Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Jakaya atusamehe saba mara sabini. Dhaifu original yupo hekaluni sasa. Come to think of it, JK was a Saint!
 
Hapa Duniani namchukia sana Lisu
 
Mimi uwa najiuliza kama Serikali inafanya kazi vizuri Kwanini waoga sana kukosolewa? Mimi nawaambia tutakuta madudu mengi kuliko serikali zilizopita, waache waendelee kutumia kodi zetu kuhonga wabunge na madiwani.
 
Uhuru upi wa kuongea na kutoa maoni?, hapa unafanya Nini na hii poor thread?
 
Kila binadamu ana positives na negatives. Jumla yake ndiyo inamdefine kaangukia wapi. +ve au - ve balance na kiasi gani.
Mzani wa sasa ni super negative
 
Alafu wamemwaga vijana wengi kujibu hoja zao mitandaoni kwa ujira wa buku 7 ingawa wote wanatumia viungo vingine kufikiria
 
Hapo Ndo nashindwa kuwaelewa wanasiasa. Tuliaminishwa kikwete dhaifu kuliko mtu yeyote tz leo hii tunaambiwa kuna mtu dhaifu mara saba yake. Naenda zimbabwe
MKUU HUWEZI KUJUA UBORA AU UDHAIFU WA KITU KAMA UNACHO KIMOJA.
NA UHAKIKA WA 100% LEO MSOGA APAMBANISHWE NA CHATU KWENYE UCHAGUZI HATA WAIMBA MAPAMBIO WALIOPO HAPA JUKWAANI WATAMUUNGA MKONO MSOGA.
 
Bado miaka nane ya hivi, uzuri wa huyu bwana hasikilizi kelele za wajinga, yeye kazi tuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…