Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Sisi kule kwetu huwa tuna amini kuwa mtu yoyote mwenye laana huwa a naanza hivyo
Hasa kama mtu damu ya mtu inapomlilia Mara Nyingi huwa anaongea vitu ambavyo mara Nyingi huwafanya watu kushangaa
Matusi, kupiga watu, kuwa na matumizi ya ajabu, kukosa utanashati, na mengine mengi hapo huwa anaangaliwa kwa jicho LA umakini kwani huwa ni njia ya kuendea ukichaa kamili
 
mi nilikua na kibiashara kangu masharti yamekua mengi mpaka nikaona isiwe tatizo nikahairisha we acha tu.
 
No tangu huyu bwana ameingia mjengoni nimeona sanaa, vitisho, majigambo, sifa za kijinga, watu wasiojulikana, mahakama ya mafisadi kukosa kesi na watumishi kufukuzwa fukuzwa...

Hebu tuambie wewe umeona nini na unajivunia nini Kwa utawala huu???
 
Watu wamevunjiwa nyumba kwa "amri kutoka juu" licha ya kuwa na amri za mahakama kuzuia uvunjaji huu!

Nyerere alisema kwamba, mkiruhusu kuongozwa na dikteta, mtaumia. Na yeye hata hatawahurumia, kwa sababu mtakuwa mmejitakia hilo.

Alisema ukigusa moto,utaungua, hii ni kanuni ya asili, si kanuni ya Nyerere.

Alisemahivyo, video zipo Youtube. Search "Nyerere katiba1" "Nyerere katiba2" na "Nyerere katiba3".

Alikuwa anaongelea viongozi wa nchi kuongoza kwa kuvunja katiba, alilaani sana hili Salmin Amour alipoiingiza Zanzibar OIC.

Yale maneno yake yana umuhimu sana kwa kipindi hiki cha Magufuli. Kwa sababu tunaona ujinga ule ule wa nchi kuendeshwa kwa kauli za mtu badala ya sheria na katiba.

Kwa hiyo na mimi narudia mule mule.

Shurutisheni viongozi waongoze kwa sheria na katiba, si kwa ubabe wao binafsi.

Mkishindwa hili, mkishangilia viongozi wanaovunja katiba, mkiishi kama mashetani ni stahili yenu.

Kwa sababu mmeshindwa kusimamia haki zenu za msingi za kikatiba.

Mmeamua kugusa moto, mkiungua msilalamike.
Tumeishi kwa kufuata sheria na katiba kwa tawala zilizopita.
Bado watu walifanya madudu tu
Acha atunyooshe wengi mmepinda, mmekula msichokifanyia kazi muda mrf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeishi kwa kufuata sheria na katiba kwa tawala zilizopita.
Bado watu walifanya madudu tu
Acha atunyooshe wengi mmepinda, mmekula msichokifanyia kazi muda mrf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utapigwa mpaka ulambe udongo halafu utakung'utwa mpaka minyoo utakayopata kwa kula udongo itozwe kodi.

Na bado utashabikia kupigwa huko.

Mimi simo huko, natafuta mansion langu la ku retire somewhere safe, jasho lakukimbizana na Magufuli ni la kifalsafa zaidi kwangu.

Schadenfreude is not a sane policy, if it is a policy at all.
 
Laiti ungejua hakuna mtu anayepitia maisha magumu kama mzee wa chato, usingemsema.

Tuipende nchi yetu Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom