Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
serikali inajenga miundombinu ya usafirishaji, inajenga mtandao imara wa masoko na mazao ya kilimo ili kuwezesha nchi kwenda kwenye uchumi wa kati wa viwanda
 
serikali inajenga miundombinu ya usafirishaji, inajenga mtandao imara wa masoko na mazao ya kilimo ili kuwezesha nchi kwenda kwenye uchumi wa kati wa viwanda
Sio madawa na kubolesha hospital

Swissme
 
Kama noma na iwe noma.
Kwanza nishadata na Nchi hii.
Makodi ni mengi, hatuoni mrejesho wa kodi zetu.

Unatununulia Mandege ambayo hukutuuliza kama tunazitaka. Bilaa aibu unamwuliza Bibi wa pale KLM eti umenunua Ndege, inamsaidia nini?

Unaimba viwanda wakati viwanda vyenyewe hatuvioni. Wenzetu walijenga reli kutokana na mfumuko wa viwanda kuwa mkbwa, Je wewe unaviwanda vipi hasa vya kusafirishia hiyo mizigo kwenye hiyo reli mpya?

Kwanibulishindwa boresha ile ya zamani?
Usipende kutumia mapesa yetu kwenye mambo yasio ya msingi.

Ulishindwa kujenga viwanda vya nguo, vyakula, na bidhaa nyingine adim nchini zenye mahitaji makubwa vijana wapate ajira kwa wingi?

Sasa unajenga reli mpya, husemi hii ya kati itatumika kwa matumizi gani, hutuambii inamatatizo gani,!!

Usipende kuiga bila uchunguzi, Mwezio Ethipia Reli yake inampa njaa, haijiendeshi kwa faida.
Sidhani km wewe ulilipima hili.

Barabara bado hazijaunganisha Nchi nzima, vijana hawana ajira, mishahara midogo, gharama za maisha ni kubwa, kodi ni nyingi alafu unazidi kutawanya pesa zetu.

Nakuchama live mkuu, hapa UMEYUMBAA.

Tafadhali sana, usichezee pesa zetu, Punguza maneno mengi.

UNAYUMBA MZEE.
 
Dah mzee anayumba mpk nashindwa kumtetea.

Hii miradi anayoianzisha nahisi itakwama huko mbeleni.
 
Ndiyo maana wanatafuta real ID za watu humu, ungesha romaniwa mkatolikiwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama noma na iwe noma.
Kwanza nishadata na Nchi hii.
Makodi ni mengi, hatuoni mrejesho wa kodi zetu.

Unatununulia Mandege ambayo hukutuuliza kama tunazitaka. Bilaa aibu unamwuliza Bibi wa pale KLM eti umenunua Ndege, inamsaidia nini?

Unaimba viwanda wakati viwanda vyenyewe hatuvioni. Wenzetu walijenga reli kutokana na mfumuko wa viwanda kuwa mkbwa, Je wewe unaviwanda vipi hasa vya kusafirishia hiyo mizigo kwenye hiyo reli mpya?

Kwanibulishindwa boresha ile ya zamani?
Usipende kutumia mapesa yetu kwenye mambo yasio ya msingi.

Ulishindwa kujenga viwanda vya nguo, vyakula, na bidhaa nyingine adim nchini zenye mahitaji makubwa vijana wapate ajira kwa wingi?

Sasa unajenga reli mpya, husemi hii ya kati itatumika kwa matumizi gani, hutuambii inamatatizo gani,!!

Usipende kuiga bila uchunguzi, Mwezio Ethipia Reli yake inampa njaa, haijiendeshi kwa faida.
Sidhani km wewe ulilipima hili.

Barabara bado hazijaunganisha Nchi nzima, vijana hawana ajira, mishahara midogo, gharama za maisha ni kubwa, kodi ni nyingi alafu unazidi kutawanya pesa zetu.

Nakuchama live mkuu, hapa UMEYUMBAA.

Tafadhali sana, usichezee pesa zetu, Punguza maneno mengi.

UNAYUMBA MZEE.

Anapiga pesa za haraka haraka.Shida ni Ubinafsi.
 
Kwa kifupi huyu jamaa ni total failure. He failed miserably. Ni basi tu watanzania wengi vichwa maji ndio unaona wanampigia makofi lakini huyu mtu ni shida kwa Taifa.
 
serikali inajenga miundombinu ya usafirishaji, inajenga mtandao imara wa masoko na mazao ya kilimo ili kuwezesha nchi kwenda kwenye uchumi wa kati wa viwanda
Nyie ndio machizi wa nchi hii. Kuboresha kilimo kwa kuwapa asilimia 2.2% ya bajeti. Mtu anaua nchi nyie mko busy kutetea upuuzi.
 
Ndg nimeona niulize hili swali maana kwa sasa ni Giza nene na chama chetu tawala mambo yanayoendelea ktk chama hiki yananiacha ktk mshangao, naomba anayejua CCM inakotupeleka aweze kunijuza.

With due respect I do humbly submit.
 
CCM inampango wa kutupeleka kuzimu /kipind cha zama za kale watanzania tuikatae mapema hii kabla hali haijawa ngumu zaid ya hapa
 
Inatupeleka kwenye umasikini wa kutupwa bali watu wachache watakuwa na utajiri wa kutupwa
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.

Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.

Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.

Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu

Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?

Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.

Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Umepotea mwenyewe uchumi unapaa fursa kibao wewe kaaa kupiga majungu ten yrs wengine tuna mandinga na magorofa wengune kulalamika tuuuu
 
Je tumekuwa maskini kwa kuwa watanzania hawakuwa wanafanya kazi?

Wawekezaji wamegoma kuwekeza kila siku ni kiki ya kutaka kuandikwa magazetini na masifa.
Sera yake pia ni mahakama ya mafisadi lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea

Sera ya viwanda ni maneno tu huku kila siku wakitangaza viwanda vya kukoboa karanga na korosho na vingine kama ivo lakini wawekezaji wa viwanda vikubwa hawapo na hawa huhitaji energy na kwetu umeme ni shida

Uhuru wa habar haupo na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zao haupo. No one is allowed to critisize government. .media zote imeelekezwa kuisifu serikali

watu waliojaribu kuhoji mambo fulafulani kuhusu serikali baadhi wamepotezwa hawapo ktk jamii

Hayo yote ni katka kuhakikisha hakuna kuikosoa serikali na kama wako safi nguvu zote hizi za kunyamazisha jamii ni za nini

Nasema tumekwama sana afadhali anayeruhusu kukosolewa huenda akajirekebisha kuliko asitaka hata kutafuta ushauri na kusikia mengine kutoka kwa wengine
 
Huu mkwamo ni mkubwa sana wakutaka tunyamazishwe wote tunatokaje sasa hapa tulipo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom