Ni awamu ya watu ambao hawakujiandaa na hawajui principle za uongozi na matokeo yake kila kitu ni matatizo na wamebaki kupiga makelele tu majukwaani.
Ni watu ambao wako outdated kabisa kifikra, kimawazo,n.k na ni kama watu waliokosa kabisa exposure na huko mbeleni hata dunia nzima itaanza kuwazomea.
Ni watu wenye fikra,mitazamo na mbinu za miaka ya 60,70 na 80 katika utendaji wao.Yaani wana fikra za karne ya 20 na wanategemea fikra na mitazamo hiyo iliyopitwa na wakati ndio italeta tija katika ulimwengu huu wa leo!
Baada ya muda mfupi watajikuta wanadharaulika na kila mtu na kila mahali.
People possesing smart phones need smart leaders to match with and not otherwise
Nawaambia pole yao!