Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
KWA sababu we mwenyewe hujui maisha yako utatoka vipi ndivyo hivyo hivyo magu anataka watu mjue mnatoka vipi labda nikufundishe njia bora ya kujua jukumu lako kama mwananchi selikari yoyote duniani husimamia usalam,amani na kuelekeza selikari njinsi ya kufanya ili maisha ya wananchi yaendelee kwahiyo kama unasubili magu akusaidie kutoka zero to higher ni ngumu sana HAKUNA raisi anayependwa duniani kama magu angalia aljazera world asubuhi wameonyesha.
Aljazeera ndio walimchagua au aliapa kulinda katiba yao utamu wa ngoma ingia ucheze
 
Lakini flyover ya tazara ishaanza kutengenezwa,reli ya standard gauge ipo mbioni,ubungo fly over jiwe la msingi tayari!hivi mnachotaka haswa ni nn Watanzania???
 
Lakini flyover ya tazara ishaanza kutengenezwa,reli ya standard gauge ipo mbioni,ubungo fly over jiwe la msingi tayari!hivi mnachotaka haswa ni nn Watanzania???
Kiongozi watu wanamadai ya msingi hasa upande wa taaruma za Viongozi hasa baada ya vuguvugu la vyeti feki ambapo limepelekea baadhi ya watumishi kufutwa kazi na huku wengine wakifungwa gerezani lakini wengine wanatetewa na mpaka kufikia jana umeona wamekamilisha utetezi kwa Viongozi wenye vyeti feki huku wakijua ni kosa la jinai.
 
Hii Picha ya bashite IPO post number ngapi nimetafuta bila mafanikio
 
Mimi nimechanganyikiwa, labda nyie wenzangu mnijuze safari hii ni ya kwenda wapi. Nijuavyo mimi yapo mambo yanayotakiwa yatoe matokeo kwa muda mfupi, yako yale ya muda wa kati na yako ya muda mrefu mbele kabisa. Sasa hivi taifa linatekeleza mambo yepi kati ya hayo? Sustainability yake ikoje?
 
Unga sembe (ya mahindi)=2600/= nafikiri sasa unaweza kuelewa tunapoelekea.
 
Huu si msimu wa mavuno,kwanini bei haishuki?,
au mwakahuu mavuno sio mazuri?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom