Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Maendeleo gani hayo.kayaleta? Ana yamemgusaje mtu mmoja mmoja hasa mwanachi masikini
  1. Barabara na flyover zinazojengwa,
  2. maji yanasambazwa kutoka Victoria
  3. Treni za umeme
  4. Bwawa la stigliers umeme 2k mw
  5. Ndege zaidi ya 6
  6. Ujenzi na ukarabati wa Airports nchi nzima
  7. Madawati, kukaa chini ni history
  8. Mikopo ya wanafunzi 200%
  9. Maabara mashuleni
  10. Elimu bure
  11. Ufisadi, rushwa kwisha
  12. Madawa Hospital sasa 80%
  13. Viwanda vinavyojengwa
  14. Ujangili umedhibitiwa
  15. Madawa ya kulevya yanadhibitiwa
  16. Utendaji wa serikali umehimarika
  17. Makusanyo kutoka bil 800 mpaka tril 1.3
  18. Bandari zinapanuliwa na mpya zinajengwa
  19. Bomba la mafuta Uganda (lilikua liende Kenya)
  20. Kutungwa kwa sheria mpya ya madini maslahi kwa taifa
  21. Kuzuia uwizi wa wawekezaji majizi kwenye madini
  22. REA vijijini kuwasha umeme vijiji vyote
  23. Kusambaza mbolea na pembejeo za kilimo bure/bei nafuu
  24. Vyeti feki, wafanyakazi hewa, na aina zote za upigaji pesa za serikali ni history
  25. Ushuru wa hovyo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi umeondolewa
Utakua taahira usipoona haya
 
Wapo walioishi raha za ajabu kwa njia zisizo harali hao lazima warudi nyuma wajipange, waliutumia unyonge wetu wakajinufaisha lakini mianya hiyo imezibwa hivyo kuishi kama mashetani hao haiepukiki mkuu
Mhusika hakusema hyo,wewe ndo unamsemea hayo
_20170920_114008.JPG
 
Si alikua 'anawabipu' nyinyi 'mkampigia/mkamsokomezea'....basi mtulie maana mlimlazimisha ye alikua anafanya utani tu hahaha
 
  1. Barabara na flyover zinazojengwa,
  2. maji yanasambazwa kutoka Victoria
  3. Treni za umeme
  4. Bwawa la stigliers umeme 2k mw
  5. Ndege zaidi ya 6
  6. Ujenzi na ukarabati wa Airports nchi nzima
  7. Madawati, kukaa chini ni history
  8. Mikopo ya wanafunzi 200%
  9. Maabara mashuleni
  10. Elimu bure
  11. Ufisadi, rushwa kwisha
  12. Madawa Hospital sasa 80%
  13. Viwanda vinavyojengwa
  14. Ujangili umedhibitiwa
  15. Madawa ya kulevya yanadhibitiwa
  16. Utendaji wa serikali umehimarika
  17. Makusanyo kutoka bil 800 mpaka tril 1.3
  18. Bandari zinapanuliwa na mpya zinajengwa
  19. Bomba la mafuta Uganda (lilikua liende Kenya)
  20. Kutungwa kwa sheria mpya ya madini maslahi kwa taifa
  21. Kuzuia uwizi wa wawekezaji majizi kwenye madini
  22. REA vijijini kuwasha umeme vijiji vyote
  23. Kusambaza mbolea na pembejeo za kilimo bure/bei nafuu
  24. Vyeti feki, wafanyakazi hewa, na aina zote za upigaji pesa za serikali ni history
  25. Ushuru wa hovyo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi umeondolewa
Utakua taahira usipoona haya
Wote huo ni ujinga
 
Ni bora tu ubaki kuwa mjinga kuliko kujifanya mwerevu wakati unajua huyo ndio rais wako hadi 2025.

Mambo mengine ya kuwaza waza haya wakati ukijua hakuna chochote unachoweza kukifanya zaidi ya kupigana na hali yako katika kujiletea maendeleo yako wewe mwenyewe bila kusubiri maendeleo ya Magufuli ni upuuzi.

Unasubiri Magufuli akuletee maendeleo. Waliomtangulia wenyewe hawajaleta maendeleo na hata hao tunaowasubiri wakiingia madarakani walete maendeleo tutasubiri sana na wakiingia hawawezi kuleta hayo maendeleo.

Maendeleo yaanze kwa mtu mmoja katika maisha yake. Hayo ya Magufuli yakija au yasipokuja atajua mwenyewe.
Duh 2025 mbali lkn mmmh
 
  1. Barabara na flyover zinazojengwa,
  2. maji yanasambazwa kutoka Victoria
  3. Treni za umeme
  4. Bwawa la stigliers umeme 2k mw
  5. Ndege zaidi ya 6
  6. Ujenzi na ukarabati wa Airports nchi nzima
  7. Madawati, kukaa chini ni history
  8. Mikopo ya wanafunzi 200%
  9. Maabara mashuleni
  10. Elimu bure
  11. Ufisadi, rushwa kwisha
  12. Madawa Hospital sasa 80%
  13. Viwanda vinavyojengwa
  14. Ujangili umedhibitiwa
  15. Madawa ya kulevya yanadhibitiwa
  16. Utendaji wa serikali umehimarika
  17. Makusanyo kutoka bil 800 mpaka tril 1.3
  18. Bandari zinapanuliwa na mpya zinajengwa
  19. Bomba la mafuta Uganda (lilikua liende Kenya)
  20. Kutungwa kwa sheria mpya ya madini maslahi kwa taifa
  21. Kuzuia uwizi wa wawekezaji majizi kwenye madini
  22. REA vijijini kuwasha umeme vijiji vyote
  23. Kusambaza mbolea na pembejeo za kilimo bure/bei nafuu
  24. Vyeti feki, wafanyakazi hewa, na aina zote za upigaji pesa za serikali ni history
  25. Ushuru wa hovyo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi umeondolewa
Utakua taahira usipoona haya
We unaishi Nchi gani?
 
Nimegundua uwezo wako wa kufikiri ma kuhoji ni mdogo sana.
Sorry kaongee na wana lumumba wenzako
 
IVI KWA MFANO WEWE NDO UNAENDESHA GARI ALAFU ABIRIA WANAKUAMBIA BADILISHA GIA WEKA TANO MARA MBILI MARA PAKI GARI, WEWE UTAMSIKILIZA YUPI NA UFUTATE LA NANI, ACHA AAMUE YEYE NDO MKUU WA NCHI ACHENI KIGEUGEU, MAMBO YALIYOPIGIWA KELELE ANAKULA NAYO SAHANI MOJA MWACHENI AYAMALIZE NDO MWANZISHE MENGINE
 
Kuandika kwa herufi kubwa bado hakujanishawishi
 
  1. Barabara na flyover zinazojengwa,
  2. maji yanasambazwa kutoka Victoria
  3. Treni za umeme
  4. Bwawa la stigliers umeme 2k mw
  5. Ndege zaidi ya 6
  6. Ujenzi na ukarabati wa Airports nchi nzima
  7. Madawati, kukaa chini ni history
  8. Mikopo ya wanafunzi 200%
  9. Maabara mashuleni
  10. Elimu bure
  11. Ufisadi, rushwa kwisha
  12. Madawa Hospital sasa 80%
  13. Viwanda vinavyojengwa
  14. Ujangili umedhibitiwa
  15. Madawa ya kulevya yanadhibitiwa
  16. Utendaji wa serikali umehimarika
  17. Makusanyo kutoka bil 800 mpaka tril 1.3
  18. Bandari zinapanuliwa na mpya zinajengwa
  19. Bomba la mafuta Uganda (lilikua liende Kenya)
  20. Kutungwa kwa sheria mpya ya madini maslahi kwa taifa
  21. Kuzuia uwizi wa wawekezaji majizi kwenye madini
  22. REA vijijini kuwasha umeme vijiji vyote
  23. Kusambaza mbolea na pembejeo za kilimo bure/bei nafuu
  24. Vyeti feki, wafanyakazi hewa, na aina zote za upigaji pesa za serikali ni history
  25. Ushuru wa hovyo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi umeondolewa
Utakua taahira usipoona haya
Utazunguka sana na hayo maneno yako naona kila uzi unayaweka
 
Mimi kwa sasa sijawahi amini nabsitowahi amini tenaa tuhuma zinazoletwa na upinzani dhidi ya viongozi wa chama tawala hata uniletee ushahidi wa kuona mimi mwenyewe.

Siku ya kusafishwa ikifika utajiraumu na utatamani umuombe radhi.

Mpaka kesho huwa namuomba, msamaha Lowasa kimoyomoyo, kikwete namuomba msamaha kimoyomoyo kwani sifa wanazozipata leo wakati kipindi kile nilitamani nikaibe lile panga la buchani basi tuu
endelea kuwaamini ccm watakuletea maisha bora
 
Wewe mwenyewe ndiyo unatakiwa ujue unaelekea wapi kabla ya serikali kukueleza uende wapi!fool.
 
IVI KWA MFANO WEWE NDO UNAENDESHA GARI ALAFU ABIRIA WANAKUAMBIA BADILISHA GIA WEKA TANO MARA MBILI MARA PAKI GARI, WEWE UTAMSIKILIZA YUPI NA UFUTATE LA NANI, ACHA AAMUE YEYE NDO MKUU WA NCHI ACHENI KIGEUGEU, MAMBO YALIYOPIGIWA KELELE ANAKULA NAYO SAHANI MOJA MWACHENI AYAMALIZE NDO MWANZISHE MENGINE
IMG_ierm1q.jpg

Halaf odometer iwe hii
 
Duh 2025 mbali lkn mmmh
Teh teh
Ndo katiba inavyotaka mkuu, na rais aliepo madarakani kwa Afrika.....isipokuwa Ghana na Nigeria pekee ndio.....hawez toka madarakani
 
So 2025 atasukumizwa TENA?
Mtu ameshasema amechoka?Nyie mnamlazimisha aende had 2025!akishindwa ku deliver mtamlaumu?[/QUOTE

Mkuu huko kuchoka ni kwa kisiasa lakini kayika uhalisia bado mpaka 2025
 
Aaalah kumbe ccm wote niwaongo kwa watanzania?? Umesahau ilani za ccm?? Nenda kaisome vizuri
Mkuu tangu lini mwanasiasa akawa mkweli?

Haitokaa itokee. Hakuna watu waongo kama wanasiasa sio wapinzani wala waliopo waliopo madarakan
 
Tatizo la JPM ni kuachia hisia zake zimuongoze na sio uhalisia wa mambo.

Anaonekana kukubali vitu viwili kwamba ndani ya wigo wake kuna matatizo na nje ya wigo wake kuna suluhu ya matatizo yake.

Tatizo sasa hisia na ufahari vinamfanya akuchukie sana huko nje ya wigo. Ningekuwa yeye ningeomba kwa Spika aunde kamati ya kupitia mikataba yote mibovu na kuipa hiyo kamati mtu anayemwona kama msaliti aifanyie kazi. Baada ya hapo angeona mtunda mazuri zaidi.

Sasa yeye anagombana na wa nadani ya wigo na walio nje ya wigo. Kuna siku huu wigo utaungua moto atabaki upenuni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom