Huko Chato ama Kolomije?Mbona huku hakuna wananchi waliochukia,,,sisi tuna imani na serikali yetu kama kawaida
Huko Chato ama Kolomije?
Hata mimi mkuu hapo tu ndo penye shida, lasivyo angekuwa rais Bomba sana.Mi jamaa mwanzoni nilimkubali sana! Alilokosea kubwa ni kutowapa Uhuru wapinzani waikosoe serikali yake! Ukikosolewa ndo utajua wapi unakosea! Mwanadamu lazima awe na kasoro, hawezi akawa perfect! Amekuwa mungu?
kona gani hizo acha kujifariji tanapa wewe,kona za nchi hii huwezi kuzimaliza hata kwa miaka mitano,labda vijiwe vya ufipa tuNaona kila kona,
Huko kuna lami ni punda na mikokoteni wanatumia. Halafu kuna viwanda vingi tu na maeneo yenye hospital kubwa lakini barabara hakuna.Itakuwa CHATO
Ulikuwepo au umekaririshwa hayo. Unamjua Kambona wewe,Bibititi je,Macghee ushawahi kumsikia popote?Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Sio wananchi tu.Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Hawa makuadi wa mafisadi na mabepari ndio wanaokufanya useme wananchi wameiasi serikali yao?Inaelekea na wewe ni kuadi wa mapepari,pole.Wananchi hatujaiasi serikali yetu,tuko pamoja na Rais wetu.Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Nazani wewe uwezo wako wakufikiri ndio umedhoofika!hoja ujibiwa Kwa hoja!sio povu mkuu!NDIYO UWEZO WAKO WA KUFIKIRIA UMEGOTA.LOOOO POLE FISADI
weka takwimu!Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Hata mimi mkuu hapo tu ndo penye shida, lasivyo angekuwa rais Bomba sana.
Mkuu ulikuwepo wakati nchi inapata uhuru?!!!Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Ifipa wapi? Katavi au sumbawanga?kona gani hizo acha kujifariji tanapa wewe,kona za nchi hii huwezi kuzimaliza hata kwa miaka mitano,labda vijiwe vya ufipa tu
Habari huenea kwa kasi sana mkuu,Mimi hii sijawahi kuona tangu nizaliwe,hakika kabisakila kona zipi ndugu, hii nchi ni kubwa sana. hivi vikelele vya Jf vya watanzania wasiofika hata asilimia moja ya watanzania ndo kelele za kila kona, Humu wapo wengi walizoea kuishi kwa semiba, posho na kupata tenda zisizo na kichwa wala mguu ndio wapiga kelele. Huku mtwara kwa walima korosho huwaambi kitu kuhusu awamu hii