Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Msamehee. Anapitia kipind kigumu sana hivi sasa ukizingatia hata ile mission impossible ya hivi karibuni.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamua kupambana nayo lakini matusi hayafaiPambana na hali yako wengine mambo mtelemko tu! Balimi ndogo sh.1500/=
Watanzania gani ?
Hiyo 4000 inatoka wapi ?Na nyama ni 4000 kutoka 9000
SA ?Unachotakiwa kujua mtoa mada Tanzania sio mama yako njooo bondeni tufanye maishaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakamua mpaka ng'ombe aliekonda, ng'ombe kaamua kukaa kimya bado haridhiki anamrushia bakora na vijembe, why ?Msamehee. Anapitia kipind kigumu sana hivi sasa ukizingatia hata ile mission impossible ya hivi karibuni.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Tumepoteza
Pole MkuuMi natembea na panadol zangu mfukoni akiongea tu nameza
Kazi gani mkuu ?Fanya Kazi Acha Majungu, Ukizeeka kwa hii tabia yako Lazima uwe mchawi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
- Umefanya maisha yamekuwa magumu kupindukia
- Watanzania wameamua tu kukaa kimya na kupambana tu na maisha yao
- Umewakaba kila kona hawapumui bado huridhiki, ukiongea tu inabidi mtu atafute panadol ameze
- Tushakubali kwamba tumepoteza, tunavumilia tunajua yatapita lakini bado huridhiki unawarushia vijembe kwanini lakini ?
............
........
- Wamewekewa mchakato mzito na wa gharama kubwa kupata mikopo ya elimu ya juu. Wametulia
- Waliohitimu vyuo umezuia wasipate kazi, Wametulia
- Wakulima wa mbaazi wanatafuta mnunuzi hata wa kg 1 kwa Tsh 200 hawapati, wametulia
- Wafanyabiashara wanapelekewa mikodi ya ajabu, wengine wanafungwa. Wametulia
- Machinga wanapigwa na polisi. Wametulia
- Watumishi wanajuta na kuminywa haki zao. Wanasoma tu magazetini kuna watu WANALIPANA POSHO LAKI 4 PER DAY. Wametulia
- Watu wamezuiwa kusafiri kwa amri yako. Hela zote za MAKUSANYO, WATUMISHI HEWA, Unagawa kama njugu kwa uwatako. Tumetulia
- Unapiga wapinzani. Tumetulia
- TUNAHANGAIKA. Tafadhali heshimu hisia zao,
Sema chadema wanaishi kama shetani,- Umefanya maisha yamekuwa magumu kupindukia

Nmekuelewa sana mkuuMsamehee. Anapitia kipind kigumu sana hivi sasa ukizingatia hata ile mission impossible ya hivi karibuni.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.