Kumbe mapambano ya ufisadi hayana mantiki kwa sasa?
Wasn’t it obvious? Wanasema a picture speaks a thousand words, siyo? Na wala sijajihami; kwani sina haja ya kujihami kwa ajili ya mtu yeyote mwenye damu ya CCM! Kwani lazima ni big time crook tu!
Woh! Guilty conscience over Lowassa and Sumaye? Dude, I don’t give a dang about them! Nimeshakwambia mara kadhaa humu, mimi siyo shabiki wa Lowassa wala mtu yeyote mwenye connections na CCM.
Unakumbuka namna ambavyo TAKUKURU walisema Richmond was okay? That’s how CCM governments work bro! I’m telling you, Magufuli akitoka CCM, wewe utakuwa wa kwanza kumsema kwa haya nayokwambia sasa.
Vipi kuhusu hili:
CAG reveals rot in Dar ferry purchase naona fisadi Magufuli akaamua kuificha ferry JWTZ!
Kwa logic hii basi hata Lowassa is innocent! Mawaziri wote ambao Magufuli kawatumbua are innocents!
Btw, this also proves what I have just said: that’s how CCM governments work. Ukiwa CCM, they will defend to death! Ukitoka tu, utaitwa majina yote. Kikwete alimpigia kampeni ‘fisadi’ Lowassa! Magufuli alimpigia kampeni ‘fisadi’ Nyalandu!!
Tuombe uzima tu. Kuna siku mtamsema Magufuli kwa kugawa nyumba za serikali kwa hawara na ndugu zake.
Both! Kapata kura zaidi ya milioni 6, na kuongeza idadi ya wabunge na ruzuku kwa chama. Kwa upande mwingine amechafua image ya chama kwa tuhuma zake.
As long as tuna rais Magufuli mwenye tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya umma, why not them?