Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mimi hatua ya kwanza ningekimbia kwa Ras Simba ili nami nienjoy kushusha yai

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Ongezea na hii kiongozi: Viongozi wote wa taasisi za umma na wafanyakazi marufuku kusomesha watoto ktk shule binafsi au nje ya nchi,wote kusoma shule za uma!

Sikiliza Toka Kwangu!
 
Lijikidevu lingekuangusha na komwe lingekushinda kutembea
 
Ningeirudisha katiba ya Warioba,ningepunguza madaraka ya Rais ya Uteuzi,nafasi nyeti zote uteuzi wake ungefanywa na Bunge ili waweze kuwajibika kwa Wananchi!
Nafasi hizo ni:A.G,SPEAKER,CJ,DPP,DCI et al!
Nitawapa Wapinzani Uhuru wa Kunikosoa kadiri wawezavyo ili wapunguze nyongo na pia wanionyeshe madhaifu ya Serikali yangu!
Na wale wote watakao kuwa wananikosoa kimbeambea na kinafikinafiki,nitawaandalia sehemu maalumu ya Kuwanyoosha ili heshima iwepo!
 
Nikipata hiyo nafasi naanza na watu kama nyie mnaonipinga
Anza kupractice hiyo kitu kwenye familia yako, wewe si kiongozi wa familia yako. Ukiweza tutakupa urais. Mfanye kazi za hapo kwenu 24 hrs na mengine ulioweka
 
Nimekua nikitafakari hii speed ya Magufuli nikakumbuka msemo usemea "Mbio za farasi huishia sakafuni" Sasa nyie mnaotoa mapovu mkisifia hizi kurupukurupu na maagizo kutoka juu, wekeni akiba ya maneno. I see Total darkness ahead.
 
Imekuwa ni wimbo sasa kwa mkuu wa nchi kulia lia kila siku kuwa tumeibiwa sana nchi hii.

Mkuu ambaye ndiye mwenyekiti wa chama kilichoitawala hii nchi kwa miongo kadhaa, anayasema maneno kumtafuta mchawi wakati mchawi huyo hapo huyo kadondoka uchi hadharani katikati ya barabara.

Yaani hii idea ya mkuu Kutengeneza mazingira ya kumlaumu 3rd part ambaye ni imaginary, aache.

Nyimbo ipo moja tu sasa, pambana na hali yako.. Nayeye basi kama anaona tumeibiwa sana, basi apambane na nchi yake.
 
Imamkamata Rugemarila na Seth, lakini waliowapa hizo hela unawaacha. Kwa jamaaa waliiba hizo fedha? Waliotia sahihi no kufanya transfer ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa tumeibiwa sana tena sana na tunazidi kuibiwa! Bahati mbaya sana tulipoteza pambano na hata sasa tumepoteza tena... Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…