Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
wewe ni mmoja wa mliokuwa mnafaidi peke yenu ndio maana sasa unatukana ovyo
je ni nchi gani rais anaweza tukanwa kama wewe ulivyofanya na si wewe tu wooote mnaolia udikteta na wale tu miozowea ma deal na si vinginevyo.
hivi kukamata wezi wa mali ya umma ,mishahara hewa ,wafanyakazi hewa na wizi kila sekta ya umma ikiwemo bandari ya dsm ni udikteta?

mbona hao wanaimba demokrasia huko nje ndio hao hao wanaomiminika hapo magogoni kila uchao?

nyinyi na genge lenu sasa hivi deal zimekosa mnalazimisha kuwa makuwadi wa makinikia na wale wadai wanaotudai fedha kwa kazi zisizokidhi viwango?

shame on all the snitchs

Sent using Jamii Forums mobile app
Mficha uchi hazai ! Tusipo sema jahazi litazama halaf wote tutapoteza maisha....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wetu kachelewa sana na bora arudi kua MTU kati ya watu....Ushauri wa Bure Madikteta wengi walianza harakati zao wakiwa vijana tena Jeshini sasa Huyu anacheza Kwaito kwa midundo ya Rege....Soon atachoka tu na Mwisho wake mbaya
baniani mbaya kiatu chake dawa baada ya hapo ni katiba mpya itakayoyalinda na kuyasimamia maadili mema ya uongozi kwa yeyote yule aingiaye madarakani.
so after all this itakuwa hamna deal tena na vijana hamtakimbilia siasa kwa uchu wa madaraka ili mpige deal ....okay?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyo anayelalamikiwa amejifunika kofia gani? umesoma thread? hivi uzalendo ni kuonea wapinzani? kwani wapinzani siyo watanzania? wewe ndio umejifunika kofia ya kichama
kwani upinzani ni kumtukana rais?

upinzani ni kuiombea serikali iliyoko madarakani ishindwe kupata au kufikia malengo yake?
je upinzani ni kuitisha maandamano kila uchao kuipinga serikali,tena muda mfupi tu baada ya uchaguzi mkuu "UKUTA"?

je upinzani ni kwenda bungeni kupinga kila hoja ya serikali bila kuwa na hoja mbadala yenye mashiko?

niseme ukweli tu kwamba ukiacha viongozi kadhaa wa upinzani kuielewa siasa kwa kuwa walilelewa ndani ya ccm hapo awali,kundi kubwa la wabunge wa upinzani wamekwenda bungeni kiharakati zaidi ya kisiasa na ndio maana tunaona wakitumia muda wao mwingi kutoka nje ya vikso vya bunge badala ya kuwa humo na kupingana kwa hoja,
tapatalk_1503250562147.jpeg

shame on all of you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maisha ni mazuri? kipato cha mtu wa chini kipoje? wanafunzi wanapata mikopo? dawa hospitalini zipo za kutosha? vipi kuhusu ongezeko la mishahara?

kama vyote hapo juu viko sawa, basi point zako zitakuwa za maana, ila kama zinayumba yumba basi point zako zitakuwa hazina maana.

mahaba mengine kwenye mambo ya msingi hayafai..............
ni lini hivyo unavisema viliwahi kuwepo au unakariri,
taja nchi moja Afrika ambayo hivyo vyote vipo?
kwa utitiri wa wizi ulivyokuwa unadhani JPM ni malaika wa kuvibafili kwa miaka miwili tu?
pia sisi raia tuna mchango gani katika kuhakikisha tunachangia pato la taifa?
mfano wafanyabiashara kukwepa mashine za efd?

wewe hujui kwamba hata U.S.A kuna ombaomba au homeless?

wewe unalialia hapa kwa kukosa deal.
watu tulioea kiishi mjini kwa udalali unadhani tutampenda JPM?

kama ndugu yangu katumbuliwa mishahara hewa inadhani atampenda JPM?
kama ndugu yangu alikuwa bandarini pale akipiga deal unadhani akitumbuliwa si siku ya pili anahamia chadema na aina hii ya watu ndio nyinyi mliojaa humu kwa maxence mello kutwa kucha kuifitinisha serikali nawananchi kwa kigezo cha demokrasia.

hivi kama hali ni mbaya kiasi unachokisema ni kipindi gani hali ya common mwananchi iliwahi kuthaminiwa kama hivi sasa?
je huko mitaani hakuna majengo yanayoezekwa mapya?
kampuni za mabasi hazinunuwi mabasi mapya?
watu binafsi hawanunuwi magari?
serkali hainunuwi ndege?
serkali haijengi standard gauge ya reli ya kati ambavyo hivyo vyote mnavipinga chadema.

na sasa ma fly over yanakuja dsm nyinyi mnafitinisha kwa kuinga upanuzi wa maeneo ya kupisha miradi yoote hiyo ikiwemo hata upanuzi wa mabarabara loooh?

shame on all of you wanademokrasia ambao nadiriki kuwaita uchwara

shame on all of you wanademokrasia ambao nadiriki kuwaita uchwaraView attachment 582371

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio unaishi kwa kukariri kuwa kila mtu anaelia ukata ni wale waliozoea kupiga deal..hapa ndipo napokuona mjinga...hivyo vyote unavyovisema sijui mishahara hewa, wafanyakazi hewa enzi za JK walikuwepo na life at least lilienda fresh, sasa awamu hii wameondolewa na life limezidi kuwa ovyo compared to the previous reign afu unakuja hapa unaleta shobo, sijui unalipwa shilingi ngapi na hao

Muda ni rafiki, 2020 mtakaporudi majukwaani mtatueleza kuwa mliondoa kila kitu hewa, ukusanyaji wa Kodi ukaongezeka alafu mkafanyaje? Maana kila siku naona kamata kamata na visasi visivyoisha lakini cha maana hakuna

Hivi hili gazeti ulilolileta hapa si ni Yale Yale ya kina Uhuru? Tena limeandikwa na mtu asiejielewa kama wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni USHAURI tu !

- Kama mjuavyo siasa tamu yake ni kuungwa mkono na watu wengi kadri uwezavyo. Nyote mnajua athari aliyoleta Lowassa baada ya kutumia muda mwingi kwenye baadhi ya makundi ya kijamii ( Makanisani, Misikitini, Kwa Machifu, Bodaboda, Mamantilie, Wanavyuo nk ) akiwapa fedha na kushiriki shughuli zao, na mpaka leo ni kama anaabudiwa fulani. Usiniulize kwanini Magufuli anatembelea makanisa na dini mbalimbali kwa sasa. Lengo langu ni kujaribu kuonesha makundi yaliyotelekezwa ambayo yanaweza kuwa mtaji mzuri kisiasa:
- Vijana wanaosulubika kwa kukosa ajira tangu 2015 !
- Kina mama walioahidiwa milioni 50 kwa kila kijiji!
- Wanavyuo wanaopata mikopo kwa tochi
- Wanafunzi waliowekewa mazingira magumu ya kutimiza ndoto zao
- Wakulima waliokoswa soko zuri la mazao yao
- Wananchi wanaobomolewa nyumba zao bila fidia
- Watu wanaohangaika na tatizo la maji
- Watumishi waliogeuzwa manamba kwa kunyimwa haki zao huku WATU WAO wakilipwa 400,000 kwa siku

WHY MMESHINDWA KABISA ?
 
kwa hiyo unashauri Lowasa aanze kugawa hela tena huko makanisani na misikitini siyo??? wazo zuri
 
Ianze kwanza kujiorganize yenyewe,halafu watu wameelimika siku hizi zile zama za mawe wamepita, I e wanajua hawawezi kuajiriwa wote,hawawezi kopeshwa wote,waliofoji vyeti wameachishwa kazi walijua hilo litatokea siku moja,million 50 kila kijiji ni wazo la kufikirika tu watu wanajua hakuna hela za bure.
Cdm ni chama cha siasa kama kingine chochote lazima wajaribu tu kuwa wakweli,suluhisho la kudumu la jamii yoyote hutokea kwa jamii yenyewe.

Mm nafikiri kuna haja ya kubadilika na kufuata sheria na so kuishi kwa mazoea vile vile vijana tunapaswa tujue si lazima uajiliwe bali unaweza kujiajili pia fursa ni nyingi sana.Na swala uwajibikaji wa serikali ktk kuongoza hili ni wazi kabisa serikali ina ongoza kwa kufuata sheria pasipo kumuonea mtu wa kumpendelea mtu kwa faida zake au kundi lake
 
Kama yote hayo hayawezekani nadhani hakuna maana ya kuwa na viongozi kwasababu hakuna cha kufanya. Mambo yataenda tu
 
Ni USHAURI tu !

- Kama mjuavyo siasa tamu yake ni kuungwa mkono na watu wengi kadri uwezavyo. Nyote mnajua athari aliyoleta Lowassa baada ya kutumia muda mwingi kwenye baadhi ya makundi ya kijamii ( Makanisani, Misikitini, Kwa Machifu, Bodaboda, Mamantilie, Wanavyuo nk ) akiwapa fedha na kushiriki shughuli zao, na mpaka leo ni kama anaabudiwa fulani. Usiniulize kwanini Magufuli anatembelea makanisa na dini mbalimbali kwa sasa. Lengo langu ni kujaribu kuonesha makundi yaliyotelekezwa ambayo yanaweza kuwa mtaji mzuri kisiasa:
- Vijana wanaosulubika kwa kukosa ajira tangu 2015 !
- Kina mama walioahidiwa milioni 50 kwa kila kijiji!
- Wanavyuo wanaopata mikopo kwa tochi
- Wanafunzi waliowekewa mazingira magumu ya kutimiza ndoto zao
- Wakulima waliokoswa soko zuri la mazao yao
- Wananchi wanaobomolewa nyumba zao bila fidia
- Watu wanaohangaika na tatizo la maji
- Watumishi waliogeuzwa manamba kwa kunyimwa haki zao huku WATU WAO wakilipwa 400,000 kwa siku

WHY MMESHINDWA KABISA ?
dua la kuku halimpati mwewe, watanzania tunamkubali Magufuli kwa hatua anazochukua, iwamo kuresha nidhamu katika ufisi za umma n.k, hata hao wanafunzi wanachukia kunapokuwa na mi9kopo hewa halafu wastahiki wanakosa,
 
Mm nafikiri kuna haja ya kubadilika na kufuata sheria na so kuishi kwa mazoea vile vile vijana tunapaswa tujue si lazima uajiliwe bali unaweza kujiajili pia fursa ni nyingi sana.Na swala uwajibikaji wa serikali ktk kuongoza hili ni wazi kabisa serikali ina ongoza kwa kufuata sheria pasipo kumuonea mtu wa kumpendelea mtu kwa faida zake au kundi lake
Kujiajiri ni kufanyaje ?

- Maana kuna waliojiajiri kama machinga ila kila wakati wanapigwa na polisi na kuna waliojiajiri kama Bodaboda na wanachukuliwa kama majambazi vilevile!
 
Ni USHAURI tu !

- Kama mjuavyo siasa tamu yake ni kuungwa mkono na watu wengi kadri uwezavyo. Nyote mnajua athari aliyoleta Lowassa baada ya kutumia muda mwingi kwenye baadhi ya makundi ya kijamii ( Makanisani, Misikitini, Kwa Machifu, Bodaboda, Mamantilie, Wanavyuo nk ) akiwapa fedha na kushiriki shughuli zao, na mpaka leo ni kama anaabudiwa fulani. Usiniulize kwanini Magufuli anatembelea makanisa na dini mbalimbali kwa sasa. Lengo langu ni kujaribu kuonesha makundi yaliyotelekezwa ambayo yanaweza kuwa mtaji mzuri kisiasa:
- Vijana wanaosulubika kwa kukosa ajira tangu 2015 !
- Kina mama walioahidiwa milioni 50 kwa kila kijiji!
- Wanavyuo wanaopata mikopo kwa tochi
- Wanafunzi waliowekewa mazingira magumu ya kutimiza ndoto zao
- Wakulima waliokoswa soko zuri la mazao yao
- Wananchi wanaobomolewa nyumba zao bila fidia
- Watu wanaohangaika na tatizo la maji
- Watumishi waliogeuzwa manamba kwa kunyimwa haki zao huku WATU WAO wakilipwa 400,000 kwa siku

WHY MMESHINDWA KABISA ?

Hawawezi kwa sababu chadema ni anti-wanyonge, kwanza wanatutukana sisi hatujasoma na kutuita wala viwavi, hivyo labda ungeuliza kwa nini wanashindwa kuwatumia Wanasheria wasomi kufanya hayo maandamano!
 
dua la kuku halimpati mwewe, watanzania tunamkubali Magufuli kwa hatua anazochukua, iwamo kuresha nidhamu katika ufisi za umma n.k, hata hao wanafunzi wanachukia kunapokuwa na mi9kopo hewa halafu wastahiki wanakosa,
Kuwatishia kuwakufukuza kazi ili wakuogope uwatumikishe kama MANAMBA wa wakoloni.
 
wanyonge wenyewe wanaakili, sio kwa kugeuzwageuzwa kama chapati.
CHADEMA ni watu wa maneno mawilimawili muda wowote wanaweza kuwageuka hata hao wanyonge wenyewe.
 
Hawawezi kwa sababu chadema ni anti-wanyonge, kwanza wanatutukana sisi hatujasoma na kutuita wala viwavi, hivyo labda ungeuliza kwa nini wanashindwa kuwatumia Wanasheria wasomi kufanya hayo maandamano!
Hawajielewi na wala hawana msingi, wanatapatapa

- Mfano CHADEMA haimwanini Nyerere wala sera zake kwa kuwa CHADEMA ni MABEPARI Pure ila kwa kuwa huwa wanataka KURA utawakuta wanamnadi NYERERE na wanatangaza kutoa AFYA na ELIMU BURE wakati hayo ni mambo ambayo hawayaamini kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom