TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Watu wanaopambana na Magufuli Kisiasa, wakidhani Au Kutaka Kuaminisha Wengine Kuwa Magufuli ni Mjinga au Mtu wa hivihivi tu wanakosea sana!
Magufuli Ni limjamaa Very Intelligent, halafu Mimi naamini Magufuli ana Kipaji cha Kuzaliwa cha kuwa na photographic memory, na Uwezo wake wa Kuwasiliana na Watu wa Kawaida na Kuwateka kifikra Ni Mkubwa sana!
Pia Jamaa ana aina ya Determination ya Kutoamini Kushindwa na He always think very big, Tofauti na Waafrik Wengi!
Matizo La Magufuli ni yepi?
1) Hamwogopi Mungu! Anaruhusu Element za Injustice na Hila Kumwingia, au kutoka moyoni mwake, au kutoka kwa characters wanaomzunguka.
2) Kwa kuwa Ni mtu anajijua ni very smart anadhani ni kujidhalilisha kusikiliza wengine hasa wale anaodhani wanampinga, the opposite is true.
3) Nadhani Kuna Kitu kilimtokea Utotoni, Anatumia nguvu ya ziada kutaka approval ya watu, na nahihisi ingawa hicho kilichomtokea in a positive way kinamfanya afanye mengi makubwa kuprove wrong hiyo hali, mimi naona Angevisit past yake ajue shida ni nini? Na azike hali ya Kutaka Kuwa Aproved au Kusifiwa na Ajikite kwenye Kufanya Makubwa!
4) Magufuli anaelement ya Kudhani, Iwapo Mtu au Watu wanamakosa, au Shortcomings, basi kuwafanyia Undundu ni halali. The highest Level of Justice is to Aphold the Justice of those who the society think do not deserve any good! Mfano, Kahaba au Mlevi Akizingirwa na Wahuni wakampiga! Wakamtoa Meno! Kwa swala lisilohusiana na Makosa yake, Mbele za Mungu wamemwonea mtu innocent!
Magufuli akiacha Uonevu, Na Double Stardards, Na akajitenga Na evil elements including watu! Within six months watu watamtandikia Kanga Mitaani! Lakini Je sisi Tunaompinga Tutajuaje amechange Ili tumtendee haki, kwa Maana ya kuwa tusiendelee kumhukumu kwa mambo yaliyopita?
Ni lazima akusanye Ujasiri Moyoni Akiri wazi Baadhi ya Makosa aliyofanya Kiutawala hasa! The benefits of it to his course and Legacy are worthy it.
Yap its Me TL. Marandu