Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Uhuru kawashangaza watawala wa Afrika leo sipati picha walivyomshangaa ila najua tuzo ya Mo Ibrahimu inamsubiri na tuzo nyingi za demokrasia dunia hongera uhuru Wakenya wana imani na wewe naamini utakula kiapo tena
 
Uhuru kawashangaza watawala wa Afrika leo sipati picha walivyomshangaa ila najua tuzo ya Mo Ibrahimu inamsubiri na tuzo nyingi za demokrasia dunia hongera uhuru Wakenya wana imani na wewe naamini utakula kiapo tena
Kwa nini sasa aliiba kura?
 
Joseverest is back......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Chadomo si mlikuwa kwa Uhuru baada ya kushindwa mahakamani mmemkimbia tena?
 
Yaani mawazo yako ndio unampandikizia rais. Viwanda vya majungu
 
Nahofia Uhuru atakuwa sio mwafrika ila amevishwa weusi tu, koz wakina Magufuli, mgabe, Paul kagame, kabila, n. K wanamshangaa Uhuru ni rais waafrika Au ameletwa!?!? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Upuuzi unapoandika kwa kiingereza uchwara.
 
Kenya imeandika historia Mpya ya ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia. Viva Kenya.
 
Hapo cha ajabu ni nini?Wananchi sio ndio wenye maamuzo?!Mmekosa hoja mnaleta vioja.
Mshauri asiende tena ktk kampeni za uhuru, anaweka gundu!
Ni kama Mumgu kasema huyu jamaa ktk siasa akigusa tu napiga bakora, haijalishi ndani au nje.
 

Walisema waungwana "never argue with a fool ...". Bakia hivyo hivyo.
 
Naam,

Tufanye as per the title.

Binafsi mimi sipendelei kabisa utendaji wa serikali hii ya awamu ya Tano. Kuna baadhi ya vipengele vimefanywa vizuri ila kwa kiasi kikubwa, serikali hii has got a lot of fundamental mistakes.

Suala la kuzuiwa kwa ajira mpya, kutopandishwa mishahara, bomoa bomoa, kubwakwa demokrasia nk. Ni mambo yanayonikereketa mnoooo

Good luck.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…