Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Powa, hujambo?Becky mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Powa, hujambo?Becky mambo
Ongezea na hii kiongozi: Viongozi wote wa taasisi za umma na wafanyakazi marufuku kusomesha watoto ktk shule binafsi au nje ya nchi,wote kusoma shule za uma!Ningekua mimi ndiye Magufuli nisingejificha under the umbrella of democracy, rather ningeigeuza TZ kua full dictatorship country. Ningefanya yafuatayo.
1) Ukiwa hutaki kazi unazurura mjini utapata adhabu kali na tutakufanyisha kwa lazima ktk Jela zetu special za wasiopenda kazi., Wakijumuishwa wapiga debe wote kwenye vituo va usafiri
2) Offisi zote serikalini na private hakuna kufanya kazi chini ya saa 24 ni shift tu ndo zinapishana
3) Wanafunzi graduates nisipokuajiri hakikisha umejiajiri ndani ya mwaka baada ya kumaliza na ntawafuatilia closely vinginevyo ukazalishe kwenye jela zetu.
4) Ningeunda special team kama TISS ya taifa for bussiness intelligence worldwide.
5) Ningeunda training Camps za lazima kwa wasiopitia education systerm ya kizungu.
6) Vyuo vyote TZ vingeendeshwa na wafanya biashara for a special contract
7) Hakuna kusoma chuo kikuu kama wewe sio special genius unaeweza kugundua vitu vipya.
8) Nisingesubiri waninyime misaada ningeikataa mwenyewe.
9) Resources zote nchini zingechimbwa na wazawa.
10) Ningefuta vyama yote vya upinzani na wapinzani wote nawafanya kua washauri kwa lazima, hutaki kimbia nchi.
11) Askari yeyote atakaye kamata madawa ya kulevya aue pale pale sitaki mahakama zifurike makesi ya madawa wakati risasi tunazo zimejaa.
12 ) Recruits wote wa jeshi lazima wawe either graduates or special talented individuals.
13 Ningezima mitandao yote ya kijamii including Jf, Ningetengeneza Mitandao yetu wenyewe mipya for buziness enhancement only, no chatting
14) Ningeuwa mashoga wote nchini.
15 ) Wanafunzi wote watakaopata mimba wanaenda kuzalia Jela.
16) Ningetunga sheria kali za mafisadi, Ukigundulika wewe ni fisadi ni kifo tu hadi kwa vizazi vyako.
17) Malaya wote wakusanywe ktk kambi maalumu kwa counselling na training ya miezi miwili baada ya hapo waanze uzalishaji wakiwa humohumo.
18)Hakuna Baa wala groceries zinazotakiwa kuonekana ktika nchi ya TZ kwanzia asbh hadi saa 12 jioni. viwanda vya pombe havitafungwa.
19) Ukigundulika umeitelekeza familia utapokea baraka ya adhali kali.
20) Kila mkoa ungejitegemea kiraslimali na yote kila mwezi ingeichangia serikali kuu kwa mapato, mkoa utakaoshindwa kujiendesha ungeachwa watu wake wafe kwa njaa, na hakuna mtu angetakiwa atoke ndani ya mkoa kukimbia makali ya maisha. ( Strickly forbiden movement from bush to town unless it's for business purposes).
Crazy ones are the ones who shape the World, Who make the World move forward. Mngenikoma for sure, Mngeniombea Kifo na nisingekufa.
Wewe Je ungekua magufuli ungefanya nini?
Lijikidevu lingekuangusha na komwe lingekushinda kutembeaNingekua mimi ndiye Magufuli nisingejificha under the umbrella of democracy, rather ningeigeuza TZ kua full dictatorship country. Ningefanya yafuatayo.

Anza kupractice hiyo kitu kwenye familia yako, wewe si kiongozi wa familia yako. Ukiweza tutakupa urais. Mfanye kazi za hapo kwenu 24 hrs na mengine uliowekaNikipata hiyo nafasi naanza na watu kama nyie mnaonipinga
Sijambo kuliko wewe, mimi hofu yangu kama usalama.... Maana uko mbali na uoni wa mboni zangu.Powa, hujambo?
Ni kweli kabisa tumeibiwa sana tena sana na tunazidi kuibiwa! Bahati mbaya sana tulipoteza pambano na hata sasa tumepoteza tena... Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa majiImekuwa ni wimbo sasa kwa mkuu wa nchi kulia lia kila siku kuwa tumeibiwa sana nchi hii.
Mkuu ambaye ndiye mwenyekiti wa chama kilichoitawala hii nchi kwa miongo kadhaa, anayasema maneno kumtafuta mchawi wakati mchawi huyo hapo huyo kadondoka uchi hadharani katikati ya barabara.
Yaani hii idea ya mkuu Kutengeneza mazingira ya kumlaumu 3rd part ambaye ni imaginary, aache.
Nyimbo ipo moja tu sasa, pambana na hali yako.. Nayeye basi kama anaona tumeibiwa sana, basi apambane na nchi yake.