Barack Obama jr
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 592
- 982
Kila unachojaribu kufanya, kikitaka kuleta mafanikio kidogo SERIKALI inakupiga "MTAMA"
Kama unaona kuna dalili ya kupata ajali mbaya njiani kabla ya kufika, na una nauli nyingine kibindoni, unashuka tu kwa kweli.Kwan safari imeisha au unataka ushukie njiani tusubiri tuendelee na safari maana cc n abiria tu
Nanukuu...Mambo mazuri mengi anayofanya...bhasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Nyerere aliwahi kusema tunamwapisha Rais ili ailinde Katiba na kuitetea kufa au kupona pale anapoona inachezewa
Lakini hivi sasa tuna Rais mvunja Katiba live bila chenga huku Bunge likimuona yuko sawa kisa ni mwana ccm mwenzao
Hivi sasa tuna Katiba haiko juu tena bali Rais ndio yuko juu ya kila kitu
Neno Katiba ndio muongozo Mkuu halipo tena hivi sasa
Bali tuna Rais ambaye ndiye Katiba yenyewe
Ningependa magufuli aiheshimu Katiba na sio kuwa juu ya katiba
Mambo mazuri mengi anayofanya yanaminywa na ukiukwaji wake wa Katiba
Nimkumbushe tu walikwepo wababe wa sheria za kichwani lakini leo hawapo na mwisho wao uliishia pabaya
Sasa mkuu wamebuni mbinu. Nyie kipindi hicho si mngetumia majina ya hawa watu?Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Mkuu huu mjadala nimekutana nao na wanatoa shuhuda mbalimbali. Yupo mmoja amesema kuwa aliomba mkopo ila alitakiwa kuthibitishwa na hazina ili benki imkopeshe. Jamaa kasema alinyimwa mkopo kutokana tu na kabila lake. Hii ni baada ya msajili wa hazina kumkataa. Tena ni huyu msajili wa sasa.Alipopeleleza akaambiwa kuwa kabila lake limemponza. Wanajiapiza kwa majina yao ya asili wanayaacha.MTOA POST UNAMAANISHA KUWA TENDA WANAPEWA WATU WA KANDA YA ZIWA HASA WASUKUMA???!!!KAMA NI KWELI HII HALI SIO YA KUFUMBIA MACHO