uliwahi kuona treni imekwama??
2.Watanzania peke yao ndio watakaotumia ndege hizo???
3.Kama hakuna viwanda hao wanafunzi wakimaliza kusoma wataenda wapi??

Mkuu una chuki binafsi asingefanya hayo pia ungesema acha tu Our President aendelee na makamuzi
Wewe naye kwa akili ya kawaida tu hao wageni watawaletea dawa hospitalini na kukupasulieni majipu wakifika Airport yenu au unaongea tu?
 
Wewe naye kwa akili ya kawaida tu hao wageni watawaletea dawa hospitalini na kukupasulieni majipu wakifika Airport yenu au unaongea tu?
Ni maelezo au suala???[emoji18] ukiona watu wanaumia wakiambiwa ukweli ujue ujumbe umewafika vizuuri!! Usiwe na haraka hayo mambo yanafanyika usitake sehemu zooote zifanywe siku moja tanzania si nyumba ya familia ambayo unaweza ukasema leo watu watakula nini??
 
Ok, lakini kuna vitu vya msingi km suala afya ya jamii, hizo pesa za ndege zingenunulia madawa angalau na kuajiri madaktari hata mara mbili ya hao alitoa waraka wa ajira zao.
 
Tukipata faida ya ela za ndege tutafanya hivyo vitu, tutakuwa na pesa ya kutosha kuwalipa madaktari, tutajenga,hospitali, tutakuwa na pesa za kujenga,shule vijijini!! Kwani hujui kama kwnz zalisha halafu tumia????
 
Acha matusi. Kama umepotea ni wewe mwenyewe sisi tunajua tunakokwenda na rais JPM anaongoza msafara wetu.

Yap, mnajua mnakoelekea, kwenye shimo kubwa lenye giza tororo. Hii ndio Tanzania ya vi-wonder!
 
Wakuu;

Mimi sio mchoyo wa fadhila nachukua fursa hii kumpongeza rais Magufuli kuingia ofisini kwa takribani miaka miwili mpaka october kwa mision moja tu ya kuteua na kutumbua kwa kweli sio kaz nyepesi kuteua watumishi katika idara mbalimbali za serikali na kuzijaza na akina Mrema nadhani rais anapaswa kupongezwa.

Kuhusu ugumu wa maisha kama kupanda kwa bei ya vyakula hususan unga kwa kweli hatupaswi kumlaumu rais kwa kuwa bado anateua akimaliza atahamia kwenye tatzo hilo katika kipindi kilichobaki kwani tunapaswa kumpa muda.

Hongera, jp20
 
Unanipa hasira sana
Teuzi na tumbuzi sio mchezo...
 
Kutumbua na kuteua inatusaidia nini wananchi kama sukari bado inauzwa 3000, madawa kitendawili, vyakula bei juu wakati maghala ya serikali yamejaa, wafanyakazi wanaandamana ktk mioyo yao etc.
 
Kuteua,Kutumbua, Kutengua na Kuteua tena miaka miwili Kati ya mitano
Guinness Book of World Records candidate
 
Hatujui anatupeleka wapi maana tuko ndani ya lori na halina madirisha angalau ata tuone
 
Ni wasiwasi wako tu; umepofuliwa na chuki za kushindwa ya kura nyingi za Watanzania kukataa ukabila na ukanda. Huoni wafanyakazi hewa kufutwa? Na wanafunzi hewa? Na miradi hewa? Na madawa ya kulevya? Na ufisadi? Na uzembe? Huoni Shirika la Ndege kufufuka sisi Taifa kubwa pande hii ya dunia hatuna airline? Huoni treni za standard gauge? Huoni bomba la mafuta kupitia Tanga? Umeme Vijijini huuoni, siku hizi unaenda hadi Rorya na Tandahimba na Nzega, huko zamani ilikuwa ni migombani tu. Huoni shule ziko nchi nzima, si Kaskazini tu? Huoni uchumi kukua, huoni inflation kupungua? Toa mawani meusi ya ukabila na udini na ukanda, utaona tunaenda wapi. WM.
 
Mkuu unapokuwa na usingizi ni bora ukalale uumpe mwili nafasi ya kupumzika kuliko kung'ang'ania mitandaoni na kujikuta unapost vitu vya ajabu. Hivi unaweza kutuma ushahidi wa kipindi cha JK na kipindi cha JPM idadi ya matukio ya ukosefu wa amani?
Unalinganishaje matukio ya miaka 2 ya JPM na miaka 10 ya Jk wee zuzu . . ??!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom