Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania tunajenga kwanza uchumi wetu. Tukifika maendeleo kama ya Kenya tutaruhusu maandamano. Ila kwa sasa hapanaHalafu maandamano kila mahali . Hakuna bomu hata la amaji. Huku mkikaa wawili utasikia intelijensia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini sasa aliiba kura?Uhuru kawashangaza watawala wa Afrika leo sipati picha walivyomshangaa ila najua tuzo ya Mo Ibrahimu inamsubiri na tuzo nyingi za demokrasia dunia hongera uhuru Wakenya wana imani na wewe naamini utakula kiapo tena
Chadomo si mlikuwa kwa Uhuru baada ya kushindwa mahakamani mmemkimbia tena?Akitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake
Kauli/matendo hayo ni kama:
1.Kusema bwana "Chacha" anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya
2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa
3.Mahakama kwake si chochote
4.Mjengoni kapadhibiti.
5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba
6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k
Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?
Niseme tu,tukio hili la leo la nchi jirani limewashusha sana thamani yeye na chama chake.
Leo hii nchi jirani imewaonyesha kwa vitendo kuwa wanapaswa kuadilika.
Hapo cha ajabu ni nini?Wananchi sio ndio wenye maamuzo?!Mmekosa hoja mnaleta vioja.
Yaani mawazo yako ndio unampandikizia rais. Viwanda vya majunguAkitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake
Kauli/matendo hayo ni kama:
1.Kusema bwana "Chacha" anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya
2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa
3.Mahakama kwake si chochote
4.Mjengoni kapadhibiti.
5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba
6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k
Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?
Niseme tu,tukio hili la leo la nchi jirani limewashusha sana thamani yeye na chama chake.
Leo hii nchi jirani imewaonyesha kwa vitendo kuwa wanapaswa kuadilika.
Bavicha leo wanatapatapa kama wafa maji.Chadomo si mlikuwa kwa Uhuru baada ya kushindwa mahakamani mmemkimbia tena?
Swali tu je angeshinda Uhuru. Moja. Je what about the end ,is the end that justifies the means. You are so stupid that even a mosquito will never squeeze any blood out of you. When has The Court not been fair according to you. Where is Lissu. Where is Mzee Wassira .before you fart think
Mshauri asiende tena ktk kampeni za uhuru, anaweka gundu!Hapo cha ajabu ni nini?Wananchi sio ndio wenye maamuzo?!Mmekosa hoja mnaleta vioja.