Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tatizo la kilevi badala ya kushirikiana na wasomi wa nchi hii anataka ajionyeshe yupo juu yao anakaa kuwaendesha aonyeshe bosi nani, anataka total obedience na kusema ndiyo mzee wa kila jambo.

Kama mtu mwenye Phd ni aibu kuwa na mawazo ya namna hii inaonyesha wazi kua hafanyi kwa ajili ya watu, anafanya kwa ajili yake au kujionyesha kwa watu.

Msomi yoyote anatakiwa awe free, free kusema chochote, free kupinga na kubring up discussions ambazo mwisho wa siku mtafikia conclusion ya maana, ila kilevi yeye anataka alichosema ndicho final, ukibisha unapimwa mkojo.

Najua wanachukulia mfano wa china, ila kama watu wazima na akili zao ilitakiwa wajue kua china iko pale sio kwa sababu ya stupid obedience ni sababu wana watu 1.3 billion. Kutumia sera za china kwetu unaanza kubana internet, kubana watu kuongea hatuwezi kufika popote. Sisi ilifaa tuige Japan au Souh Korea.

Watu wengi wanachukia marekani nje nje ila moyoni wanapenda kuishipo. Ile ndiyo the mother of the free world, uhuru kwanza kabla ya kitu kingine na ndiyo moja ya kitu kinaifanya nchi ile iwe untouchable na almost kila mtu ana hamu napo. Sasa hivi Tanzania hata investors wanaikimbia maana hawajui akili ya kilevi akiamka vibaya unasikia funga biashara na usiulize maswali. Wtf

Tokea aingie hao wezi anaowaita amekaa kukamata wasomi na matajiri wa nchi hii tu, alafu wanaishia kuachiwa kwa kutokupatikana na hatia, inaonyesha wazi nia ilikua kuwaweka mahabusu tu kuwakomoa. Mwisho wa siku mahabusu kunakera na kuwekwa mule wiki nzima si mchezo. Anajua hilo ndiyo maana anawachezesha sinema, anajua wazi mahakamani hamna kesi. Wazee wa zamani ovyo sana.
 
Mimi nikifikiria ile meli ya samaki nyumba za serekali kivuko kibovu Escrow na meremeta ni kweli tumeibiwa sana
Natumaini mtukufu Rais atawamaliza majizi wote
 
Makomando bwana ! Utawajua tu baada ya poda watafyatuka tu , mkapime kojo mnalalama komando gani hataki kukojoa mpk uletewe chombo ndani
 
Watanzania wenzangu hatuna budi kusema ukweli kwamba hizi hatua zinachukuliwa na serikali zidi yetu wananchi mimi naona kama imefikia pabaya zaid maana tangu kuingia kwa mheshimiwa madarakani tunajionea jinsi hatua mbalimbali zinachukuliwa bila hata kufuata utaratibu naomba niseme machache kati ya mengi yanayoendelea.

Tumejionea wenyewe ma RC na ma DC jinsi wanavyotumia mamlaka zao kuwaweka ndani saa 48 kwa sababu zisizo na kichwa wala mkia, tumeona kwa mfano sisi wafanyabiashara tunavyopandishiwa kodi kila kukicha wakati wanunuzi wa bidhaa yenyewe kwa sasa wamepunguwa kwa zaid ya 50% tukiangalia kwenye demokrasia ni km vile serikali inapambana kuhakikisha kusiwepo kwa kitu kinachoitwa vyama vingi, sasa hv kila kiwanda/kampuni mahotel nk.

Wamepunguza wafanyakazi kila uchao, sera ya kiongozi ni ndege, barabara na reli naona km vile ndo vipaumbele vyake zaid kila tukiamka utasikia tabora wamevunjiwa nyumba bila malipo kupisha ujenz wa treni, mara oooh kimara sijui kiluvya wamevunjiwa kupisha ujenzi wa barabara.

Daaah yaan ni mchakachaka wa kurudishwa nyuma kimaendeleo hebu nielimisheni nielewe ni wapi taifa linapoelekea??
 

Attachments

Actually our country is heading to hell.... We are by the gate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Magufuli sijawahi kumkubali wala kumpenda tangu anasoma Seminari katoke ni ntu wa ovyo sana wala sio mtetezi wa wanyonge kama anavyowadangnya wajinga wajinga ila ni mkandamizaji wa wanyonge[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Huyu Magufuli sijawahi kumkubali wala kumpenda tangu anasoma Seminari katoke ni ntu wa ovyo sana wala sio mtetezi wa wanyonge kama anavyowadangnya wajinga wajinga ila ni mkandamizaji wa wanyonge[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Kama umesoma nae na mpaka Leo unajiita Sigara kali, dah ni sheedah
 
Mlipoambiwa navmanabii mlileta dharau mkajifanya mna mambo yenu!
Yako wapi hayo mambo yenu mbona leo mnalialia tu, si myatumie sasa,
Mmetuingiza humo ni nyinyi wenyewe, tuanze kuwalaumu nyie,
 
Huyu Magufuli sijawahi kumkubali wala kumpenda tangu anasoma Seminari katoke ni ntu wa ovyo sana wala sio mtetezi wa wanyonge kama anavyowadangnya wajinga wajinga ila ni mkandamizaji wa wanyonge[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mimi tangu alipowaambia watu wa kivukoni asie kuwa na mia 200 ya phanton apige mbizi.mpaka kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…