Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tulitaka Rais mkali, Mungu akatupa Magufuli.

Wagombea urais Kenya wanajinadi kuwa wakichaguliwa watakuwa kama Magufuli.

Tanzania sasa tumekuwa mfano wa kuigwa.

CCM itatawala milele.
 
Ni awamu ya watu ambao hawakujiandaa na hawajui principle za uongozi na matokeo yake kila kitu ni matatizo na wamebaki kupiga makelele tu majukwaani.

Ni watu ambao wako outdated kabisa kifikra, kimawazo,n.k na ni kama watu waliokosa kabisa exposure na huko mbeleni hata dunia nzima itaanza kuwazomea.

Ni watu wenye fikra,mitazamo na mbinu za miaka ya 60,70 na 80 katika utendaji wao.Yaani wa fikra za karne ya 20 na wanategemea fikra na mitazao hiyo iliyopitwa na wakati ndio italeta tija katika ulimwengu huu wa leo.

Baada ya muda mfupi watajikuta wanadharaulika na kila mtu na kila mahali.

Nawaambia pole yao!
Tumekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio uhuru wa mawazo, hata ukiongea pumba na kupiga ramli kuhusu mambo yajayo kama the late Sheikh Yahya tunayaheshimu. Ila siasa za kupiga kelele kwenye majukwaa 24/7, mwaka mzima as if hii nchi haiishi kampeni zimekoma. Maandamano ya kijinga yamekoma. Siasa mpaka 2020,. Kati ya vitu vilivyokuwa vinanikela ni siasa majukwaani zisizoisha kuchochea wananchi. Tufanye kazi. Unataka kukosoa serikali fanya hivyo bungeni. Hata huko marekani na wiingereza hatuoni chama pinzani kikifanya siasa za majukwaa na maandamano mwaka mzima. Wapo bungeni wanapambana na chama kilichounda serikali.
 
Mkuu we jifurahishe tu hapa, sizonje pamoja na udikteta wake wananchi wengi zaidi tunamuelewa, 2020 akipata kura chache sana za urais ni 85% tena bila figisu hata moja......kumbuka hilo kamanda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Figisu kazianza mapema sana, muda ukifika wakuu wa wilaya na mikoa wataweka watu ndani kama hawana akili nzuri.
 
Tulitaka Rais mkali, Mungu akatupa Magufuli.

Wagombea urais Kenya wanajinadi kuwa wakichaguliwa watakuwa kama Magufuli.

Tanzania sasa tumekuwa mfano wa kuigwa.

CCM itatawala milele.

Kuwa mkali haimaanishi kuvunja Katiba na Sheria alizoapa kuzilinda
 
Huyu dogo hajui afanye nini amejipa kazi ya utabiri tu sasa... Mbona utabiri chochote kuhusu Chama chako kitashika lini dola

Unachokiota hakiwezekani kutokea, labda serikali itakayo ongozwa na Mbowe form Four... Mfano Mbowe anataka uwaziri mkuu..

Mbowe ndio kiongozi pekee wa kambi rasmi bungeni mwenyewe elimu ndogo..
 
Mkuu we jifurahishe tu hapa, sizonje pamoja na udikteta wake wananchi wengi zaidi tunamuelewa, 2020 akipata kura chache sana za urais ni 85% tena bila figisu hata moja......kumbuka hilo kamanda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Kuna uchaguzi, SI nimesikia mnasema aendelee Tu kama washkaji zake?
 
Kila siku eti tumuombee,tumuombee wakati matendo yake yote ni ya kishetani isipokuwa.ETI MNIOMBEE ,NYOOOOOO UNATUTESA KAMA WATOTO WAKO KUMBE RAIA WENZIO
 
Ni awamu ya watu ambao hawakujiandaa na hawajui principle za uongozi na matokeo yake kila kitu ni matatizo na wamebaki kupiga makelele tu majukwaani.

Ni watu ambao wako outdated kabisa kifikra, kimawazo,n.k na ni kama watu waliokosa kabisa exposure na huko mbeleni hata dunia nzima itaanza kuwazomea.

Ni watu wenye fikra,mitazamo na mbinu za miaka ya 60,70 na 80 katika utendaji wao.Yaani wana fikra za karne ya 20 na wanategemea fikra na mitazamo hiyo iliyopitwa na wakati ndio italeta tija katika ulimwengu huu wa leo!

Baada ya muda mfupi watajikuta wanadharaulika na kila mtu na kila mahali.

People possesing smart phones need smart leaders to match with and not otherwise

Nawaambia pole yao!

nchi yetu tu bado iko kama miaka 60 kwa nchi zingine, sasa wewe sizonje endelea tu, kelele za mwewe hazimuzuii tembo kunywa maji.
kazi njema na watanzania wanakuahidi 85% 2020 ya ushindi tena.
 
Mkuu we jifurahishe tu hapa, sizonje pamoja na udikteta wake wananchi wengi zaidi tunamuelewa, 2020 akipata kura chache sana za urais ni 85% tena bila figisu hata moja......kumbuka hilo kamanda!

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sentensi unamaanisha uwe uliomuweka ulikuwa na hiyo kitu au mimi sijaelewa
 
Ni awamu ya watu ambao hawakujiandaa na hawajui principle za uongozi na matokeo yake kila kitu ni matatizo na wamebaki kupiga makelele tu majukwaani.

Ni watu ambao wako outdated kabisa kifikra, kimawazo,n.k na ni kama watu waliokosa kabisa exposure na huko mbeleni hata dunia nzima itaanza kuwazomea.

Ni watu wenye fikra,mitazamo na mbinu za miaka ya 60,70 na 80 katika utendaji wao.Yaani wana fikra za karne ya 20 na wanategemea fikra na mitazamo hiyo iliyopitwa na wakati ndio italeta tija katika ulimwengu huu wa leo!

Baada ya muda mfupi watajikuta wanadharaulika na kila mtu na kila mahali.

People possesing smart phones need smart leaders to match with and not otherwise

Nawaambia pole yao!

Hii awamu itadharaulika sana. Hasa kwa kudhibiti mianya ya rushwa, kuleta uwajibikaji serikalini, kufufua Air Tanzania Corporation, kufufua TTCL, kugundua wenye vyeti feki, kudhibiti safari za nje kwa watumishi wa serikali.
 
haki huinua taifa, bali aibu ni ya wote.

Juma maharage ameshaishiwa pumzi, amebaki kuigiza na kutafuta kiki kwa pikipiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom