Mimi kama Mtanzania kijana ninae jielewa nimesoma naona ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuamini huyu Magufuli ataleta maendeleo katika nchi hii
Jana usiku nlikua naangalia video jinsi watu wanavyofanya kazi katika International Space Station ,kile chombo kimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu kutoka kwa wamarekani na nchi tajiri kama 15 hivi duniani
Nkajiuliza hapa kwetu kuna mtu anaitwa Magufuli ambae ndo mkuu wa nchi watu wamemwona kama mkombozi wao ndo mzalendo eti anaweza kuibadilisha Tz wakati yeye mwenyewe kakalia majungu,mipasho ,kejeli masimango kwa watu ambao wanaweza wakaipaisha Tanzania yetu kwenye maendeleo ya kufikia kuanzisha ISS yetu
Tumeshaona jinsi serikali ya pombe inavyokopa hela kimya kimya tena mabilioni ya dola
Pangaboi yetu moja imekamatwa Canada kwa madeni yasiyo na kichwa wala miguu mtu katoa taarifa anaitwa mchochezi
Pombe hajaongeza salary kwa watumishi
Pombe kavuruga katiba kwa kuminya mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria
Pombe kavuruga uchumi wananchi wake now wanateketea kwa njaa ya mkwanja na mlo mmoja
Pombe kabana Uhuru wa kuongea na kutoa maoni yani hataki kukosolewa kana kwamba nchi ni Mali yake
Vikao vya chama POMBE anavifanyia ikulu yani jumba la watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama yeye anafanyia kikao cha chama chake huu ni ujuha
Itafika 2020 naamini pombe hakuna la maana atakalofanya kwa nchi na wananchi kwa ujumla zaidi ya kuongeza Shida tu
2020 huyu jamaa tumpige chini anatuharibia tu nchi yetu
NB: SINA CHAMA NA HAYO MAPOVU YENU WANA FISIEMU MYAPELEKE KWA WAKE/WAUME ZENU WAKAFULIE CHUPI SITAKI SHOBO HAPA HUNA HOJA KAA PEMBENI[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]