Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
siku ikitokea kweli anatoka alipo sijui itakuwaje
 

Mengi umeandika kulinda ugali wako . LA msingi ni hapo ulipouliza hao watu ni wakina nani.

Labda niseme watu wapo lakini hawana uwezo huo.
 
Mengi umeandika kulinda ugali wako . LA msingi ni hapo ulipouliza hao watu ni wakina nani.

Labda niseme watu wapo lakini hawana uwezo huo.
Hawana uwezo wa nguvu ya umma kama mleta mada anavyotaka?
 
Inaelekea mkono wako uko kwenye hiyo kiuchochezi unayoiita nguvu ya umma.Nadhani hatutakosea tukikuita wewe mchochezi.
 
"Humanity is a very important quality you must have as a leader. If you are humble, if you let people realise that you are not a threat to them, those people will listen to you, those people will embrace you." R.I.P Nelson Mandela.
Yes and amen
 
Mungu kwanini usifanye miujiza huyu mtu tukamuimbia ule wimbo wa palapanda italia palapanda?

Swissme
 
Actions Speak Louder than Words
 
Ni mara mia angempa mwanadiplomasia mahiri na Jasusi mbobezi wa Mtama au mzee wa Monduli tusingesafa sana.
Hivyo nawakumbusha tu, kila unapopata matatizo katika awamu hii tambua Msoga master ana asilimia zake, ametuletea shida kubwa sana.
 
Hapana.

Viongozi wetu hawajatufikisha hapa.

Sisi ndio tumewafikisha viongozi wetu walipo.

Matatizo ya Tanzania si matatizo ya uongozi tu. Ni matatizo ya jamii. Jamii bora itatoa viongozi bora, kama tuna tatizola viongozi wabovu, na jamii yetu ndiyoiliyoruhusu jamii kuwa na viongozi wabovu, tatizo si viongozi tu, tatizo ni la jamii.

Hao viongozi wabovu wanajichagua wenyewe?
 
Ni mara mia angempa mwanadiplomasia mahiri na Jasusi mbobezi wa Mtama au mzee wa Monduli tusingesafa sana.
Hivyo nawakumbusha tu, kila unapopata matatizo katika awamu hii tambua Msoga master ana asilimia zake, ametuletea shida kubwa sana.
Ni kweli. JK inawezekana alikuwa ana wivu kuona besti yake naye akiingia kwenye listi ya mapresdaa. Ili kwenye group lao EL asimfunike. Maana kiukweli walikuwa marafiki. Lakini urafiki wa JK ulikuwa wa kinafiki zaidi.

JK akaleta siasa za "kuvua gamba", akiwa target walio kuwa wakipigiwa kelele za ufisadi. JK alijuwa EL si fisadi lakini alinyamaza na kuendeleza politics za kiswalihina. Ufisadi wote wa kuuza nchi EL hajatokea. JK yuko responsible kwasababu hata mimi nilimpigia kura Maghufuli badala ya Lowassa kwa kuamini ni fisadi ambaye JK anaogopa kumtimua waziwazi ili chama kisimegeke. But I was wrong.

Kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa ndugu, inaonyesha wazi uncle Magu ni fisadi na wala siyo EL.
 
Mimi nimeshangaa sana nguvu kubwa inayotumika kunyamazisha watu awamu hii, kuanzia bungeni, vyombo vya habari,mitandaoni vyama vya siasa kupigwa marufuku mpaka mtaani ukisikika unalo

kama mkuu hana shida na ni mzalendo msafi asiye na DOA kwanini anatumia nguvu kubwa namna hii kwa watanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…