Jorochere
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 994
- 670
Mficha uchi hazai ! Tusipo sema jahazi litazama halaf wote tutapoteza maisha....!wewe ni mmoja wa mliokuwa mnafaidi peke yenu ndio maana sasa unatukana ovyo
je ni nchi gani rais anaweza tukanwa kama wewe ulivyofanya na si wewe tu wooote mnaolia udikteta na wale tu miozowea ma deal na si vinginevyo.
hivi kukamata wezi wa mali ya umma ,mishahara hewa ,wafanyakazi hewa na wizi kila sekta ya umma ikiwemo bandari ya dsm ni udikteta?
mbona hao wanaimba demokrasia huko nje ndio hao hao wanaomiminika hapo magogoni kila uchao?
nyinyi na genge lenu sasa hivi deal zimekosa mnalazimisha kuwa makuwadi wa makinikia na wale wadai wanaotudai fedha kwa kazi zisizokidhi viwango?
shame on all the snitchs
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app