Haja gani mkuuu,,,,mim siogopi dhahir xmpndi huyu magufuli mana anajiona yeye mung sasa nautawalaa wakeUsiogope kupimwa haja ndogo tamka wazi wazi mkuu
Maisha lazima yaendelee, kuanza kumfikiria Kikwete ni matumizi mabaya ya ubongoNaskia kikwete ana mpango wa kugombea 2025...kinyume cha katiba lakni...sjui watanzania mtamkubalia? Mana huko upinzani ndo giza kabisaaa

Hilo pori utaliokota tu mkuu limezagaa hapo halina mwenyewe ?Tafuta pori ulime matikiti acha kulialia kama mtoto wa kike, ulishapeleka mazao sokoni yakakosa mnunuzi?
Endelea kupiga domo wenzako wanakuacha.
Hiyo DEAL Iko wapi ?nchi iko imara na nyie wapiga dili tumewabana mbavu mnatapatapa
Kikatiba Haiwezekani Hata akianzisha chama chake ama kujiunga upinzani Labada Tufuate Katiba ya Inchi ya UrusiNaskia kikwete ana mpango wa kugombea 2025...kinyume cha katiba lakni...sjui watanzania mtamkubalia? Mana huko upinzani ndo giza kabisaaa
Sasa kama maisha lazima yaendelee unataka mwokozi wa kuiokoa tz wa nin sasa...swali lako halina maanaMaisha lazima yaendelee, kuanza kumfikiria Kikwete ni matumizi mabaya ya ubongo