Dhamira yake ni kukukomboa wewe mwananchi na Kula keki ya taifa.
Kwahiyo we unatakaje labdaMaana hata yeye ni fisadi
Wanampongeza sana na wako nyuma yake kuhakikisha kwamba Tanzania unapita hatua kubwa kwenye maendeleo.
Nilitegemea wamuulize kuhusu uchumi wa nchi kushuka licha ya kuongezeka kwa kiwango cha ukusanyaji kipato
Nikategemea wamuulize kuhusu ajira kwan kuna graduates wa miaka 2+ wako mtaani hawana kazi na waliopo wanasimamishwa kazi.
Nilitegemea wamuulize wazir wa kazi na maendeleo ya vijana amerasimisha kazi Gani na mianya ipi mipy ya kazi ambayo imetengenezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Akitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake
Kauli/matendo hayo ni kama:
1.Kusema bwana Chacha anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya
2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa
3.Mahakama kwake si chochote
4.Mjengoni kapadhibiti.
5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba
6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k
Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?
Nasikia kuna mmoja ameshaenda kenya kumfutafuta uhuru akihisi ule weusi wake ni kiwi tu amepakwa..Mkuu leo siyo siku nzuri kwa ikulu zote Afrika ambako waheshimiwa wao wamewekeza katika udikteta na udikteta uchwara ikulu ya magogoni ikiwemo.
Mkuu leo siyo siku nzuri kwa ikulu zote Afrika ambako waheshimiwa wao wamewekeza katika udikteta na udikteta uchwara ikulu ya magogoni ikiwemo.
Akitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake
Kauli/matendo hayo ni kama:
1.Kusema bwana "Chacha" anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya
2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa
3.Mahakama kwake si chochote
4.Mjengoni kapadhibiti.
5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba
6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k
Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?
Niseme tu,tukio hili la leo la nchi jirani limewashusha sana thamani yeye na chama chake.
Leo hii nchi jirani imewaonyesha kwa vitendo kuwa wanapaswa kuadilika.
Halafu maandamano kila mahali . Hakuna bomu hata la amaji. Huku mkikaa wawili utasikia intelijensiaAkitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake
Kauli/matendo hayo ni kama:
1.Kusema bwana "Chacha" anastahili kupewa tuzo kwa ile kazi aliyoifanya
2.Katiba Mpya kwake si kipaumbele kwa sasa
3.Mahakama kwake si chochote
4.Mjengoni kapadhibiti.
5.Mhimili mmoja mpaka sasa kaucha hauna baba
6.Baadhi ya kauli zake sasa ndio sheria,n.k
Sasa najiuluza kwa yaliyotokea nchi jirani na reaction ya watu katika kufanya mlinganisho wa mambo leo hii mzee huyu ana amani kweli moyoni?Hajisikii taabu?Hajisikii vibaya?
Niseme tu,tukio hili la leo la nchi jirani limewashusha sana thamani yeye na chama chake.
Leo hii nchi jirani imewaonyesha kwa vitendo kuwa wanapaswa kuadilika.
Kichaa tangu lini akajijuaAkitafakari yaliyotokea nchi jirani atakuwa anaji-feel guilty kila akikumbuka matendo na kauli zake