TumekuelewaNi awamu ya watu ambao hawakujiandaa na hawajui principle za uongozi na matokeo yake kila kitu ni matatizo na wamebaki kupiga makelele tu majukwaani.
Ni watu ambao wako outdated kabisa kifikra, kimawazo,n.k na ni kama watu waliokosa kabisa exposure na huko mbeleni hata dunia nzima itaanza kuwazomea.
Ni watu wenye fikra,mitazamo na mbinu za miaka ya 60,70 na 80 katika utendaji wao.Yaani wa fikra za karne ya 20 na wanategemea fikra na mitazao hiyo iliyopitwa na wakati ndio italeta tija katika ulimwengu huu wa leo.
Baada ya muda mfupi watajikuta wanadharaulika na kila mtu na kila mahali.
Nawaambia pole yao!
Kwa sample ya twaweza inawezekana hiloMkuu we jifurahishe tu hapa, sizonje pamoja na udikteta wake wananchi wengi zaidi tunamuelewa, 2020 akipata kura chache sana za urais ni 85% tena bila figisu hata moja......kumbuka hilo kamanda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Figisu kazianza mapema sana, muda ukifika wakuu wa wilaya na mikoa wataweka watu ndani kama hawana akili nzuri.Mkuu we jifurahishe tu hapa, sizonje pamoja na udikteta wake wananchi wengi zaidi tunamuelewa, 2020 akipata kura chache sana za urais ni 85% tena bila figisu hata moja......kumbuka hilo kamanda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulitaka Rais mkali, Mungu akatupa Magufuli.
Wagombea urais Kenya wanajinadi kuwa wakichaguliwa watakuwa kama Magufuli.
Tanzania sasa tumekuwa mfano wa kuigwa.
CCM itatawala milele.
Kwani Kuna uchaguzi, SI nimesikia mnasema aendelee Tu kama washkaji zake?Mkuu we jifurahishe tu hapa, sizonje pamoja na udikteta wake wananchi wengi zaidi tunamuelewa, 2020 akipata kura chache sana za urais ni 85% tena bila figisu hata moja......kumbuka hilo kamanda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni awamu ya watu ambao hawakujiandaa na hawajui principle za uongozi na matokeo yake kila kitu ni matatizo na wamebaki kupiga makelele tu majukwaani.
Ni watu ambao wako outdated kabisa kifikra, kimawazo,n.k na ni kama watu waliokosa kabisa exposure na huko mbeleni hata dunia nzima itaanza kuwazomea.
Ni watu wenye fikra,mitazamo na mbinu za miaka ya 60,70 na 80 katika utendaji wao.Yaani wana fikra za karne ya 20 na wanategemea fikra na mitazamo hiyo iliyopitwa na wakati ndio italeta tija katika ulimwengu huu wa leo!
Baada ya muda mfupi watajikuta wanadharaulika na kila mtu na kila mahali.
People possesing smart phones need smart leaders to match with and not otherwise
Nawaambia pole yao!
Unasema ni dikteta?Mkuu we jifurahishe tu hapa, sizonje pamoja na udikteta wake wananchi wengi zaidi tunamuelewa, 2020 akipata kura chache sana za urais ni 85% tena bila figisu hata moja......kumbuka hilo kamanda!
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sentensi unamaanisha uwe uliomuweka ulikuwa na hiyo kitu au mimi sijaelewaMkuu we jifurahishe tu hapa, sizonje pamoja na udikteta wake wananchi wengi zaidi tunamuelewa, 2020 akipata kura chache sana za urais ni 85% tena bila figisu hata moja......kumbuka hilo kamanda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni awamu ya watu ambao hawakujiandaa na hawajui principle za uongozi na matokeo yake kila kitu ni matatizo na wamebaki kupiga makelele tu majukwaani.
Ni watu ambao wako outdated kabisa kifikra, kimawazo,n.k na ni kama watu waliokosa kabisa exposure na huko mbeleni hata dunia nzima itaanza kuwazomea.
Ni watu wenye fikra,mitazamo na mbinu za miaka ya 60,70 na 80 katika utendaji wao.Yaani wana fikra za karne ya 20 na wanategemea fikra na mitazamo hiyo iliyopitwa na wakati ndio italeta tija katika ulimwengu huu wa leo!
Baada ya muda mfupi watajikuta wanadharaulika na kila mtu na kila mahali.
People possesing smart phones need smart leaders to match with and not otherwise
Nawaambia pole yao!
Sema ulitaka Rais mkali na sio tulitakaTulitaka Rais mkali, Mungu akatupa Magufuli.
Wagombea urais Kenya wanajinadi kuwa wakichaguliwa watakuwa kama Magufuli.
Tanzania sasa tumekuwa mfano wa kuigwa.
CCM itatawala milele.