Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Watu wanaopambana na Magufuli Kisiasa, wakidhani Au Kutaka Kuaminisha Wengine Kuwa Magufuli ni Mjinga au Mtu wa hivihivi tu wanakosea sana!

Magufuli Ni limjamaa Very Intelligent, halafu Mimi naamini Magufuli ana Kipaji cha Kuzaliwa cha kuwa na photographic memory, na Uwezo wake wa Kuwasiliana na Watu wa Kawaida na Kuwateka kifikra Ni Mkubwa sana!

Pia Jamaa ana aina ya Determination ya Kutoamini Kushindwa na He always think very big, Tofauti na Waafrik Wengi!

Matizo La Magufuli ni yepi?

1) Hamwogopi Mungu! Anaruhusu Element za Injustice na Hila Kumwingia, au kutoka moyoni mwake, au kutoka kwa characters wanaomzunguka.
2) Kwa kuwa Ni mtu anajijua ni very smart anadhani ni kujidhalilisha kusikiliza wengine hasa wale anaodhani wanampinga, the opposite is true.
3) Nadhani Kuna Kitu kilimtokea Utotoni, Anatumia nguvu ya ziada kutaka approval ya watu, na nahihisi ingawa hicho kilichomtokea in a positive way kinamfanya afanye mengi makubwa kuprove wrong hiyo hali, mimi naona Angevisit past yake ajue shida ni nini? Na azike hali ya Kutaka Kuwa Aproved au Kusifiwa na Ajikite kwenye Kufanya Makubwa!
4) Magufuli anaelement ya Kudhani, Iwapo Mtu au Watu wanamakosa, au Shortcomings, basi kuwafanyia Undundu ni halali. The highest Level of Justice is to Aphold the Justice of those who the society think do not deserve any good! Mfano, Kahaba au Mlevi Akizingirwa na Wahuni wakampiga! Wakamtoa Meno! Kwa swala lisilohusiana na Makosa yake, Mbele za Mungu wamemwonea mtu innocent!

Magufuli akiacha Uonevu, Na Double Stardards, Na akajitenga Na evil elements including watu! Within six months watu watamtandikia Kanga Mitaani! Lakini Je sisi Tunaompinga Tutajuaje amechange Ili tumtendee haki, kwa Maana ya kuwa tusiendelee kumhukumu kwa mambo yaliyopita?
Ni lazima akusanye Ujasiri Moyoni Akiri wazi Baadhi ya Makosa aliyofanya Kiutawala hasa! The benefits of it to his course and Legacy are worthy it.

Yap its Me TL. Marandu
 
Ni wewe TL Marandu?? Mbona sikuelewi???
 
Nimekuwa nikikufuatilia..tatizolako umamnyooshea kidole Magufuli kwa kila baya linalofanyaka nchini...alafu mbaya zaidi inapofika wakati wa ku support case yako, unamwaga ushahidi mwepesi sana (tooooo circumstancial)...anyway, usisingizie mtu kitu (haswa mambo serious kama mauaji) kama huna ushahidi wa kutosha..kumbuka unajenga chuki kubwa sana kwa ndugu ya waathirika
 
Ni wewe TL Marandu?? Mbona sikuelewi???
Mbona anaeleweka! Wala siyo kuwa yuko side ya magufuli, never! Never! This is a philosophical analysis/narration! Nilivyomuelewa marandu, anasema kuwa Magufuli Anajua watu anao deal nao, wajinga/wapumbavu. Ndio maana akiona mtu kama Lisu /upinzani/Zitto anataka kuwafumbua macho kuwa hapo ni uongo, then kinafuata..........! ndio uandishi alioamua kuutumia Marandu!....
 
Umeandika meeengi! Ila yote hayo yanatoa tafsiri ya kile ulicho kusudia kusema.

Nadhan ullikusdia kusema hivi, jamaa ni mnafiki, ,jinga, shamba, pumbavu moja hivi.

Which is true.
 
Wewe ni CCM, ruhusu wachunguzi wa nje waje , wayachunguze haya , utakuwa umemsafisha 100% huyo anayetuhumiwa!
 
fully agreed.
 
Wewe ni CCM, ruhusu wachunguzi wa nje waje , wayachunguze haya , utakuwa umemsafisha 100% huyo anayetuhumiwa!
Watu zaidi ya 32 waliuwawa Kibiti...hamkutaka wachunguzi wa nje waje. Leo kapigwa risasi mwanasheria wa chama, mnataka serikali icheze na midundo yenu...kamwe hilo haliwezi kutokea...Tanzania is a sovereign country...tunajitosheleza tutafanya uchunguzi wenyewe...
 
spot on mkuu.

on this, time will be the only judge because the bottom line is...it's not about how many adversaries one has put to sword but it's all eventually about liquid pockets, busily munching mouths and full stomachs of the majority.

[HASHTAG]#2020iscomingthickand fast[/HASHTAG]
 
Iyo photographic memory yake inaninufaisha vp mkazi wa huku sikonge?
 
Unajitosheleza kutwa kuomba misaada
 
Lakni unasahau kuwa hapa kuna dispute, we need an umpire to decide the case. kibiti hakuna aliyelalamka kuwa serikali inahusika na wala hakuna aliyedai kuwa haki haitatendeka. Hapa kuna mtu analalamika kuwa fulani anahusika, unafanyaje? Kwaheri! naona tunapishana sana viwango.. labda niko chini sana!
 
uwezo wenu ni wa kuhoji walio hai
 
Uchunguzi upi? Ule wa kung'oa cctv camera eneo la tukio au huu wa kutowakamata na kuwahoji walinzi wote waliokuwa eneo la tukio? Acheni sanaa hizi zisizokubalika ukumbini!
 
Magufuli hahitaji kutandikiwa kanga,kwani umesikia anaenda kuoa Mwari?
Hapa kazi tu,mambo ya kutandikiana kanga na kudeki barabara pelekeni kwa huko huko chadema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…