Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Marehemu Mw.Nyerere alituachia utaratibu wa kuandaa, kulea na hatimaye kuchagua viongozi bora, jambo ambalo kama viongozi na wanachama wa CCM wasingeupuuza nchi hii ingekuwa na viongozi bora na sio bora viongozi.

Nakumbuka kuna wakati aliwahikusema.."kama mtu ameshindwa kuongoza familia yake iweje apewe madaraka makubwa ya kuongoza familia za wengine.
 
Ccm hawakukurupuka....
tatizo labda tuseme hawakuwa well informed..

walidharau dalili za wazi kuwa 'kuna tatizo kubwa'

Sasa ni too late
 
Maendeleo ambayo Magufuli ameyaleta kwa miaka miwili lowassa angeweza au mngekua mnatafuna tu nchi saivi, nyie ikulu sahauni tena ngoja 2020 tuwapunguze kwanza Bungeni.
Tumia akili wewe maendeleo hayaletwi na kiongozi, kiongozi anatengenezea wapi maendeleo?? Maendeleo yanaletwa na watu huku kiongozi akihamasisha na kuunganisha watu ili wajiletee maendeleo kitu ambacho mtu wenu hana!! Nyie ndo mnaosema maendeleo yanaletwa na CCM!
 
Tumia akili wewe maendeleo hayaletwi na kiongozi, kiongozi anatengenezea wapi maendeleo?? Maendeleo yanaletwa na watu huku kiongozi akihamasisha na kuunganisha watu ili wajiletee maendeleo kitu ambacho mtu wenu hana!! Nyie ndo mnaosema maendeleo yanaletwa na CCM!
Dr. Mwakabanje awamu hii lazima uwe nesi, wapi Dr. Mwaka wa sanitarian?

Hii nchi lazima inyooke tu
 
Mtajua kwakua wegi wanaopinga nakelele ni mafisadi wahuni wauza Unga wanao penda faida kubwa Bila kutoa kodi kwahio hizi nizama za magufuli hamuoni njia zakuuza mada ufsadi raisiwetu anavichwa vigi hakuna upifishaji madawa hakunatena
 
It is hard to imagine a more stupid or more dangerous way of making decisions than by putting those decisions in the hands of people who pay no price for being wrong...[emoji19] [emoji19]
 
Kipindi kile anaomba alisema ni yeye tumwamini chama chake hakifai kwa kutooga kwa muda mrefu, sasa hivi yuko kwenye harakati ya kuwaaminisha watu kuwa sasa hivi chama kimekuwa kisafi na kinastahili na kinaishi ikulu.
Kwa maneno mengine hii ni vita ya kisaikolojia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom