Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hakuna wa kukuteka hapo umeongea kiuungwana sana Mfumo wa uchumi wake ni wa kukomoana ameweka pia mifumo mizuri ya kukusanya kodi ila Hailpi Madeni ya ndani hiyo Mifumo Hailipi kodi Anaye lipa kodi ni mimi na wewe ''No welfare for his people'
daaah bora hata nawe umenipa moyo maanake hawachelewi kukuita mchochezi na kukumwagia gun nyingi
 
daah kaka hauna roho ya kikada makada hatuko hivyo.
Napenda naposikia walimu muna hali mbaya , mana nyinyi huwa wepesi wa kusahau ,shida zote mnazopitia ikifika kipindi cha uchaguzi mnakuwa vipofu .
Na bado
 
Kama kilo ya dagaa imepanda kufikka sh 12,000/= nunua nyama sh 6,000/=. Acha kukariri misosi ya kula.
 
Utamwelewa tu. Mbona wengi wanamwelewa?.
 
Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma ila sitaki kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii

Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani

Nikajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu

Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola. Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi. Pombe hajaongeza salary kwa watumishi

Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja

Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake. Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha

Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
 
Nani alikuambia maendeleo ya nchi yanaletwa na mtu mmoja hata hapo kwako maendeleo yataletwa na wanafamilia wote!! Sasa itakuwa nchi?? Ila kukiwa na kiongozi makini anaweza kusaidia kuleta maendeleo!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…