Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ametia aibu kumkamata cartoonist. Kuchorwa ni lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
an imbecile at his best levelHivi ukiulizwa msingi wa hii pumba yako sio ajabu ukajibu ni kuzuia maandamano na bunge live hapo ndio huwa nawakubali Nyumbu kwenye ufahamu.
Hapa Duniani namchukia sana LisuChukua udhaifu wa Kikwete na serikali ya awamu ya nne zidisha mara 3 utapata udhaifu wa Magufuli na serikali ya awamu ya tano
Nawaambieni hamuwezi kuvushwa na kiongozi dhaifu. Miaka mitatu imeisha kukiwa na jitihada kubwa za kuficha udhaifu.
Udhaifu unafichwa kupoka majukumu ya vyombo vingine. Udhaifu umefichwa kwa kupokonya na kujimilikidha bunge.
Udhaifu umefichwa kwa kuzuia watu kuongea,udhaifu umefichwa kwa kutisha kila anayenyanyua mdomo.
Udhaifu wa kudorora kwa mapato umefichwa kwa kunyanganya halmashauri vyanzo vya mapato.
Udhaifu wa kuonyesha kushukwa kwa uchumi umefichwa na kutishia kwenye sheria ya Takwimu.
Udhaifu wa kujua mambo ya kimataifa na huko mambele umefichwa kwa kisingizio ya rais hapendi kwenda nje kuokoa gharama
Udhaifu wa kukosolewa umefichwa........namlilia Tundu Lissu.
Uhuru upi wa kuongea na kutoa maoni?, hapa unafanya Nini na hii poor thread?Chukua udhaifu wa Kikwete na serikali ya awamu ya nne zidisha mara 3 utapata udhaifu wa Magufuli na serikali ya awamu ya tano
Nawaambieni hamuwezi kuvushwa na kiongozi dhaifu. Miaka mitatu imeisha kukiwa na jitihada kubwa za kuficha udhaifu.
Udhaifu unafichwa kupoka majukumu ya vyombo vingine. Udhaifu umefichwa kwa kupokonya na kujimilikidha bunge.
Udhaifu umefichwa kwa kuzuia watu kuongea,udhaifu umefichwa kwa kutisha kila anayenyanyua mdomo.
Udhaifu wa kudorora kwa mapato umefichwa kwa kunyanganya halmashauri vyanzo vya mapato.
Udhaifu wa kuonyesha kushukwa kwa uchumi umefichwa na kutishia kwenye sheria ya Takwimu.
Udhaifu wa kujua mambo ya kimataifa na huko mambele umefichwa kwa kisingizio ya rais hapendi kwenda nje kuokoa gharama
Udhaifu wa kukosolewa umefichwa........namlilia Tundu Lissu.
Very sad mkuuAmetia aibu kumkamata cartoonist. Kuchorwa ni lazima
Kila binadamu ana positives na negatives. Jumla yake ndiyo inamdefine kaangukia wapi. +ve au - ve balance na kiasi gani.Mim niamin kila binadamu ana uzaifu wake...Mungu fundi sana...kila mtu anapewa karama yake....Kikwete atabaki Kikwete tu na Magufuli atabaki Magufuli...
Wengi tuliona Kikwete ana mapungufu mengu..tukahisi Magufuli atakua full package...Magu kumbe anakua mzuri kwa baadhi ya maeneo kwingine chenga tu.....
Hongera sanaHapa Duniani namchukia sana Lisu
MKUU HUWEZI KUJUA UBORA AU UDHAIFU WA KITU KAMA UNACHO KIMOJA.Hapo Ndo nashindwa kuwaelewa wanasiasa. Tuliaminishwa kikwete dhaifu kuliko mtu yeyote tz leo hii tunaambiwa kuna mtu dhaifu mara saba yake. Naenda zimbabwe
Wacha vitisho mkuu.Hivi unadhani hujulikani .
uko sahihi mkuu maana hapa duniani kna watu mana tabia ya kuchukia vitu vizuri. tangu lini mjinga akampenda mwenye akiliHapa Duniani namchukia sana Lisu
Kawatishe wajinga wenzio.Hivi unadhani hujulikani .
Bado miaka nane ya hivi, uzuri wa huyu bwana hasikilizi kelele za wajinga, yeye kazi tuuChukua udhaifu wa Kikwete na serikali ya awamu ya nne zidisha mara 3 utapata udhaifu wa Magufuli na serikali ya awamu ya tano
Nawaambieni hamuwezi kuvushwa na kiongozi dhaifu. Miaka mitatu imeisha kukiwa na jitihada kubwa za kuficha udhaifu.
Udhaifu unafichwa kupoka majukumu ya vyombo vingine. Udhaifu umefichwa kwa kupokonya na kujimilikidha bunge.
Udhaifu umefichwa kwa kuzuia watu kuongea,udhaifu umefichwa kwa kutisha kila anayenyanyua mdomo.
Udhaifu wa kudorora kwa mapato umefichwa kwa kunyanganya halmashauri vyanzo vya mapato.
Udhaifu wa kuonyesha kushukwa kwa uchumi umefichwa na kutishia kwenye sheria ya Takwimu.
Udhaifu wa kujua mambo ya kimataifa na huko mambele umefichwa kwa kisingizio ya rais hapendi kwenda nje kuokoa gharama
Udhaifu wa kukosolewa umefichwa........namlilia Tundu Lissu.
VYUMA VIMEKAZA SASA NI MWENDO WA 500 HADI 1000Alafu wamemwaga vijana wengi kujibu hoja zao mitandaoni kwa ujira wa buku 7 ingawa wote wanatumia viungo vingine kufikiria
Wanapata balimi kwanza nyamaza mkuu ,wasije kusikia.Nimewaona mods wakija mbio kufuta huu uzi subiri kidogo tu, siyo kosa lao, ni hali ya nchi ilivyo kwa sasa