utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
Sio madawa na kubolesha hospitalserikali inajenga miundombinu ya usafirishaji, inajenga mtandao imara wa masoko na mazao ya kilimo ili kuwezesha nchi kwenda kwenye uchumi wa kati wa viwanda
Kama noma na iwe noma.
Kwanza nishadata na Nchi hii.
Makodi ni mengi, hatuoni mrejesho wa kodi zetu.
Unatununulia Mandege ambayo hukutuuliza kama tunazitaka. Bilaa aibu unamwuliza Bibi wa pale KLM eti umenunua Ndege, inamsaidia nini?
Unaimba viwanda wakati viwanda vyenyewe hatuvioni. Wenzetu walijenga reli kutokana na mfumuko wa viwanda kuwa mkbwa, Je wewe unaviwanda vipi hasa vya kusafirishia hiyo mizigo kwenye hiyo reli mpya?
Kwanibulishindwa boresha ile ya zamani?
Usipende kutumia mapesa yetu kwenye mambo yasio ya msingi.
Ulishindwa kujenga viwanda vya nguo, vyakula, na bidhaa nyingine adim nchini zenye mahitaji makubwa vijana wapate ajira kwa wingi?
Sasa unajenga reli mpya, husemi hii ya kati itatumika kwa matumizi gani, hutuambii inamatatizo gani,!!
Usipende kuiga bila uchunguzi, Mwezio Ethipia Reli yake inampa njaa, haijiendeshi kwa faida.
Sidhani km wewe ulilipima hili.
Barabara bado hazijaunganisha Nchi nzima, vijana hawana ajira, mishahara midogo, gharama za maisha ni kubwa, kodi ni nyingi alafu unazidi kutawanya pesa zetu.
Nakuchama live mkuu, hapa UMEYUMBAA.
Tafadhali sana, usichezee pesa zetu, Punguza maneno mengi.
UNAYUMBA MZEE.
Nyie ndio machizi wa nchi hii. Kuboresha kilimo kwa kuwapa asilimia 2.2% ya bajeti. Mtu anaua nchi nyie mko busy kutetea upuuzi.serikali inajenga miundombinu ya usafirishaji, inajenga mtandao imara wa masoko na mazao ya kilimo ili kuwezesha nchi kwenda kwenye uchumi wa kati wa viwanda
Haya maneno huwezi kuyasema tena sikuhizi. Sijui nawe umeanza kupewa zile 7000/=za kila sikuBinafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
UlayaNdg nimeona niulize hili swali maana kwa sasa ni Giza nene na chama chetu tawala mambo yanayoendelea ktk chama hiki yananiacha ktk mshangao, naomba anayejua CCM inakotupeleka aweze kunijuza.
With due respect I do humbly submit.
Umepotea mwenyewe uchumi unapaa fursa kibao wewe kaaa kupiga majungu ten yrs wengine tuna mandinga na magorofa wengune kulalamika tuuuuMwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Mzee kwani unataka kuhamia wapi.....Naona leo umekazana sana na uhamisho kila threadmagufuli to a uhamisho