Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikuuliza maonesho ya kilimo ya nanenane kwenye kanda yako ulihudhuria? Au unataka fursa zikufuate?Hilo pori utaliokota tu mkuu limezagaa hapo halina mwenyewe ?
Tafuta pori ulime matikiti acha kulialia kama mtoto wa kike, ulishapeleka mazao sokoni yakakosa mnunuzi?
Endelea kupiga domo wenzako wanakuacha.
Naskia kikwete ana mpango wa kugombea 2025...kinyume cha katiba lakni...sjui watanzania mtamkubalia? Mana huko upinzani ndo giza kabisaaa
Sasa na wewe pambana nao tuone nani anaumia,Mkuu kwani hayo mapori viongozi hawayaoni? Mbona wao wanang'ang'ania ofisini wakati wana mitaji? Kama mapori ni mali usingeona wakilazimisha watoto wao na ndugu zao kupatiwa kazi maofisini.
Mimi niko Dar, haya sema hayo maonesho yamefanyikia wapi. Na useme ni wapi huko wanagawa mashamba ili hata sisi vijana wa GRADE A twende huko tukalime msimu ukifikaNikikuuliza maonesho ya kilimo ya nanenane kwenye kanda yako ulihudhuria? Au unataka fursa zikufuate?
Magufuli anataifisha mashamba kila uchwao wapewe walalahoi walime lakini nyinyi ndio vinara wa kumpinga katika jitihada zake za kuwakomboa walalahoi.
Halafu kuna watu wakiona pori wanafikiri halina mwenyewe wakati wenyewe ndio hawa kina SUMAYE na wengineyo tena unakuta washakula MKOPO wa MILIONI kwenye MABENKIMkuu kwani hayo mapori viongozi hawayaoni? Mbona wao wanang'ang'ania ofisini wakati wana mitaji? Kama mapori ni mali usingeona wakilazimisha watoto wao na ndugu zao kupatiwa kazi maofisini.
Maonesho kanda hiyo yalifanyikia Morogoro nauli kwenda na kurudi time yoyote isingekugharimu zaidi ya elfu 10, nenda mkuranga mashamba mpaka elfu 20 unapata, vijana wengi wapo huko watapiga pesa kimya kimya mmebakia tu wa spoonfeeding mitandaoni.Mimi niko Dar, haya sema hayo maonesho yamefanyikia wapi. Na useme ni wapi huko wanagawa mashamba ili hata sisi vijana wa GRADE A twende huko tukalime msimu ukifika
Kama maisha yanatakiwa kuendelea unahangaika na Magufuli ili iweje?Maisha lazima yaendelee, kuanza kumfikiria Kikwete ni matumizi mabaya ya ubongo
Muhindi anaona fursa akiwa na pesa ya kutosha ama wenzake wenye uwezo wa kumnyanyua pale alipo. Watanzania wangapi wana uwezo ama spirit ya namna hio? Zaidi ya kuchekelea mtu anapofeli maisha au kurudishwa nyuma!?Watanzania ni hopeless kabisa jana nimeshangaa kuona wahindi wamekamatwa Mwanza kwa kujiunganishia maji kinyume cha utaratibu kwenye shamba lao eka tano la vitunguu ilemela lakini wapo mamburura ya kitanzania kucha kutwa kupiga domo mitandaoni hali mbaya,
ila muhindi anasafiri mamilioni ya kilometers anaona fursa na anaichangamkia wewe mzawa unatoa povu daily kwa vitu vya kipumbavu.
Hakuna kipengere kwenye katiba kinachomzuia Rais ambae alimaliza muda wake katika uongozi kupitia chama X ,then baadae akahama iko chama akaenda chama Y na kugombea urais katiba haizuii ilo nadhani,,,Kikatiba Haiwezekani Hata akianzisha chama chake ama kujiunga upinzani Labada Tufuate Katiba ya Inchi ya Urusi
Mkuranga nauli 10,000 lets assume usile, kukodi shamba 50,000 kulima 50,000, lets assume unapalilia mwenyewe. Mbegu 60,000, mpaka hapo tunaelekea LAKI 3Maonesho kanda hiyo yalifanyikia Morogoro nauli kwenda na kurudi time yoyote isingekugharimu zaidi ya elfu 10, nenda mkuranga mashamba mpaka elfu 20 unapata, vijana wengi wapo huko watapiga pesa kimya kimya mmebakia tu wa spoonfeeding mitandaoni.
Hao wahindi kwa kuwatazama tu walikua ni walalahoi kama walalahoi wengine, mtu anayeiba maji kwa kujiunganishia kiuwizi huwezi kusema ana mtaji wa maana kwanza heka zenyewe ni tano tu.Muhindi anaona fursa akiwa na pesa ya kutosha ama wenzake wenye uwezo wa kumnyanyua pale alipo. Watanzania wangapi wana uwezo ama spirit ya namna hio? Zaidi ya kuchekelea mtu anapofeli maisha au kurudishwa nyuma!?
Tatizo la wabongo ni kulazimisha kujibu maada ambazo hata hamjazielewaKama maisha yanatakiwa kuendelea unahangaika na Magufuli ili iweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia kikwete ana mpango wa kugombea 2025...kinyume cha katiba lakni...sjui watanzania mtamkubalia? Mana huko upinzani ndo giza kabisaaa
Kuna vijana wameanza na utayari tu lakini saizi wapo mbali huko mkuranga, jifunzeni kwa hawa vijana Agribusiness (@jifunze_kilimo_na_ufugaji) • Instagram photos and videosMkuranga nauli 10,000 lets assume usile, kukodi shamba 50,000 kulima 50,000, lets assume unapalilia mwenyewe. Mbegu 60,000, mpaka hapo tunaelekea LAKI 3
- Sasa chukua maelezo yako, yaweke kwa mtu ambaye ni FRESH FROM SCHOOL aliyesoma kwa kuunga unga na ambaye mpaka sasa CHUO KINAMDAI anaanzaje wakati hata kula kwake majanga.
- Hamjayajua maisha nyie ?
Acha waendelee kulala chief...Baadhi ya watanzania ni hopeless kabisa jana nimeshangaa kuona wahindi wamekamatwa Mwanza kwa kujiunganishia maji kinyume cha utaratibu kwenye shamba lao eka tano la vitunguu ilemela lakini wapo mamburura ya kitanzania kucha kutwa kupiga domo mitandaoni hali mbaya,
ila muhindi anasafiri mamilioni ya kilometers anaona fursa na anaichangamkia wewe mzawa unatoa povu daily kwa vitu vya kipumbavu.
Hao wameanza na nauli tu ya kwenda Mkuranga ?Kuna vijana wameanza na utayari tu lakini saizi wapo mbali huko mkuranga, jifunzeni kwa hawa vijana Agribusiness (@jifunze_kilimo_na_ufugaji) • Instagram photos and videos
Elimu Biashara (@elimu_biashara) • Instagram photos and videos
Sasa na wewe pambana nao tuone nani anaumia,
Magufuli anawanyang'anya mashamba masikini au hao matajiri wanayoyakopea pesa bank?