Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Watu wanaimba wimbo wa HALI NGUMU ILI KUHEPA MAJUKUMU na WAJIBU.

Alivyokuwa akipigwa vijembe JK kwa kudidimiza taifa na sasa Magufuli anavyolalamikiwa na baadhi yenu, laiti ukweli ungelikuwa hivyo, saaiz nchi hata mishahara ya watumishi haingekuwa inalipwa.

Kuweka misingi ya kukuza uchumi na hatimaye uchumi wenyewe kukua ni swala linalohitaji upeo.
 
Most african leaders perceive humanity as a threat because most of them do not understand the value of democracy n good governance.....!
You are brainfooled to sing the song that you're not convesant with. How do you perceive democracy and where in the world is real practiced the way you perceive it??
 
Upeo wa kuunda magenge ya wauaji na watekaji,,, hakuna ajira,,, mishahara hakuna nyongeza mwaka wa tatu sasa,,, unaropokwa tu kama umekunywa uji wa magimbi
 
Mtoa mada unachokisema si kweli na hakito wezekana kwa tz, sio kama nakukatisha tamaa ila tambua hivyo.
Bado wa tz hatujafikia watu kufanya kama Misri
Mfano mdogo tu soma hizi replies za watu hivyo basi nakushauri na kuwashauri wengine kuwa PAMBANENI NA HALI ZENU.
 
Bora umesema wewe mkuu kidogo nimtukane huyu mtoa mada
 
Yani umejibu vizuri sana. Ni mara chache sana utasoma humu ndani hoja zisizokua na kichwa wala miguu. Mtu analalamika lakini hawezi hatakutoa ufafanuzi zaidi au nifanye au takwimu.
Kuna mtu alilalamika humu ndani kama huyu Jamaa. Nikamuambia je umefanya nini hadi sasa ili kupambana na hii hali ngumu licha ya kulalamika? Je umepanda hata ka mche wa nyanya na hoho hapo uani kwako ili kupunguza maisha makali.
Hapo nilirushiwa matusi, na wanakujibu kila mtu akiwa analima na mkulima atamuuzia nani mazoezi yake.
 
Ungefungua uzu wako ukatoa maelezo yako yote haya. Khaa marefu kweli kma vle unalipwa hta mimi binafsi cwezi somo. Labda nikutumie number yangu unipigie ili unieleze kwa kina.
 
Pole sana mkuu, baba yako ni mbishi alafu alisoma kemia ya korosho ndio maana hajui sheria. Hata maamuzi yake yatakuwa ya kuvunja sheria hivyo tegemea umaskini kwa misururu ya fidia kutokana na umbumbu wake wa kudhani anaweza kuharibu alafu akaburuza wafasiri sheria wa ndani. Unfottunately wanampeleka kwa wajuzi wa sheria wa nje.
 
Unaishi Tanzania au Tanganyika?
 
Most african leaders perceive humanity as a threat because most of them do not understand the value of democracy n good governance.....!
I'm just thinking, should presidential election forms have a page or two on democracy and good governance on it, every applicant must read and sign that they understand it?
 
Ni sawa na baba anayejamba mbele za watoto wake ila watoto wake wakijamba inakuwa ishu
 
Ningesema, ila kuna gari nyeupe imepaki nyuma yangu, lakini ningesema. Nasisitiza ningesema
 
I'm just thinking, should presidential election forms have a page or two on democracy and good governance on it, every applicant must read and sign that they understand it?
Nimekupm Mkuu
 
P.u.m.b.a.f!!!
 
Tulia ww wala sina time ya kukujibu ww punguani wa lumumba kusoma hujui hata picha huoni??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…