Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Maswali unayouliza utayajibu mwenyewe nguvu ya umma itakapojidhihiri kutokea.
 
Ww ni maku sisi tunamwelewa xana anko kama wewe au wazaz wako ni wale mlokuw mmeshageuza nchi shamba la bibi pambana na hal yako ss tushazoea na istoshe maisha yamekuw rahc kwa watu ambao walpata shda kpnd ww na wenzio mnaringa xaiv heshma debe jamba uone na hakna kitu kzur km watu wote kuheshimiana mambo mengne tmeshazoea
 
"Humanity is a very important quality you must have as a leader. If you are humble, if you let people realise that you are not a threat to them, those people will listen to you, those people will embrace you. "R.I.P Nelson Mandela.
Fantastic
 
Tulia ww wala sina time ya kukujibu ww punguani wa lumumba kusoma hujui hata picha huoni??
Kichaa utaishia kulialia tu. Mnaambiwa fanyeni kazi hamtaki, kazi kupiga miayo tu
 
ushawahi kutiwa vidole???
Jibu kwanza hapo
 
.
Umegundua hilo mkuu? Watu wanalalamika tu ukimuuliza kwa nini analalamika hajui. Sijui wanakaa kwenye vijiwe vya kahawa na salon za kike wanadanganyana, halafu wanakimbilia kwenye mitandao ya kijamii sijui ndio wanadhani watatatua tatizo!

Kwa kawaida ukiona mtu analalamika lalamika tu ujue huyo hata kufanya kazi hawezi. Mleta maada nina imani hata godoro hana.
 
"Serikali haina uwazi ni mwendo wa
kukopa kwa siri kama walivyokopa
dola milioni 500 kwa riba ya dola
milioni 900''
Hili ni dili la mtu. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya huu ujinga
 
The only thing necessary for the triumph of evil is for good men to do nothing. Tanzanians must say NO to emerging dictatorship.
 
"Humanity is a very important quality you must have as a leader. If you are humble, if you let people realise that you are not a threat to them, those people will listen to you, those people will embrace you." R.I.P Nelson Mandela.
Dada kwa hiyo quote umemaliza mjadala kwa wenye akili,isipokua kwa wala rambirambi
 
"Humanity is a very important quality you must have as a leader. If you are humble, if you let people realise that you are not a threat to them, those people will listen to you, those people will embrace you." R.I.P Nelson Mandela.
Dada kwa hiyo quote umemaliza mjadala kwa wenye akili,isipokua kwa wala rambirambi
 
Ulichoandika mkuu ni very cheap mind though unaweza ukawa ni mtu mwenye chuki tu na serikali ya Mh.Raisi Magufuli usiwafuatishe wenzio wanaolialia kila siku na matamko na ukweli ni kwamba weakness ya utawala wa sasa ni ndogo sana ukilinganisha na tawala zilizopita "Ukiona mwanasiasa amesimama jukwaani anapinga sera ya utawala wa Raisi Magufuli ujue kuna sehemu masilahi yake binafsi yameguswa"
 
Ka
Wewe mbona hijatoa data umejaza upukunyenhe na uzandiki na ukizabizabina tyuu
 
Ka

Wewe mbona hijatoa data umejaza upukunyenhe na uzandiki na ukizabizabina tyuu
Nilete data kwani nina tatizo gani? anaeona kuna tatizo anawajibu wa kudadavua tatizo. sio kupayuka kama mwendawazimu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…