tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Unapenda kuongea uwongo weweNijibu kwanza hili swali,wafanyakazi ambao hawajapata increment tangu huyu jamaa kaingia madarakani ni kina nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda kuongea uwongo weweNijibu kwanza hili swali,wafanyakazi ambao hawajapata increment tangu huyu jamaa kaingia madarakani ni kina nani??
Kuwa wafanyakazi hawajapewa increment in uongo eti.... Bhc we ndo mkweliUnapenda kuongea uwongo wewe
Rudi kwenye mada yako kuwa wastaafu hawapewi stahiki zao. Mbona unakimbia mada....Kuwa wafanyakazi hawajapewa increment in uongo eti.... Bhc we ndo mkweli
Ndiyo hawajapewa kwani uongoRudi kwenye mada yako kuwa wastaafu hawapewi stahiki zao. Mbona unakimbia mada....
Wamemsukumiza mpumbavu Ikulu si maneno ya BAK bali ya Kikwete.
Mbona anapovunja huwa mnakaa kimya?unyumbu unakusumbua siio bure, kwani kavunja katiba kutokwenda Ulaya?
Kirengeza cha kuongea huko atakipata wapi?Kwanza hata atakisikia? PhD EVIDENCE SIO MCHEZO labda ya kiswahiliBinafsi naamini going out or travelling away from where you always be ni jambo jema na unapata exposure ya vitu vingi vigeni so unajifunza kwa wengine..
Nimekaa namuwazia Mh Raisi wangu kwanini kila mkutano WA nje ya nchi anamsaksia either Mama Samia Suluhu ama majaliwa, sikatai ni kweli ni wasaidizi wake lakini miaka miwili yote tunaenda wa tatu na hata mitano itaisha huyu mtu hajapanda ndege kwenda Ulaya..
Lakini pia nataka mwenye kumbukumbu Za enzi zake akiwa waziri kama alishawahi safiri aniekee hapa..
Binafsi nahisi uelewa wa mambo ya kimataifa wa Mh ni mdogo sana kiasi kwamba yy mwenyewe anaelewa hilo.
Tanzania inadoda kila uchwapo, wenye macho wanaona hilo... Naona hata mikutano ya kimataifa ikifanyika hapa nchini huyu mzee anakimbia... What he is capable of ni kubomoa nyumba zetu wanyonge..
Nimejiuliza tu...