Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,165
Tatizo la kilevi badala ya kushirikiana na wasomi wa nchi hii anataka ajionyeshe yupo juu yao anakaa kuwaendesha aonyeshe bosi nani, anataka total obedience na kusema ndiyo mzee wa kila jambo.
Kama mtu mwenye Phd ni aibu kuwa na mawazo ya namna hii inaonyesha wazi kua hafanyi kwa ajili ya watu, anafanya kwa ajili yake au kujionyesha kwa watu.
Msomi yoyote anatakiwa awe free, free kusema chochote, free kupinga na kubring up discussions ambazo mwisho wa siku mtafikia conclusion ya maana, ila kilevi yeye anataka alichosema ndicho final, ukibisha unapimwa mkojo.
Najua wanachukulia mfano wa china, ila kama watu wazima na akili zao ilitakiwa wajue kua china iko pale sio kwa sababu ya stupid obedience ni sababu wana watu 1.3 billion. Kutumia sera za china kwetu unaanza kubana internet, kubana watu kuongea hatuwezi kufika popote. Sisi ilifaa tuige Japan au Souh Korea.
Watu wengi wanachukia marekani nje nje ila moyoni wanapenda kuishipo. Ile ndiyo the mother of the free world, uhuru kwanza kabla ya kitu kingine na ndiyo moja ya kitu kinaifanya nchi ile iwe untouchable na almost kila mtu ana hamu napo. Sasa hivi Tanzania hata investors wanaikimbia maana hawajui akili ya kilevi akiamka vibaya unasikia funga biashara na usiulize maswali. Wtf
Tokea aingie hao wezi anaowaita amekaa kukamata wasomi na matajiri wa nchi hii tu, alafu wanaishia kuachiwa kwa kutokupatikana na hatia, inaonyesha wazi nia ilikua kuwaweka mahabusu tu kuwakomoa. Mwisho wa siku mahabusu kunakera na kuwekwa mule wiki nzima si mchezo. Anajua hilo ndiyo maana anawachezesha sinema, anajua wazi mahakamani hamna kesi. Wazee wa zamani ovyo sana.