Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Akili zako na hao watu wako wa vijiweni ninakili za vijiweni .

Acha akilinza vijiweni ,lete akili za darasani
 
Kweli hizi ni stori za kijiweni kama alivyosema yaani zamani tunaita wazurulaji, katika tender application unaingia kwa jina la kampuni au biashara na kama ukibadirisha inamaana unaanza upya kuanzia tin namba. Hii ni proses ndefu na tenda ni mwaka 1 na kumbukumbu zako ndiyo zinakusaidia kupata tena sasa jamaa wa kijiwe katupa jiwe.
Nimekwambia kuwa wanaondoa majina ya koo zao ili kupunguza makali ya kujadiliwa.
 
NILICHOGUNDUA, WANAOLALAMIKA SUALA LA UKABILA WENG WAO NI WACHAGA, NA HII INATOKANA NA HULKA YA UKABILA WALIYONAYO WACHAGA. SASA MMEKUTANA NA MPINGI UNAWADHIBITI KIDOGO MNALIALIA.

ZAMANI ILIKUWA BILA MAJINA YA MUSHI, TARIMO, TEMBA, MBOYA, MBOWE, N.K ILIKUWA NGUMU KUPEWA FURSA. TENA UKIENDA KWENYE INTERVIEW WANAANGALIA SURNAME, PANEL NZIMA IMEJAA WENYE MENO YALIYOOZA. WAKIONA HUJATUMIA SURNAME WANAKUULIZA UNATOKEA WAPI.. UKISEMA MTWARA HUKO, BS HIYO KAZI HUPATI.

WASUKUMA SYO WAKABILA KIHVYO.

TANZANIA MAKABILA YENYE TABIA YA UKABILA NA UBAGUZ WA KABILA YANAJULIKANA MIAKA NENDA RUDI

1. WACHAGA
2. WAHAYA
3. WANYAKYUSA

OFISI IKIWA NA BOSS WA MOJA KATI YA MAKABILA HAYO MATATU, BAS NDANI MUDA MFUPI TU HYO OFIS ITATAMALAKI KABILA MOJA NA LUGHA YA KIKABILA ITATAWALA HUKU WALE WASIO WA KABILA HLO WATATENGWA.

JPM, AWANYOOSHE NA KUWAVURUGA TU ILI KUFUTA UPUUZ WA UKABILA.
 
Sasa unadhani mimi naweza kupoteza muda kutunga story? Nilitamani kujua wanawezaje kufanya hivyo kirahisi kwani naelewa ni vigumu kujificha na hata kubadili jina la kampuni ambalo umelitengeneza. Ila nikagundua pia kuwa kama wanapigiwa hadi simu na wasaidizi wa mkuu, huenda yeye ndiyo hasa mkuu anaangalia jina la mkurugenzi linafananaje! Labda hiyo ya kubadili majina au kuweka initials haijalishi kama kampuni inajulikana au vipi ila ni vigumu mkuu kuzielewa kampuni zote ila akishaona tu mkurugenzi wake ni fulani kutokana na jina basi palepale anakata! Lazima tukiri kuwa mkuu ameasisi hilo la kuangalia kazi kikabila na data zipo! Kina Lissu walilisemea! Sasa unaweza kupunguza makali kwa kutokutumia hilo jina. Unafanya hivyo ili kujiweka walau kwenye eneo ambalo hutakatwa mwanzoni kutokana na jina! Hilo walau utaliepuka ingawa huna uhakika.

Kuhusu mambo ya zabuni kwa kufuata taratibu siku hizi hayapo tena!

Umesema kama yatahitajika, je unaweza kusubiri na njaa kali leo ili ujipe matumaini pengine ya kushiba kesho wakati hujui hiyo kesho itakuwaje? Epuka hilo kama njia zipo.

Nimekutana na huu mjadala na watu walikuwa wanaongea wakimaanisha!
Mwenye akili alitakiwa kuwapuuza.....Tenda nyingi zinazohusisha serikali zinahusisha sifa za kampuni siyo Mtu!Hizo story kama unavyosema ulizipata kijiweni hukuwa na budi Kuziacha hapo.
 
Moja ya kazi ngumu sana duniani ni pamoja na kupambana na bepari- utahangaika nae weeeeeee lakini mwishowe atakushinda tu( ref. Mwalimu Nyerere)
 
NILICHOGUNDUA, WANAOLALAMIKA SUALA LA UKABILA WENG WAO NI WACHAGA, NA HII INATOKANA NA HULKA YA UKABILA WALIYONAYO WACHAGA. SASA MMEKUTANA NA MPINGI UNAWADHIBITI KIDOGO MNALIALIA.

ZAMANI ILIKUWA BILA MAJINA YA MUSHI, TARIMO, TEMBA, MBOYA, MBOWE, N.K ILIKUWA NGUMU KUPEWA FURSA. TENA UKIENDA KWENYE INTERVIEW WANAANGALIA SURNAME, PANEL NZIMA IMEJAA WENYE MENO YALIYOOZA. WAKIONA HUJATUMIA SURNAME WANAKUULIZA UNATOKEA WAPI.. UKISEMA MTWARA HUKO, BS HIYO KAZI HUPATI.

WASUKUMA SYO WAKABILA KIHVYO.

TANZANIA MAKABILA YENYE TABIA YA UKABILA NA UBAGUZ WA KABILA YANAJULIKANA MIAKA NENDA RUDI

1. WACHAGA
2. WAHAYA
3. WANYAKYUSA

OFISI IKIWA NA BOSS WA MOJA KATI YA MAKABILA HAYO MATATU, BAS NDANI MUDA MFUPI TU HYO OFIS ITATAMALAKI KABILA MOJA NA LUGHA YA KIKABILA ITATAWALA HUKU WALE WASIO WA KABILA HLO WATATENGWA.

JPM, AWANYOOSHE NA KUWAVURUGA TU ILI KUFUTA UPUUZ WA UKABILA.
Kweli inaelekea vyuma vinakaza kwa kabila moja tu la wapigadili wakongwe
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Trump Yuko sahihi kabisa kwa mijitu kama nyie.........

Ova
 
Sasa huu mjadala nimekutana nao na wanakiri wazi kuwa katika kila document wanayoandika sasa, hawaweki jina la ukoo kama walivyosema ni kwa yale wanayoamini kuwa yanajulikana. Hawa ni wakurugenzi wa makampuni ila mengi ni madogo madogo. Wanafanya hivyo kutokana na ushauri wanaopewa na wasaidizi.
Iwe kampuni ndogo au kubwa procedure za kubadili majina ni same na sio process rahisi kama unavyofikiri.Jamii forums ni jukwaa LA great thinkers epuka kuleta habari za kichochezi usizohakiki tafadhali
 
Kama unaamini ya kuwa maisha ni safari. Usitarajie kuona njia ya tambarare tu.

Mwanzo mlikula sana tena sana. Sasa waachieni na wengine wafaidi keki. Hakuna hali ya kudumu hapa duniani.

Mlizoea kuishi kama wafalme, sasa huyu Ngosha kabadili gia. Inabidi kubuni mbinu tu za kukabiliana naye na siyo kulialia.

Hata yeye atatoka tu na maisha utayafurahia tena. Ila amini kuwa hakuna hali ya kudumu milele hapa duniani.

One day uta-enjoy tena
 
Ilibidi nirudi kuangalia profile yako na thread zako kujua wewe ni wa mrengo gani? Ila haijanisumbua nimeshajua kwa hiyo siyo ajabu kwako wewe kuleta uzi kama huu.
 
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
NIUONGO KABISA, Hakuna ukweli hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom