Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Huu ni wakati wa kila mwenye uchungu, nia ya dhati na uzalendo wa kweli kwenye nchi hii kujitokeza hadharani na kuonyesha wazi wazi hisia zake bila chembe pasipo kujali vitisho, matusi, masimango na kejeli!
Miaka zaidi ya 50, hii awamu imekuwa bomu kupita awamu zote.
Kuwa na kiongozi mnafiki anayeligawa taifa kwa kutoa kauli zenye utata haifai...
Kiongozi anatoa kauli za kibaguzi halafu anapigiwa makofi na vigelegele?? Alitakiwa apigiwe nduru...
Nawashauri wale wote wenye mapenzi mema msiogope, huu ndio wakati muafaka wakufanya maamuzi sahihi! Tuungane wote tumpinge kwa hoja na vitendo hasa kwenye box la haki....
 
wacheni waisome namba eee, magufuli mbele kwa mbeleeeee
 
Huyu ndiye Rais nilitamani,wakati waJK,ulikuwa unaonewa, na hakuna pa kwenda. Sasa hivi,hadi ccm,wanaisoma ya kirumi.
 
Binafsi naamini going out or travelling away from where you always be ni jambo jema na unapata exposure ya vitu vingi vigeni so unajifunza kwa wengine..

Nimekaa namuwazia Mh Raisi wangu kwanini kila mkutano WA nje ya nchi anamsaksia either Mama Samia Suluhu ama majaliwa, sikatai ni kweli ni wasaidizi wake lakini miaka miwili yote tunaenda wa tatu na hata mitano itaisha huyu mtu hajapanda ndege kwenda Ulaya..

Lakini pia nataka mwenye kumbukumbu Za enzi zake akiwa waziri kama alishawahi safiri aniekee hapa..

Binafsi nahisi uelewa wa mambo ya kimataifa wa Mh ni mdogo sana kiasi kwamba yy mwenyewe anaelewa hilo.

Tanzania inadoda kila uchwapo, wenye macho wanaona hilo... Naona hata mikutano ya kimataifa ikifanyika hapa nchini huyu mzee anakimbia... What he is capable of ni kubomoa nyumba zetu wanyonge..

Nimejiuliza tu...
 
Kirengeza cha kuongea huko atakipata wapi?Kwanza hata atakisikia? PhD EVIDENCE SIO MCHEZO labda ya kiswahili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…