Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Dhamira yake ni kukukomboa wewe mwananchi na Kula keki ya taifa.

Anatukomboa kwa mikakati ipi?

1. Kukamata wakosoaji

2. Kuzima bunge

3. Kufukuza kazi wenye vyeti feki kibaguzi Bashite..?

4. Kufunga kamba bunge nakuliongoza atakako yeye

5. Kuimeza mahakama nayeye ndo kuwa jaji

6. Kuzuia na kutisha wanahabari?

7. Kukamata yeyote mwenye mawazo kinzani

8. Ambaye anahubiri viwanda lakini.....havionekani

.?
 
G hawa MACCM kweli unategemea waweze kuuliza maswali kama hayo wakati wako pale kupiga makofi kwa kila uongo wa mpiga madili!?

Wanampongeza sana na wako nyuma yake kuhakikisha kwamba Tanzania unapita hatua kubwa kwenye maendeleo.

Nilitegemea wamuulize kuhusu uchumi wa nchi kushuka licha ya kuongezeka kwa kiwango cha ukusanyaji kipato

Nikategemea wamuulize kuhusu ajira kwan kuna graduates wa miaka 2+ wako mtaani hawana kazi na waliopo wanasimamishwa kazi.

Nilitegemea wamuulize wazir wa kazi na maendeleo ya vijana amerasimisha kazi Gani na mianya ipi mipy ya kazi ambayo imetengenezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake

Kauli/matendo hayo ni kama:

1.Kusema bwana "Chacha" anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya

2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa

3.Mahakama kwake si chochote

4.Mjengoni kapadhibiti.

5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba

6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k

Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?

Niseme tu,tukio hili la leo la nchi jirani limewashusha sana thamani yeye na chama chake.

Leo hii nchi jirani imewaonyesha kwa vitendo kuwa wanapaswa kuadilika.
 
1.Kusema bwana Chacha anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya

2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa

3.Mahakama kwake si chochote

4.Mjengoni kapadhibiti.

5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba

6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k

Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?

Mkuu leo siyo siku nzuri kwa ikulu zote Afrika ambako waheshimiwa wao wamewekeza katika udikteta na udikteta uchwara ikulu ya magogoni ikiwemo.
 
Nasikia kuna mmoja ameshaenda kenya kumfutafuta uhuru akihisi ule weusi wake ni kiwi tu amepakwa..

Wameweka kikao kuhoji uafrika wake😀😀😀
 
Yaaaaaani,,,,,huyu njisi alivyo,,siamini kama anafikilia chochote....kesho hats kesho atoke Na matamuko mengine.
 
Mkuu leo siyo siku nzuri kwa ikulu zote Afrika ambako waheshimiwa wao wamewekeza katika udikteta na udikteta uchwara ikulu ya magogoni ikiwemo.

Swali tu je angeshinda Uhuru. Moja. Je what about the end ,is the end that justifies the means. You are so stupid that even a mosquito will never squeeze any blood out of you. When has The Court not been fair according to you. Where is Lissu. Where is Mzee Wassira .before you fart think
 
Akitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake

Kauli/matendo hayo ni kama:

1.Kusema bwana "Chacha" anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya

2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa

3.Mahakama kwake si chochote

4.Mjengoni kapadhibiti.

5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba

6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k

Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?

Niseme tu,tukio hili la leo la nchi jirani limewashusha sana thamani yeye na chama chake.

Leo hii nchi jirani imewaonyesha kwa vitendo kuwa wanapaswa kuadilika.
image.jpeg

Gundu.
 
Halafu maandamano kila mahali . Hakuna bomu hata la amaji. Huku mkikaa wawili utasikia intelijensia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru Kenyatta naye amekuwa kama Lofa vile. Kwa jinsi Trump alivykibuka mshindi kwa mbeleko ya Urusi, ingekuwa mpaka sasa si Rais wa Marekani.
 
Akitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake

Kauli/matendo hayo ni kama:

1.Kusema bwana "Chacha" anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya

2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa

3.Mahakama kwake si chochote

4.Mjengoni kapadhibiti.

5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba

6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k

Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?

Niseme tu,tukio hili la leo la nchi jirani limewashusha sana thamani yeye na chama chake.

Leo hii nchi jirani imewaonyesha kwa vitendo kuwa wanapaswa kuadilika.
Kichaa tangu lini akajijua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom